Otorong'ong'o
Platinum Member
- Aug 17, 2011
- 39,523
- 30,053
Ulichikiandika hakina uhusiano na madaTuliwaonya kwamba Amsterdam anamharibia huyo jamaa yenu na ataishia kupata chini ya 20%
Ulichikiandika hakina uhusiano na madaTuliwaonya kwamba Amsterdam anamharibia huyo jamaa yenu na ataishia kupata chini ya 20%
ICC siyo balaza kuu la bavicha na soon utavunjika moyo kama alivyokuvunja mgombea wako baada ya kupata 13%, kupuuzwa kwenye maandamano na kukimbilia ubelgiji.Sawasawa sasa siku si nyingi utajua kuwa lile ni baraza la bavicha au la uvccm
Nani kamuweka jela ni Mbowe!mdude yuko jela, mbowe amemtelekeza
Mleta mada ana mawenge ya kupigwa kwenye box la kura na hizi mada ni mwendelezo wakeUlichikiandika hakina uhusiano na mada
Hayo ni malalamiko yako tu na hayatakusaidia hadi 2025 inafika utakuwa unalalama tu kama hivi.
ICC siyo balaza kuu la bawacha
😂😂😂😂😂Sasa huyo Amsterdam anaenda kuhakikisha Magufuli na watu wake wanatolewa Arrest Warrant na ICC
Hahahaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kisha Magufuli atakuja kukamatwa anaenda kufungwa ICC na badala yake Lisu anakuwa rais?
Magufuli hahitaji kujulikana na mtu mbumbumbu kama wewe,Humjui Magufuli unajipendekeza kwa usiyemjua. Uliza wanaomfahamu watakwambia, acha uchumia tumbo.
Cheka kicheko na mwisho maana yanayokuja yatakuliza sana😂😂😂😂😂
Hahahaa
Unadhani Tamko la Kamisheni ya Umoja wa Mataifa ya Haki za Binadamu lilikuja kwa bahati mbaya eeh??? Sasa jiandaeni kutolewa Arrest warrant very soonMagufuli hahitaji kujulikana na mtu mbumbumbu kama wewe,
Yeye kashajuliaka ni Rais wa Tz dunia nzima inajua. Anachohitaji sasa hivi ni kuwatumikia watz, basi. Hayo ya kujukana tunamuachia mbelgiji
Habari za tangu tarehe 28 October😃😃Cheka kicheko na mwisho maana yanayokuja yatakuliza sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bavicha sasa hivi wananung'unika kama mjusi kabanwa na malango.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaa
Nakupa wewe Polee zaidi. Siku si nyingi tutaelewana tuHabari za tangu tarehe 28 October😃😃
Pole na matokeo mkuu Lord
Ni Yeye kashatuma maombi ya maridhiano 😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bavicha sasa hivi wananung'unika kama mjusi kabanwa na malango.
Wakati mwezi uliopita walikuwa wanabana pua humu eti ni yeye.
Ukiwambia huyo ni yeye wenu hatafikisha hat 20% wanatukana. Haya ni yeye wao kala kona hadi kwa Amsterdam huku nyuma akiwa kaacha mbunge mmoja kutoka wabunge zaidi ya 45.
Huyu ni yeye ni mkosi kwa chadema.
Tupo hapahapa tutaendelea kupeana taarifaNakupa wewe Polee zaidi. Siku si nyingi tutaelewana tu
Vizuri kabisaTupo hapahapa tutaendelea kupeana taarifa
Tamko ndio kitu gani?Unadhani Tamko la Kamisheni ya Umoja wa Mataifa ya Haki za Binadamu lilikuja kwa bahati mbaya eeh??? Sasa jiandaeni kutolewa Arrest warrant very soon
Anajirudi kiaina baada ya kuijijua hajuiNi Yeye kashatuma maombi ya maridhiano [emoji23][emoji23][emoji23]
Maamuzi yoyote utakayo yafanya maishani mwako utawajibika nayo 'Any decision you make in life you are responsible for it'Amani iwe nanyi!
