Tanzania nchi iliyojaa wanafiki na wanaojali matumbo yao

Tanzania nchi iliyojaa wanafiki na wanaojali matumbo yao

Uchaguzi wetu mkuu uliopita haukuwa na issue kubwa za kusababisha dunia istuke hadi kuwa na kesi ICC. Ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu unaoweza kustua dunia na ICC hauhitaji kupigiwa debe, unajionesha waziwazi na wala haihitajiki nguvu kubwa kuutangaza (mfano yaliyotokea Kenya 2017; au huko Ivory Coast). Kama kweli kuna watu wamepeleka malalamiko ICC wanahaki ya kufanya hivyo lakini naamini yatakuwa 'dismissed'...
Jeshi lote lilikuwa barabarani baada ya maandamano kutangazwa kwa ajili gani? wangeacha ionekane kama wananchi wasingetoka kwa kuwa tayari wangekuwa waliridhishwa na matokeo ya uchaguzi wao.
 
Endelea kuziona mbwembwe ila siku si nyingi utanielewa nilikuwa namaanisha nini. Naona unaendelea kuwa mbishi mpaka baada ya icc kutoa tamko kupokea maombi dhidi ya mtu wako. Najua huna exposure, hujui dunia ikoje na inaendaje kwa iyo sikushangai. Ila nakuhakikishia magufuli ni Al Bashir mtarajiwa
Basi mkuu, subiri ICC waje wamtoe magu kisha wamuweke lisu wako

[emoji23][emoji23]
 
Basi mkuu, subiri ICC waje wamtoe magu kisha wamuweke lisu wako

[emoji23][emoji23]
Kitendo tu cha kuitwa mahakamani kwa mwanadamu yoyote yule lazima uvurugikiwe !! Maana dunia nzima inakutazama weye kama mtu wa tofauti na wengine.

Kwa sasa ni kufanya urafiki na Uhuru kupata uzoefu wa namna kesi hizo huendeshwa ili kuandaa utetezi.
 
Maneno yenu hayana busara ndo maana mnaongea pumba semeni basi ukweli acheni propaganda za kijinga
Busara ni kusema kweli tupu ila kama busara ni kuificha ficha kweli na kujaribu kusema mizania sawa pindi upande moja ulemewapo basi hiyo sio busara bali ni unafiki.

Na huko hutojenga bali kumkatisha tamaa yule mwenye haki na kumfanya awaze kuvunja utaratibu
 
Jeshi lote lilikuwa barabarani baada ya maandamano kutangazwa kwa ajili gani? wangeacha ionekane kama wananchi wasingetoka kwa kuwa tayari wangekuwa waliridhishwa na matokeo ya uchaguzi wao.

Unaelewa maana ya 'nguvu ya umma'? Unataka useme Kenya 2017 hawakutumia jeshi kujaribu kuzuia maandamano? Narudia kukuelewesha kwamba, kama walio wengi wakidhulumiwa hakuna jeshi linaweza kuzuia.

Tatizo mkiona wafuasi wa mitandaoni wakilalamika mnafikiri ni nchi nzima iko hivyo, kumbe hao hawafiki hata 1% ya wananchi. Watanzania walio wengi hawana issue kubwa wanaendelea na maisha yao.

Hata Lissue kakiri mwenyewe kwamba amewashawishi Wananchi waandamane lakini hajapata uungwaji mkono.
 
Basi mkuu, subiri ICC waje wamtoe magu kisha wamuweke lisu wako

[emoji23][emoji23]
Icc watamtia nyavuni magufuli Kama walivyomtia nyavuni Lauren Gabgho! Kitakachofuata ni Ccm kuwa na akili na kuruhusu katiba mpya ambayo ndo utakuwa mwanzo wa ukombozi wa kweli wa Tanzania
 
Icc watamtia nyavuni magufuli Kama walivyomtia nyavuni Lauren Gabgho! Kitakachofuata ni Ccm kuwa na akili na kuruhusu katiba mpya ambayo ndo utakuwa mwanzo wa ukombozi wa kweli wa Tanzania
Sawa mkuu tunasubiri Lisu awe rais huku Magu akiwa amekamatwa na ICC

[emoji4][emoji4][emoji4]
 
kutoka kisiwa cha amani hadi kisiwa cha unafiki.
Na Safari hii ndo watajua kuwa unafiki unalipa au haulipi. Na Bado Biden hajakabidhiwa ikulu hapo January 2021. Lazima watu wawehuke Safari hii!! Huku sanctions kule ICC.
 
