TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 25,225
- 25,488
Ninyi tunawajua sana...wazee wa kuhamisha magori. TBC wangeonyesha mgesema...mara ohoo!! Tv ya taifa inaingilia sekta binafsi...kuwa wawaache UTV na SS waonyeshe pekee...Tunawajua sana ninyi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa kila kitu ni tegemezi watakuwa wanaacha vipindi kwenye hili li Tbc wanaende kuangalia AzamuMkurugenzi wa TBC anaitwa Dr Ayubu Ryoba , ni msomi wa juu kabisa , ambaye ndani ya TBC ndiye muongoza njia , hawezi kukwepa lawama ya jambo hili.
Taarifa za awali zinaonyesha kwamba kitendo cha TBC kushindwa kuonyesha michuano ambayo timu ya Taifa lake inashiriki tena baada ya karibu miaka 40 kupita , si tu kitendo cha AIBU peke yake bali pia ni REKODI YA DUNIA , TBC kuona ni bora kutangaza vipindi vya propaganda vilivyokosa watazamaji Baada ya wananchi kustuka vya " TUNATEKELEZA " na kuacha kuonyesha AFCON kinaashiria umasikini wa Nchi kifedha na kiakili , jambo linalotia aibu mtu mmoja mmoja na linatia aibu viongozi mmoja mmoja na mwishowe linadhalilisha wananchi wote kwa ujumla .
Nakulilia Tanzania
Aisee badilikeni bwana na hilo li chaneli lenu mnakera sana nyinyi, halafu mnajifanya hamtaki kuambiwa.Ninyi tunawajua sana...wazee wa kuhamisha magori. TBC wangeonyesha mgesema...mara ohoo!! Tv ya taifa inaingilia sekta binafsi...kuwa wawaache UTV na SS waonyeshe pekee...Tunawajua sana ninyi
Daah hahah swali lako limenichekesha sana mkuu hahah.Hizo leseni wenzetu walikaa tu wakapelekewa
TBC ni moja ya taasisi zinazoitia aibu serikali sana
the same tu siku ambayo meli ilizama kule zanziba!!Tetemeko la ardhi bukoba,ilionyeshwa na CNN
Taarabu ilikuwa imepamba moto siku ile TBC
Ona hili likamongoo tumbafuuuuuu nyaanda!Ninyi tunawajua sana...wazee wa kuhamisha magori. TBC wangeonyesha mgesema...mara ohoo!! Tv ya taifa inaingilia sekta binafsi...kuwa wawaache UTV na SS waonyeshe pekee...Tunawajua sana ninyi
Ila TBC na KBC ya Kenya wana poor picture quality...wenzetu Rwanda TV wako vizuri Sana yaani iko clear wakifuatiwa na UBC ya Uganda..
Mdau wao mkuu ni Serikali!Hawana pesa za kuomba wapewe leseni
Hawana Pesa kwa sababu Hakuna matangazo ya makampuni Kwa sababu kampuni haziwezi kupeleka matangazo kwenye Channel ambayo haina wadau
Wapumbavu sana.Mkurugenzi wa TBC anaitwa Dr Ayubu Ryoba , ni msomi wa juu kabisa , ambaye ndani ya TBC ndiye muongoza njia , hawezi kukwepa lawama ya jambo hili.
Taarifa za awali zinaonyesha kwamba kitendo cha TBC kushindwa kuonyesha michuano ambayo timu ya Taifa lake inashiriki tena baada ya karibu miaka 40 kupita , si tu kitendo cha AIBU peke yake bali pia ni REKODI YA DUNIA , TBC kuona ni bora kutangaza vipindi vya propaganda vilivyokosa watazamaji Baada ya wananchi kustuka vya " TUNATEKELEZA " na kuacha kuonyesha AFCON kinaashiria umasikini wa Nchi kifedha na kiakili , jambo linalotia aibu mtu mmoja mmoja na linatia aibu viongozi mmoja mmoja na mwishowe linadhalilisha wananchi wote kwa ujumla .
Nakulilia Tanzania
TBC ingeonesha AFCON ingekuwa na watazamaji wengi sana kwa sababu kila mwenye tv ana TBCHawana pesa za kuomba wapewe leseni
Hawana Pesa kwa sababu Hakuna matangazo ya makampuni Kwa sababu kampuni haziwezi kupeleka matangazo kwenye Channel ambayo haina wadau
Kwa hiyo haikua priority yao kutafuta leseni?Nadhani hawana leseni ya kuonesha
Wadau si ndo hao MaCCM waimba mapambioHawana pesa za kuomba wapewe leseni
Hawana Pesa kwa sababu Hakuna matangazo ya makampuni Kwa sababu kampuni haziwezi kupeleka matangazo kwenye Channel ambayo haina wadau
Haya endeleeni na mapambio yenu ya kusifu na kuabuduNinyi tunawajua sana...wazee wa kuhamisha magori. TBC wangeonyesha mgesema...mara ohoo!! Tv ya taifa inaingilia sekta binafsi...kuwa wawaache UTV na SS waonyeshe pekee...Tunawajua sana ninyi