Mgalula MzTz
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 462
- 423
ICC hii hii inayoshupaza shingo kwa viongozi wa Africa huku ikiwafumbia macho viongozi wa mataifa ya magharibi?kwani mara yao ya kwanza kushitaki ICC?
Una elimu gani??? Kuna kiongozi gani wa Tanzania aliyewai shtakiwa ICC kabla ya huyu Magufuli wenu?ICC hii hii inayoshupaza shingo kwa viongozi wa Africa huku ikiwafumbia macho viongozi wa mataifa ya magharibi?kwani mara yao ya kwanza kushitaki ICC?
Nonsense .
Watanzania gani waliompa dhamana??? Kama ni watanzania wamempa dhamana asingefukuza mawakala wa upinzani vituo vya kura, asingezima mitandao, asingetumia polisi na jeshi kuua watu, asingezuia mikutano ya Lissu kurushwa Live na channel za television za ndaniYani aache kuwasikiliza na kuwatumikia watanzania waliomuamini mpaka kumpa hiyo rdhaa ya miaka mitano aje asumbuke na kelele zenu, huyo Tundu wenu hv sasa anaomba maridhiano😂,hizo spana zimesaidia nini wakati mtu kashinda kwa asilimia zaidi ya 80%😄
Mdude hayuko jelaMdude yuko jela, Mbowe amemtelekeza
Kiongozi bora kuliko wote duniani my foot.Hahahahaha kwa hiyo unapinga jiwe sio kiongozi bora kuliko wote duniani
Mkuu vipi ulikua Wala filigisi za tahusi, au? Maana umekuja kwa speed ya 4G ,tulia mkuu tuko kitaifa zaidi sio ccm hapa Tanzania kwanza mkuu , Kama taifa mpaka mda huu hatuko sawa mkuu ,na tz yetu wote ,tulia maana mpo kusifu tu na kutetea ,hebu tuache wazalendo kwanza, simchukii jpm japo sio zaidi ya taifa thanks[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mtalia sana!
Hata baada ya uchaguzi wa 2015 wenzio walikuja na ngonjera kama hizihizi.
Hadi 2025 inafika bado hivi hivi na mtarudi kwenye mtapigwa tena mnarudi kulia kama kawa.
Hawa unaowatukana siyo wananchi?Hakuna wa kukaa meza moja na nyie, Rais hawezi betraye wananchi kukaa na watu tulowakataa, tena hapo ndo wasahau kabisa kupata fursa ya uongozi nchini, hata chama hicho kifutwe tu.
Hili ni balaa zaidi kuliko hata la ICCHiyo yote Tisa,kumi kuna vikundi vya vijana wa kitanzania waliokata Tamaa na maisha haya wameshajiunga na magaidi wa kule msumbiji.
hii Hali ya Usalama Kwa watanzania itakuwa ni ya taabu Sana ndani ya miaka hii mitano,Kwa wale WAJINGA-WAJINGA wasiojua kitu wanafikiri nchi IPO Salama kumbe Hali ni tofauti Sana hata watu wa TISS walijua Hilo kiundani kabisa
Nasikia alisindikizwa na mabalozi watatu,why?Nakataa kwa kusema kwamba hizi habari hazina ukweli wowote ni za kutunga tunga kwakua baadhi ya wapinzani wamekosa nafasi ndo Mana yanajitokeza mambo kama haya tujiulize ingikuwa hakuna democracy wangeweza kufanya kampeni miezi miwili hadi kumaliza salama, je ingekuwa hakuna democracy na ukiukwaji wa haki wangeweza hata kupewa passport za kuondokea mf. Lissu kaondoka kwa amani na salama kabisa bila kusumbuliwa hebu tuzipuuze habari zisizokuwa na mashiko
Mshauri atoke hadharani atubu,naamini atasamehewa tu.Aitishe press conference atubu yote yamkoseshayo amani nafsini mwake,ikibidi kwa machozi.Baba yangu mdogo ni mkurugenzi wa Halmashauri mmoja hapa mkoani Arusha, nahofia na yeye wasije wakachoma moto nyumba yake maana raia zina hasira ya kimya kimya.
Huwa wanajitetea kwamba hashaurikiYaani hii habari ni mbaya mno mitaa ya Lumumba....wa kulaumu zaidi ni Chakubanga kwa kutomshauri vzr Mwenyekiti wake!!
Safari hii lazima aende Ulaya eti?
Bahati mbaya haendi kwa hiari na furaha bali kwa lazima na aibu kubwa. Yaani kule ilikuwa ni lazima aende (ule ugonjwa wake pia lazima ungemfikisha kule).
Na bado spana nzito nzito za vikwazo zinaandaliwa.Mbona atakoma kwa hii miaka yake 5?
Maneno kuntu ya kizalendo.BIG UP!.Tanzania inakuhitaji sana.Mkuu vipi ulikua Wala filigisi za tahusi, au? Maana umekuja kwa speed ya 4G ,tulia mkuu tuko kitaifa zaidi sio ccm hapa Tanzania kwanza mkuu , Kama taifa mpaka mda huu hatuko sawa mkuu ,na tz yetu wote ,tulia maana mpo kusifu tu na kutetea ,hebu tuache wazalendo kwanza, simchukii jpm japo sio zaidi ya taifa thanks
Uchafuzi (siyo uchaguzi) wa tarehe 28/10/2020 umelifanya bunge kuwa Halmashauri Kuu B ya CCM na kupoteza hadhi ya kuwa Bunge la JMT. Kwanini nchi isimeguke?Unafiki kaziniView attachment 1626803