Sawa mkuu tunasubiri Lisu awe rais huku Magu akiwa amekamatwa na ICC

[emoji4][emoji4][emoji4]
Lissu ni alama y ukombozi wa kweli ya Tanzania. Kinachoangaliwa sasa ni madhalimu kufikishwa kwenye mikono ya sheria ili wajue dunia si kama familia zao na sio Lissu kuwa Raisi.
 
Lissu ni alama y ukombozi wa kweli ya Tanzania. Kinachoangaliwa sasa ni madhalimu kufikishwa kwenye mikono ya sheria ili wajue dunia si kama familia zao na sio Lissu kuwa Raisi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ni yeye!!

Mwaka huu ccm watajuta, watajua hawajui..

Sijui hutu tumaneno tumewaishia wapi nyie wana amsterdam
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ni yeye!!

Mwaka huu ccm watajuta, watajua hawajui..

Sijui hutu tumaneno tumewaishia wapi nyie wana amsterdam
Siku si nyingi utajua maana ya hayo maneno.

Kwa taarifa yako tu, hakuna kiongozi aliyewai kutolewa tamko na Kamisheni ya Haki za Binadamu ya Umoja wa mataifa na jalada lake likafika Icc alafu akapona.

Sasa kama Magufuli ametolewa tamko hadi na kamisheni ya Haki za binadamu ya umoja wa mataifa hapo sijaweka nchi zenye ushawishi UN kama Uingereza, Marekani, Canada na Ujerumani ambazo nazo zimemtolea matamko juu ya huu uchaguzi alafu sasaivi jalada lake limo ICC najua kwa akili zako ndogo tu lazima utakuwa unajua kifuatacho ni nini.
 
Vizuri Dunia ijue bado tuna wajinga,kiburi, walafi na washamba wa madaraka zama hizi za mwanga.#Mimi sipangiwi#
Dunia ikijua ndio inakuwaje? hao mnaowaita wajinga na washamba ndio walioaminiwa na watanzania walio wengi kuliongoza Taifa hili, nyie mnaojiita wajanja tulieni muongozwe na wajinga kwani ni kheri kuongozwa na mjinga kuliko mpumbavu.

Taifa hili kamwe halitoongozwa na waroho wa madaraka walio tayari kuuza hata utu wa Mtanzania ili wao washike madaraka.

Imeshindikana na haitowezekana.
 
Mmemfanya Magufuli aonekane kiongozi wa ovyo wakati alikuwa na nafasi ya kuwa No.2 best kwa Marais wa nchi hii. Hakujua mnatetea matumbo yenu badala ya nchi. Alipoanza aliwaweka pembeni wahafidhina wajinga wa CCM lakini ghafla mkamshawishi wizi kama mlaivyofanya kwa Mkapa. Matokeo yake sasa anaendeshwa na ushauri wa kina Polepole na Kabudi wachumia tumbo waliokiri kuokotwa jalalani.
Kaeni kwa kutulia sasa, JPM still the best president in Africa. Watanzania wamemuamini.
 
Safari hii lazima aende Ulaya eti?

Bahati mbaya haendi kwa hiari na furaha bali kwa lazima na aibu kubwa. Yaani kule ilikuwa ni lazima aende (ule ugonjwa wake pia lazima ungemfikisha kule).

Na bado spana nzito nzito za vikwazo zinaandaliwa.Mbona atakoma kwa hii miaka yake 5?
Yani aache kuwasikiliza na kuwatumikia watanzania waliomuamini mpaka kumpa hiyo rdhaa ya miaka mitano aje asumbuke na kelele za malofa wapumbavu,huyo Tundu wenu hv sasa anaomba maridhiano😂,hizo spana zimesaidia nini wakati mtu kashinda kwa asilimia zaidi ya 80%😄
 

Tanzania: How Magufuli Has Steered Tanzania Down the Road of an Authoritarian One-Party State

ANALYSISBy Nicodemus Minde

Tanzania's 2020 general elections resulted in a predictably easy victory for one of Africa's oldest ruling parties, Chama Cha Mapinduzi.

The National Electoral Commission declared the incumbent, John Magufuli, the winner with 84.4% of the vote. His closest challenger, Chadema's Tundu Lissu, garnered a paltry 13%. The ruling party also won 261 of the 264 parliamentary seats. This represents 98.86% of the total.

