Hahahahaha kwa hiyo unapinga jiwe sio kiongozi bora kuliko wote dunianiWashauri wa jiwe ndio wanazidi kumpoteza kwa kumuaminisha kuwa yeye ni bora kiliko viongozi wa dunia yote
Wana macho na hawaoni. Wana masikio na hawasikii. Basi "come what may. A good section of peoples souls are broken and desperate.Amani iwe nanyi!
Sasa ni rasmi, ICC imeitaarifu dunia kuhusu kupokea rasmi maombi ya uchunguzi dhidi ya Magufuli na serikali ya Tanzania juu ya ukiukwaji wa haki za binadamu na makosa dhidi ya binadamu! Maombi haya yametumwa na ACT Wazalendo, Chama cha siasa, Maria Sarungi, mwanaharakati huku na bado inaonekana Kuna maombi ya bwana Robert Amsterdam yapo njiani wiki hii. Hili ni jambo la hatari kabisa kwa sababu kwa yaliyotokea kwenye uchaguzi wa mwaka huu na reaction za wadau wa maendeleo juu ya uchaguzi huu hadi Kamisheni ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa, ni dhahili Magufuli na Wakuu wake wa vyombo vya ulinzi na Usalama hasa Diwani Athumani, Simon Sirro na Venance Mabeyo hawatapona kwenye hili.
Kwanini tumefika hapa?
Kwa wenye akili tuliona njia ya kuelekea huku tangu kipindi cha pili cha kikwete ambapo zilianza kutungwa sheria mbaya za kuzuia watu kutoa mawazo huru, utekaji pia ulianza kuota mizizi kipindi hiki. Kilichomuokoa Kikwete na kuonwa vibaya na dunia ni kwa sababu Kikwete pamoja na mapungufu yote aliweza vilivyo kumaintain diplomasia ya ndani na nje ya nchi. Aliruhusu maamuzi ya wananchi yaheshimiwe sehemu mbalimbali hivyo kitengo cha wananchi kupata wabunge waliowachagua kihalali kiliweza kupunguza hasira za wananchi na movement dhidi yake. Kikwete aliweza hadi kuwaiita wapinzani ikulu na kuzungumza nao huku akiripotiwa hivyo hadi na vyombo vya nje. Hili lilimuokoa sana
Alipokuja Magufuli wenye akili tulianza kuona shida mahali maana yeye alionesha ni mtu wa mkono wa chuma zaidi na asiyependa kusikiliza wengine. Alianzisha sheria mbaya zaidi za kupana wakosoaji wake kama sheria za takwimu na za tcra, alitekeleza vibaya sheria za Jinai na kupelekea watu kushtakiwa kwa makosa ya uhujumu uchumi bila hata kuangalia matokeo yake. Wapinzani walikamatwa hovyo hadi kufungwa jela.
Mbaya zaidi Magufuli aliingilia eneo hatari zaidi la kujaribu kufanya siasa za ubabe kwa kuwakatalia wananchi machaguo yao. Alianza kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa na mbaya zaidi amefanya vibaya zaidi kwenye uchaguzi uliopita wa 28 oktoba.
Lawama za haya yote lazima ziende kwa wanafiki watanzania hasa CCM, Idara ya Usalama wa Taifa wanaolipwa kwa kodi za wananchi kwa ajili ya kumshauri Raisi na Serikali na viongozi wastaafu ambao wanauelewa mkubwa na dunia ilivyo na inavyo operate walioshindwa kumshauri Magufuli na kumzuia sehemu fulani kwenye kufanya mambo ya ajabu. Urafiki wao na kujali kwao matumbo sasa kunaenda kuifikisha nchi hii katika sehemu mbaya zaidi kuwai kutokea.
Kwa sasa ni dhahili watanzania wamegawanyika, kuna kundi ambalo linaona limeshatengwa na halisikilizwi na wao wako tayari kuungana na yeyote yule ili kuiangusha CCM na Magufuli na Kuna kundi ambalo wao ndo wanajiona wana hatimiliki na nchi hii na wanaweza kumfanya yeyote chochote wakati wowote.