Sasa ni rasmi, ICC imeitaarifu dunia kuhusu kupokea rasmi maombi ya uchunguzi dhidi ya Magufuli na serikali ya Tanzania juu ya ukiukwaji wa haki za binadamu na makosa dhidi ya binadamu! Maombi haya yametumwa na ACT Wazalendo, Chama cha siasa, Maria Sarungi, mwanaharakati huku na bado inaonekana Kuna maombi ya bwana Robert Amsterdam yapo njiani wiki hii. Hili ni jambo la hatari kabisa kwa sababu kwa yaliyotokea kwenye uchaguzi wa mwaka huu na reaction za wadau wa maendeleo juu ya uchaguzi huu hadi Kamisheni ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa, ni dhahili Magufuli na Wakuu wake wa vyombo vya ulinzi na Usalama hasa Diwani Athumani, Simon Sirro na Venance Mabeyo hawatapona kwenye hili.
Kwanini tumefika hapa?
Kwa wenye akili tuliona njia ya kuelekea huku tangu kipindi cha pili cha kikwete ambapo zilianza kutungwa sheria mbaya za kuzuia watu kutoa mawazo huru, utekaji pia ulianza kuota mizizi kipindi hiki. Kilichomuokoa Kikwete na kuonwa vibaya na dunia ni kwa sababu Kikwete pamoja na mapungufu yote aliweza vilivyo kumaintain diplomasia ya ndani na nje ya nchi. Aliruhusu maamuzi ya wananchi yaheshimiwe sehemu mbalimbali hivyo kitendo cha wananchi kupata wabunge waliowachagua kihalali kiliweza kupunguza hasira za wananchi na movement dhidi yake. Kikwete aliweza hadi kuwaiita wapinzani ikulu na kuzungumza nao huku akiripotiwa hivyo hadi na vyombo vya nje. Hili lilimuokoa sana
Alipokuja Magufuli wenye akili tulianza kuona shida mahali maana yeye alionesha ni mtu wa mkono wa chuma zaidi na asiyependa kusikiliza wengine. Alianzisha sheria mbaya zaidi za kubana wakosoaji wake kama sheria za takwimu na za tcra, alitekeleza vibaya sheria za Jinai na kupelekea watu kushtakiwa kwa makosa ya uhujumu uchumi bila hata kuangalia matokeo yake. Wapinzani walikamatwa hovyo hadi kufungwa jela.
Mbaya zaidi Magufuli aliingilia eneo hatari zaidi la kujaribu kufanya siasa za ubabe kwa kuwakatalia wananchi machaguo yao. Alianza kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa na mbaya zaidi amefanya vibaya zaidi kwenye uchaguzi uliopita wa 28 oktoba.
Lawama za haya yote lazima ziende kwa wanafiki watanzania hasa CCM, Idara ya Usalama wa Taifa wanaolipwa kwa kodi za wananchi kwa ajili ya kumshauri Raisi na Serikali na viongozi wastaafu ambao wanauelewa mkubwa wa dunia ilivyo na inavyo operate walioshindwa kumshauri Magufuli na kumzuia sehemu fulani kwenye kufanya mambo ya ajabu. Unafiki wao na kujali kwao matumbo sasa kunaenda kuifikisha nchi hii katika sehemu mbaya zaidi kuwai kutokea.
Kwa sasa ni dhahili watanzania wamegawanyika, kuna kundi ambalo linaona limeshatengwa na halisikilizwi na wao wako tayari kuungana na yeyote yule ili kuiangusha CCM na Magufuli na Kuna kundi ambalo wao ndo wanajiona wana hatimiliki na nchi hii na wanaweza kumfanya yeyote chochote wakati wowote.
Unafiki wao na kujali matumbo yao sasa rasmi unatuangamiza!
Lete tamko mojawapo lililotolewa na kamisheni ya umoja w mataifa dhidi ya museveni tulione hapaTamko ndio kitu gani?
Museven tu hapo kampala ana mafaili ya matamko kabati zima kutoka kwa hao ulioweka matumaini kwao.
Mwishoe Besigye kaona bora alee wajukuu tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]