Tanzania: Nchi pekee inayoshiriki michuano ya AFCON ambayo Television ya Taifa lake haioneshi michuano hiyo

Mkurugenzi wa TBC anaitwa Dr Ayubu Ryoba , ni msomi wa juu kabisa , ambaye ndani ya TBC ndiye muongoza njia , hawezi kukwepa lawama ya jambo hili.

Taarifa za awali zinaonyesha kwamba kitendo cha TBC kushindwa kuonyesha michuano ambayo timu ya Taifa lake inashiriki tena baada ya karibu miaka 40 kupita , si tu kitendo cha AIBU peke yake bali pia ni REKODI YA DUNIA , TBC kuona ni bora kutangaza vipindi vya propaganda vilivyokosa watazamaji Baada ya wananchi kustuka vya " TUNATEKELEZA " na kuacha kuonyesha AFCON kinaashiria umasikini wa Nchi kifedha na kiakili , jambo linalotia aibu mtu mmoja mmoja na linatia aibu viongozi mmoja mmoja na mwishowe linadhalilisha wananchi wote kwa ujumla .

Nakulilia Tanzania
labda wamepanga kutufanyia surprise. wanasubiri dakika chache mpira kuanza, ndio watatangaza kuwa wanaonyesha.
 
Mkurugenzi wa TBC anaitwa Dr Ayubu Ryoba , ni msomi wa juu kabisa , ambaye ndani ya TBC ndiye muongoza njia , hawezi kukwepa lawama ya jambo hili.

Taarifa za awali zinaonyesha kwamba kitendo cha TBC kushindwa kuonyesha michuano ambayo timu ya Taifa lake inashiriki tena baada ya karibu miaka 40 kupita , si tu kitendo cha AIBU peke yake bali pia ni REKODI YA DUNIA , TBC kuona ni bora kutangaza vipindi vya propaganda vilivyokosa watazamaji Baada ya wananchi kustuka vya " TUNATEKELEZA " na kuacha kuonyesha AFCON kinaashiria umasikini wa Nchi kifedha na kiakili , jambo linalotia aibu mtu mmoja mmoja na linatia aibu viongozi mmoja mmoja na mwishowe linadhalilisha wananchi wote kwa ujumla .

Nakulilia Tanzania
television ya taifa ni ipi?
 
TBC ya Tido ilionyesha mpk EPL, japo game 1 kwa wiki!
 
Chadema raha sana,TBC wakionesha wao hawaangalii. Ahahahaaa.
 
Back
Top Bottom