Similar results were reported in Zanzibar, a semi-autonomous island region of Tanzania. There the presidential candidate Hussein Mwinyi was declared the winner with 76.6% of the votes. The ruling party captured all but three House of Representative seats. Results also indicate that it won a landslide in the ward elections.

But the elections on the island and on the Tanzanian mainland were marred by serious irregularities and poll violence. The elections were carried out in an environment of widespread intimidation and harassment. There was heavy police and army deployment in the lead up to the elections.


After the poll, opposition leaders were arrested and detained and civilians were shot by the police.

The results mean that Chama cha Mapinduzi now has absolute political control over Tanzania and Zanzibar - more than at any time since the advent of the multiparty era in 1992. The party's domination has been shored up through repeated electoral victories, decades in power, and the exclusion of the opposition.

While there has been a global retreat in democracy Tanzania's democratic rollback over the past five years has been unprecedented. Ever since Magufuli's election in 2015 the democratic environment in Tanzania has changed.

The country is currently categorised as 'partly free' by Freedom House on its democratic index. Given events pre and post the election, it could soon be classified as 'not free'.

Dismembering the opposition
Magufuli's first term started off on a positive note . He vowed to fight corruption and make government more efficient.

But it wasn't long before his presidency became characterised by the persistent infringement of human rights, repressive laws and repression of political opposition.

For example, there were repeated arbitrary arrests and detentions of opposition politicians, a rise in police brutality, as well as a crackdown on the media and civil society.

The conduct of this year's election exemplified this authoritarian turn.
From the onset of the latest electoral cycle, it was evident that Chama cha Mapinduzi was hellbent on winning and consolidating its grip on power. It soon became clear that the electoral commission was biased and that the police force was partisan.

Magufuli vowed to annihilate the opposition when he came to power five years ago. According to him, the opposition's 'politicking' was a hindrance to the country's development. By February 2016, he had banned all political party rallies. He then embarked on a systematic coopting of opposition figures into his party.

Some members of the opposition were offered government positions in exchange for allegiance to the ruling Chama cha Mapinduzi. The party denied that opposition members were being paid off, insisting that they had willingly defected to support the president's development agenda. This alleged newfound unity of purpose was touted in Kiswahili as kuunga juhudi (supporting a joint effort).

Magufuli has also used laws to created a culture of fear and intimidation. For example, with the crackdown on the media, journalists are afraid of making any critical analysis.

This culture is prevalent even among his own party members. Chama cha Mapinduzi has gradually been de-institutionalised. Decades of institutional stability and value are being eroded. The persona of the president has become a dominant force. This shift has been described by experts as Tanzania's authoritarian turn.

Magufuli's attitude towards women has also been a marker of his conservative nature. He has made a series of misogynistic remarks which his supporters have tried to defend by claiming that they should be taken with a pinch of salt. One example was his suggestion to Kenyan president Uhuru Kenyatta, that Kenya's then Foreign Affairs Cabinet Secretary Monica Juma be 'given to him'. Magufuli went on to explain that she was not only a competent minister, but good-looking too.

The damage that Magufuli has done has extended beyond Tanzania. During his term he has managed to isolate the country internationally by pursuing an isolationist foreign policy and insisting on homegrown economic transformation efforts.

What next
The two main opposition parties, Chadema and ACT-Wazalendo, dismissed the elections as fraudulent and called for nationwide protests.

The government responded by arresting, and then releasing Chadema Chairman Freeman Mbowe and other party officials.
Presidential candidate Tundu Lissu, who survived an assassination attempt in 2018, was also apprehended and later released. He has now left the country for fear of political persecution.

Former Arusha Urban MP Godbless Lema is seeking asylum in Kenya also citing fears of political persecution. In Zanzibar, ACT-Wazalendo Deputy Secretary General Nassor Mazrui is still being held by the police since his arrest on 29 October 2020.

Magufuli looks to further increase his tight grip on power in the next five years. With virtually no opposition, and its choke hold on Tanzanian politics, the ruling Chama cha Mapinduzi looks set to cement its dominance, and entrench its authoritarian rule.
The opposition - however much it feels weakened - must now push for reforms. And it should boycott future elections until electoral reforms are put in place.
Nicodemus Minde, PhD Fellow, United States International University

This article is republished from The Conversation Africa under a Creative Commons license. Read the original article.
 
Back
Top Bottom