Dede 01
JF-Expert Member
- May 12, 2024
- 1,182
- 2,248
Acha kulalamika tupo kwenye dunia ya kibepari maendeleo yako binafsi yapambanie mwenyewe nchi kama China na India zina uchumi mkubwa lakini lalahoi wapo.Unareflect nn kwenye maisha yako ya kila siku huo uchumi? Zao la nchi karibu 80% linalambwa watu wasiozidi 1000 wa sisiemu we unasifia mijidata ya mtandaoni