Tanzania: Nchi pekee ambayo wapinzani wanathubutu kunajisi Utawala wa Sheria

Tanzania: Nchi pekee ambayo wapinzani wanathubutu kunajisi Utawala wa Sheria

Nenda russia, nenda Spai,nenda cuba, and the list goes on
Huwezi kuta Vyama vya upinzani vinaleta fujo zisizo za maana

Wewe unapinga kila kitu,unadharau viongozi,then bado unawafatilia for what?

Mind your own business, acha Watanzania wazalendo tuijenge Nchi yetu,hatuwezi kuisaliti Nchi yetu kama nyie

Im a critic you dummy!

Russia ni totalitarian ex communist stupid state,uchumi mdogo sawa na jimbo la Maryland!

Plus Russia is not “Developed” state yet!

Spain,you are lying,no such stupid dictatorial tendencies has happened there!Muongo kama mbwa!

Cuba is a stupid communist state,a third world country!

Hizi nchi za kipumbavu ndio unaiga way of governance from?

Punguani kabisa,wewe na mawe unaemlamba kende put together!
 
Kweli kabisa mtoa mada, Tanzania ndio nchi pekee Duniani ambako mgombea urais alieshindwa vibaya ndie anaetangazwa kuwa rais huku alieshinda tena kwa kura kibao hapewi hata utebdaji wa mtaa.
 
Im a critic you dummy!

Russia ni totalitarian ex communist stupid state,uchumi mdogo sawa na jimbo la Maryland!

Plus Russia is not “Developed” state yet!

Spain,you are lying,no such stupid dictatorial tendencies has happened there!Muongo kama mbwa!

Cuba is a stupid communist state,a third world country!

Hizi nchi za kipumbavu ndio unaiga way of governance from?

Punguani kabisa,wewe na mawe unaemlamba kende put together!

These Lumumba street guys are the epitome of lunacy and idiocy combined.
 
Chadema lini mnafanya uchanguzi ndani ya chama maana viongozi waliopo muda wao umekwisha na msajili kawaandikia barua Mara mbili mnasemaje ama unasubili mbowe aseme muanze kushadadia nyuma
Rais Ni Ccm.
Makamu Wa Rais Ni Ccm.
Waziri Mkuu Ni Ccm.

Halafu Wewe Nimekuteua Unasema Huna Chama.
Yaani Nikupe Nyumba ,Gari na Mshahara Halafu Nisikie Mmemtangaza Mpinzani Kashinda.

Mtoa Mada Unaweza Kunipa Muongozo wa Haya Maneno Yaliyo Tamkwa Na Kiongozi mkubwa Ambae Anatoka kwenye Nchi Unayoiita Serikali yake Inatawala Kwa Mujibu Wa Sheria?.
 
Taja nchi iliyoendelea then “ikafuta” vyama vya upinzani?

Maccm yakiamua kuharisha kutegemeana na katiba za bongo zao mbovu ni taabu sana!
Mwambieni mwkt wenu aitishe uchanguzi ndani ya chama chenu chadema haina uogozi pale wanabaka wanachama wale muda wao umeisha
 
Chadema lini mnafanya uchanguzi ndani ya chama maana viongozi waliopo muda wao umekwisha na msajili kawaandikia barua Mara mbili mnasemaje ama unasubili mbowe aseme muanze kushadadia nyuma
Hongera kwa Kuonyesha Kiwango Cha Ujinga Wako mbele za Watu..
 
Mwambieni mwkt wenu aitishe uchanguzi ndani ya chama chenu chadema haina uogozi pale wanabaka wanachama wale muda wao umeisha

Leo mwana CcM anajifanya mwalimu wa kuifundisha Chadema demokrasia!

What an irony?

Mwenyekiti wenu dikteta!

Anaiba ugombea wa watu asilimia 98% na kuwafuta ili wake wapite bila kupingwa!

On top of that,watu wanauawa kila siku na kupotea!

Halafu katiba inavunjwa kila siku na huyo huyo jamaa yenu!

Heri avunje katiba ya chama cha kijani,anavunja katiba ya nchi!

Ndio chama cha ccm hicho!

Leo kinaifundisha chadema how to be democratic!

Fvck outta here!
 
kwa sasa wajenga hoja wamepungua sana upande wa CCM. mfumo wa maamuzi toka juu umewaagusha.
 
W
kwa sasa wajenga hoja wamepungua sana upande wa CCM. mfumo wa maamuzi toka juu umewaagusha.
Watendaji wa kata Wana group lao nchi nzima,muwaulize wanapeana ushenzi gani kuhusu uchaguzi huu was serikali za mitaa?.
Tunajua Kila kitu na baadhi ya viongozi wa upinzani baada ya kudokezwa na watendaji wema ndo maana wakajitoa.
 
Back
Top Bottom