Unafiki wao na kujali matumbo yao sasa rasmi unatuangamiza!
Zanzibar inaungwa mkono na wale waliosababisha muungano ambao ni USA,UK.Na mwaka huu Kweli kaingia cha kike. Kwa yaliyotokea Zanzibar na maeneo mengine Tanzania hadi yametolewa tamko na UN. Hapo ni na watu wake
Let us not all the aggrieved be such optimistic. Let us reserve our bitter sentiments in quite prayers, while wishing hell to this dictatorial regime.Safari hii lazima aende Ulaya eti?
Bahati mbaya haendi kwa hiari na furaha bali kwa lazima na aibu kubwa. Yaani kule ilikuwa ni lazima aende (ule ugonjwa wake pia lazima ungemfikisha kule).
Na bado spana nzito nzito za vikwazo zinaandaliwa.Mbona atakoma kwa hii miaka yake 5?
MasikiniiMnajamba jamba tu ila sindanobya chuma imewaingia kila sikunaleta matamko jf,subirin hvyo hvyo tena mara paaap 2025 hii nyambafuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mtu yuko kadarakani kamkimbiza Lisu hadi ubelgiji bila kupenda alafu unamuita mshamba?Umenifumbua macho, hata Kikwete Kwa mamlaka alivyokuwa nayo angeweza kufanya kioja kama cha Magufuli kwenye chaguzi lakini hakufanya sio kwamba alikuwa hawezi lakini alifunika kombe. SASA huyu mshamba alijua atatumia jeshi watu watatulia. Amebugi.
Nakwambiaje. Jiandae kumsindikiza ICC huyo unayemtetea hapa.Mnajamba jamba tu ila sindanobya chuma imewaingia kila sikunaleta matamko jf,subirin hvyo hvyo tena mara paaap 2025 hii nyambafuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Safari hii lazima aende Ulaya eti?
Bahati mbaya haendi kwa hiari na furaha bali kwa lazima na aibu kubwa. Yaani kule ilikuwa ni lazima aende (ule ugonjwa wake pia lazima ungemfikisha kule).
Na bado spana nzito nzito za vikwazo zinaandaliwa.Mbona atakoma kwa hii miaka yake 5?
Nani kamuweka jela ni Mbowe!mdude yuko jela, mbowe amemtelekeza
Nani kamuweka jela ni Mbowe!mdude yuko jela, mbowe amemtelekeza
Na wanaenda kweli kumuangusha magufuli kwa kutoa ushahidi wote jinsi ya makosa dhidi ya binadamu yalivyofanyika kwenye utawala wake.Hawa ni wengi sana kuliko wale wa ndiyo mzee
Hayo ni malalamiko yako tu na hayatakusaidia hadi 2025 inafika utakuwa unalalama tu kama hivi.Kuwatumikia kwa kuwaua na kuwatesa wanaopingana nae??
ICC siyo balaza kuu la bawachaNa wanaenda kweli kumuangusha magufuli kwa kutoa ushahidi wote jinsi ya makosa dhidi ya binadamu yalivyofanyika kwenye utawala wake.
Sasa huyo Amsterdam anaenda kuhakikisha Magufuli na watu wake wanatolewa Arrest Warrant na ICCTuliwaonya kwamba Amsterdam anamharibia huyo jamaa yenu na ataishia kupata chini ya 20%
Endelea kuishi kwa kukariri. Jiandae kumsindikiza Magufuli wako ICC nakwambiaHayo ni malalamiko yako tu na hayatakusaidia hadi 2025 inafika utakuwa unalalama tu kama hivi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kisha Magufuli atakuja kukamatwa anaenda kufungwa ICC na badala yake Lisu anakuwa rais?Sasa huyo Amsterdam anaenda kuhakikisha Magufuli na watu wake wanatolewa Arrest Warrant na ICC
ICC siyo balaza kuu la bavichaEndelea kuishi kwa kukariri. Jiandae kumsindikiza Magufuli wako ICC nakwambia
Sawasawa sasa siku si nyingi utajua kuwa lile ni baraza la bavicha au la uvccmICC siyo balaza kuu la bavicha