Tanzania nchi iliyojaa wanafiki na wanaojali matumbo yao

Tanzania nchi iliyojaa wanafiki na wanaojali matumbo yao

hakuna wa kukaa meza moja na nyie, Rais hawezi betraye wananchi kukaa na watu tulowakataa, tena hapo ndo wasahau kabisa kupata fursa ya uongozi nchini, hata chama hicho kifutwe tu.
Magu hajafikisha 40% mpaka Sasa bado wanahesabu Kura halali kujua ukweli,
Yale matokea ya TISs sio halisi
 
Nyie ni wajinga mkuu, na nlikwambia Lisu hata pata zaidi ya 20%.

Sasa ili mnione mlivyo mbumbumbu, badala ya kutafuta ni wapi tumeangukia nyie mmekomaa na ICC?

Hivi unajua kama Kenyata na Odinga walisababisha watu zaidi ya 1,500 kufa na sasa hivi Kenyata ni rais wa Kenya?

We unafikir ICC ni wajinga, kisa tuvideo twa kigogo, Maria Sarungi na zitto ndio tayari ushahidi huo?

Unajua kama Syria kuna mamilioni ya watu wanakufa live live na hao ICC wapo?
Nakuonea huruma sana. Endelea kuita tuvideo sasa ndo utajua kama zina umuhimu au hazina umuhimu.
 
Nakuonea huruma sana. Endelea kuita tuvideo sasa ndo utajua kama zina umuhimu au hazina umuhimu.
Mkuu kwanza tu hii kubishana na wewe humu nmekuheshimu sana.

Maana mimi nlitegemea baada ya zile mbwembwe za kabla ya uchaguzi uwe umepata akili lakini kumne ndio zimezidi kuondoka
 
Hiyo yote Tisa,kumi kuna vikundi vya vijana wa kitanzania waliokata Tamaa na maisha haya wameshajiunga na magaidi wa kule msumbiji.
hii Hali ya Usalama Kwa watanzania itakuwa ni ya taabu Sana ndani ya miaka hii mitano,Kwa wale WAJINGA-WAJINGA wasiojua kitu wanafikiri nchi IPO Salama kumbe Hali ni tofauti Sana hata watu wa TISS walijua Hilo kiundani kabisa
 
Mkuu kwanza tu hii kubishana na wewe humu nmekuheshimu sana.

Maana mimi nlitegemea baada ya zile mbwembwe za kabla ya uchaguzi uwe umepata akili lakini kumne ndio zimezidi kuondoka
Endelea kuziona mbwembwe ila siku si nyingi utanielewa nilikuwa namaanisha nini. Naona unaendelea kuwa mbishi mpaka baada ya icc kutoa tamko kupokea maombi dhidi ya mtu wako. Najua huna exposure, hujui dunia ikoje na inaendaje kwa iyo sikushangai. Ila nakuhakikishia magufuli ni Al Bashir mtarajiwa
 
Huu utawala wa kijeshi ni lazima ukomeshwe kwa nguvu zote, jiwe ameharibu sana nchi.
 
Uchaguzi wetu mkuu uliopita haukuwa na issue kubwa za kusababisha dunia istuke hadi kuwa na kesi ICC. Ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu unaoweza kustua dunia na ICC hauhitaji kupigiwa debe, unajionesha waziwazi na wala haihitajiki nguvu kubwa kuutangaza (mfano yaliyotokea Kenya 2017; au huko Ivory Coast). Kama kweli kuna watu wamepeleka malalamiko ICC wanahaki ya kufanya hivyo lakini naamini yatakuwa 'dismissed'.

Uchaguzi umeisha, nchi iko shwari kabisa, tunaendelea kuchapakazi kwa sababu matokeo yameakisi matakwa ya wananchi walio wengi. Ikumbukwe, hakuna Serikali popote pale duniani inaweza kuzuia 'nguvu ya umma'. Kama wananchi walio wengi wakidhulumiwa na kukasirishwa ni lazima wafanye jambo la kuonekana waziwazi. Aidha, kama hakuna issue kubwa inayogusa maslahi ya wengi, hata kama wanasiasa wajaribu kushawishi wananchi waandamane au kuleta fujo hawatakubali kufanya hivyo.
 
Ndio maana siku ile Kenyatta alivyotoa ile hotuba yake kumponda jamaa yetu wapo wana lumumba waliodai hata Kenya kuna matatizo, niliwajibu nikawaambia atleast Kenyatta anajua kula na kipofu, hali ikiwa mbaya anamuita Raila wanakaa meza moja anatuliza mambo.

Huyu wa hapa kwetu yanamkuta kwasababu amezidisha ubabe usio na maana, anadhani kuwa na madaraka makubwa ndio sababu ya kutomsikiliza yeyote, kumbe hapo ndipo anapozidi kukosea.
Hajakosea na hakuna kiongozi wa kiafrika ambaye atapelekwa ICC tena!
Hata angemuwepo si Magufuli! Unafikiri dunia haijui mema anayofanya!
 
Nakataa kwa kusema kwamba hizi habari hazina ukweli wowote ni za kutunga tunga kwakua baadhi ya wapinzani wamekosa nafasi ndo Mana yanajitokeza mambo kama haya tujiulize ingikuwa hakuna democracy wangeweza kufanya kampeni miezi miwili hadi kumaliza salama.

Je, ingekuwa hakuna democracy na ukiukwaji wa haki wangeweza hata kupewa passport za kuondokea mf. Lissu kaondoka kwa amani na salama kabisa bila kusumbuliwa hebu tuzipuuze habari zisizokuwa na mashiko.
 
Walimpa muda ajifunze dunia ikoje. Tatizo akateua kina kabudi walamba miguu wake kuwa washauri wake wakuu ambao hawawezi kumwambia nyeusi na nyeusi na nyeupe ni nyeupe. Sasa lazima ale matunda ya jeuri yake. Ndo atajua kuwa dunia haicheki na makima. Yaani utolewe tamko hadi na kamisheni ya umoja wa mataifa ya haki za binadamu alafu ICC wasikutie nyavuni??? Lazima ajute mwaka huu
Nyie ni watu ambao hamna uzalendo na nnchi yenu Mana ni wasaliti wawazi tatizo la viongozi wetu liko wapi ila sishangai Sana hata Wana izraeli walikufuru neema walizo pewa na molah sasa hatutaki watu wachache watuharibie na kupinga maendeleo ya watanzania
 
Baba yangu mdogo ni mkurugenzi wa Halmashauri mmoja hapa mkoani Arusha, nahofia na yeye wasije wakachoma moto nyumba yake maana raia zina hasira ya kimya kimya.
 
Endelea kuishi kwa kukariri. Habari ya mjini sasaivi ni ICC wenyewe kukiri kupokea maombi ya uchunguzi dhidi ya Magufuli na watu wake.
Yaani hii habari ni mbaya mno mitaa ya Lumumba wa kulaumu zaidi ni Chakubanga kwa kutomshauri vzr Mwenyekiti wake!!
 
Baba yangu mdogo ni mkurugenzi wa Halmashauri mmoja hapa mkoani Arusha, nahofia na yeye wasije wakachoma moto nyumba yake maana raia zina hasira ya kimya kimya.
Sasa hivi upepo tu unawasha nyumba...acha kabisa sayansi ya Sumbawanga!! Mmoja mmoja warishiriki wote waliovuruga uchaguzi upepo wa moto unawapitia.
 
Back
Top Bottom