Mkuu taifa laitaji watu Kama nyie, kwamba unauwezo wa kuunganisha dot ,kwamba baadhi ya watu wamebaki kusifia hii sio sawa
Sehem kidogo umegusia kwamba KIKWETE alijua kula vizuri kwa wandani na nje na ponapona yake.
Mfano leo uchaguzi tuseme UMEISHA je? Ni mataifa gani yenye nguvu dunian wamempogeza jpm, nalo hili wafuasi wa ccm wameshindwa jiuliza, wapo tu kupiga kelele,ila ikitokea akapandishwa kizimbani hutowasikia Hawa wanafiki bora mie Mbatizaji naweza kutoka na kumtetea pale nikiona labda Kuna sababu ya kufanya hivyo ,ila wengi hum watakua wameufyata
Pili mfano kwa Hali hii ya taifa tulionayo ikitokea kwamba ipigwe kura toka ICC kwamba nani yuko tiyari jpm afike icc nini kitatokea ,kwa Hali na hasira za wananchi wakizo nazo nasema kura za ndio zitakua nusu ya watanzania.
Chakufanya
Mh jpm hitisha uchaguzi mpya kwa kuzingatia matakwa na viongozi wa vyama vingine chini ya tume huru,na kubadilisha virungu baadhi vya katiba kuendana na uchaguzi Kama hatuwezi pata katiba mpya mapema.
Nini faida
1.WEWE umekua rais so hata ukishindwa au kushinda itakuongezea utukufu Sana,na kuendelea kuheshimika tz na kwa macho ya kimataifa
Nini kitatokea Kama ushauri huu haukubali
1.Niwe mkweli kwako ,hii miaka mitano inaweza kua migum Sana kwako kiungozi kuliko kipindi chako kilichopita ,au hata kipindi ukiwa waziri,na wenda mh heshima yako ikashuka Sana,maana mh kuongoza watu na wapo pamoja ,wanafurahi, wanakuombea kwa umoja ni baraka Sana mkuu
Jpm simchukii na niliwai sema wenda tuna rais mzuri ila waliomzunguka wakawa ni shida kidogo.
Mh jpm tafakari kwa haya na chukua hatua ikikupendeza, maana Mambo ni moto sana