Tanzania nchi iliyojaa wanafiki na wanaojali matumbo yao

wanafiki, nawasalimu kwa upendo wa dhati.
 
Hata wale waliokuaga DECI, ikafungwa wakaambiwa pesa zao zitapatikana..... nadhani hadi sasa wale walio hai wanasubiria

Basi farijianeni kwa maneno hayo
 
Wana macho na hawaoni. Wana masikio na hawasikii. Basi "come what may. A good section of peoples souls are broken and desperate.
 
Na mwaka huu Kweli kaingia cha kike. Kwa yaliyotokea Zanzibar na maeneo mengine Tanzania hadi yametolewa tamko na UN. Hapo ni na watu wake
Zanzibar inaungwa mkono na wale waliosababisha muungano ambao ni USA,UK.
Jiulize kwanini tokea machafuko yanayojirudia rudia huko Zanzibar kila uchaguzi miaka nenda miaka rudi,serikali haichukuliwi hatua.
 
Let us not all the aggrieved be such optimistic. Let us reserve our bitter sentiments in quite prayers, while wishing hell to this dictatorial regime.
 
Umenifumbua macho, hata Kikwete Kwa mamlaka alivyokuwa nayo angeweza kufanya kioja kama cha Magufuli kwenye chaguzi lakini hakufanya sio kwamba alikuwa hawezi lakini alifunika kombe. SASA huyu mshamba alijua atatumia jeshi watu watatulia. Amebugi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mtu yuko kadarakani kamkimbiza Lisu hadi ubelgiji bila kupenda alafu unamuita mshamba?

2025 itafika bado mmekalia upumbavu kama huu huu na ccm inawapiga tena, mnarudi pale pale
 
Mnajamba jamba tu ila sindanobya chuma imewaingia kila sikunaleta matamko jf,subirin hvyo hvyo tena mara paaap 2025 hii nyambafuu
Nakwambiaje. Jiandae kumsindikiza ICC huyo unayemtetea hapa.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Na bado mbona mtakomaa
 
Tuliwaonya kwamba Amsterdam anamharibia huyo jamaa yenu na ataishia kupata chini ya 20%
Sasa huyo Amsterdam anaenda kuhakikisha Magufuli na watu wake wanatolewa Arrest Warrant na ICC
 
Hayo ni malalamiko yako tu na hayatakusaidia hadi 2025 inafika utakuwa unalalama tu kama hivi.
Endelea kuishi kwa kukariri. Jiandae kumsindikiza Magufuli wako ICC nakwambia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…