Tanzania: Nchi pekee inayoshiriki michuano ya AFCON ambayo Television ya Taifa lake haioneshi michuano hiyo

Mkurugenzi wa TBC anaitwa Dr Ayubu Ryoba , ni msomi wa juu kabisa , ambaye ndani ya TBC ndiye muongoza njia , hawezi kukwepa lawama ya jambo hili.

Taarifa za awali zinaonyesha kwamba kitendo cha TBC kushindwa kuonyesha michuano ambayo timu ya Taifa lake inashiriki tena baada ya karibu miaka 40 kupita , si tu kitendo cha AIBU peke yake bali pia ni REKODI YA DUNIA , TBC kuona ni bora kutangaza vipindi vya propaganda vilivyokosa watazamaji Baada ya wananchi kustuka vya " TUNATEKELEZA " na kuacha kuonyesha AFCON kinaashiria umasikini wa Nchi kifedha na kiakili , jambo linalotia aibu mtu mmoja mmoja na linatia aibu viongozi mmoja mmoja na mwishowe linadhalilisha wananchi wote kwa ujumla .

Nakulilia Tanzania
Hawa kila kitu ni tegemezi watakuwa wanaacha vipindi kwenye hili li Tbc wanaende kuangalia Azamu
 
Ninyi tunawajua sana...wazee wa kuhamisha magori. TBC wangeonyesha mgesema...mara ohoo!! Tv ya taifa inaingilia sekta binafsi...kuwa wawaache UTV na SS waonyeshe pekee...Tunawajua sana ninyi
Aisee badilikeni bwana na hilo li chaneli lenu mnakera sana nyinyi, halafu mnajifanya hamtaki kuambiwa.

Nasema tena badilikeni.
 
Azam tv kwa sasa ndiyo wamejigeuza automatically kuwa shirika la utangazaji la Taifa kirahisi tu kwa kutumia madhaifu ya wenzangu na mimi ambao wanatumia muda wao mwingi kuhubiri propaganda za za chama na serikali.
 
Ila TBC na KBC ya Kenya wana poor picture quality...wenzetu Rwanda TV wako vizuri Sana yaani iko clear wakifuatiwa na UBC ya Uganda..

Hakuna Kitu au Jambo la Rwanda au Uganda likawa baya. Hizi nchi mbili zina Watu Serious mno katika Mambo yao na Utendaji wao na ndiyo maana wanatuacha Kimaendeleo katika Nyanja nyingi sana.
 
Hawana pesa za kuomba wapewe leseni
Hawana Pesa kwa sababu Hakuna matangazo ya makampuni Kwa sababu kampuni haziwezi kupeleka matangazo kwenye Channel ambayo haina wadau
Mdau wao mkuu ni Serikali!
 
Mkurugenzi wa TBC anaitwa Dr Ayubu Ryoba , ni msomi wa juu kabisa , ambaye ndani ya TBC ndiye muongoza njia , hawezi kukwepa lawama ya jambo hili.
Taarifa za awali zinaonyesha kwamba kitendo cha TBC kushindwa kuonyesha michuano ambayo timu ya Taifa lake inashiriki tena baada ya karibu miaka 40 kupita , si tu kitendo cha AIBU peke yake bali pia ni REKODI YA DUNIA , TBC kuona ni bora kutangaza vipindi vya propaganda vilivyokosa watazamaji Baada ya wananchi kustuka vya " TUNATEKELEZA " na kuacha kuonyesha AFCON kinaashiria umasikini wa Nchi kifedha na kiakili , jambo linalotia aibu mtu mmoja mmoja na linatia aibu viongozi mmoja mmoja na mwishowe linadhalilisha wananchi wote kwa ujumla .
Nakulilia Tanzania
Wapumbavu sana.
 
Hawana pesa za kuomba wapewe leseni
Hawana Pesa kwa sababu Hakuna matangazo ya makampuni Kwa sababu kampuni haziwezi kupeleka matangazo kwenye Channel ambayo haina wadau
TBC ingeonesha AFCON ingekuwa na watazamaji wengi sana kwa sababu kila mwenye tv ana TBC
 
Kama kilichosemwa kina mantiki sana. It’s unbelievable and unexplainable as well.
 
Hawana pesa za kuomba wapewe leseni
Hawana Pesa kwa sababu Hakuna matangazo ya makampuni Kwa sababu kampuni haziwezi kupeleka matangazo kwenye Channel ambayo haina wadau
Wadau si ndo hao MaCCM waimba mapambio
 
Back
Top Bottom