Tanzania: Nchi pekee inayoshiriki michuano ya AFCON ambayo Television ya Taifa lake haioneshi michuano hiyo

Tanzania: Nchi pekee inayoshiriki michuano ya AFCON ambayo Television ya Taifa lake haioneshi michuano hiyo

Dr Ayubu ahhhh please mwite Ayubu tu maana njaa mbaya sana huyu jamaa utasema sio yule. Halafu unajuwa duniani kuna watu sura zao hazifichi chembechembe za uongo na unafiki huyu namuweka kundi moja na Babu Tale.

Najiuliza sipati jibu, kwanini JPM anampenda sana huyo Ayub au ni kwa hizo sifiasifia? Kuna siku pia nilimshangaa sana huyu bwana ni pale aliposema kuwa TBC inashindwa kuhamia Dodoma kwani ni gharama sana kuhamisha mitambo yake, hapo nikajiuliza iwapo Waziri mkuu kaweza kuhama yeye na ka TBC yake atashindwaje kuhama au kufungua TBC makao makuu Dodoma na Dar ikabaki kuwa tawi tu? je yeye binafsi atafanyaje kazi za kutoka makao makuu akiwa Dar au ndio njia ya kupata per diem yeye na wafanyakazi wenzie?
 
Ukiacha Warioba ambae kwa nadra sana hua anakumbuka Katiba iliyozikwa mtu mwingine alietia aibu Elimu kwa kulamba matapishi ni huyu DR Rioba, kabla hajawa mkuu wa TBC alikua mkosoaji mkubwa wa namna inavyoendeshwa. Katika vipindi vya darasani alikua haachi kuitolea mfano mbaya lkn Leo nae amekua mmoja wa tatzo.
Ndugu ukitaka kummaliza mwanaharakati machachari we mpe uongozi tu chini ya ccm hapo atatulia tu mwenyewe
 
Ndugu Yangu kuna haja gani au umepungukiwa na nini kwa TBC kutokuonesha AFCON?Angalia kwa vituo vinavyoonesha
 
Hivi tz kuna tv ya taifa au ccm..?? Nyie endeleeni kusubiri matajiri bilionaire100...


Hahahahhaaa nacheka kwa dharau
 
Najiuliza sipati jibu, kwanini JPM anampenda sana huyo Ayub au ni kwa hizo sifiasifia? Kuna siku pia nilimshangaa sana huyu bwana ni pale aliposema kuwa TBC inashindwa kuhamia Dodoma kwani ni gharama sana kuhamisha mitambo yake, hapo nikajiuliza iwapo Waziri mkuu kaweza kuhama yeye na ka TBC yake atashindwaje kuhama au kufungua TBC makao makuu Dodoma na Dar ikabaki kuwa tawi tu? je yeye binafsi atafanyaje kazi za kutoka makao makuu akiwa Dar au ndio njia ya kupata per diem yeye na wafanyakazi wenzie?
Kuna umuhimu kwa TBC kuhamia Dodoma?
 
Pesa ya walipa kodi haijatendewa haki haiwezekani watanzania wote wakaona mpira kwenye kampuni ya kibinafsi ikiwa yao wanaoichangia ili ijiendeshe hawapati haki yao halafu TV hii inawatangazia wananchi pamoja na waziri husika waichangie tanzania kama jambo la kizalendo wakati wenyewe si wazalendo (huu unaitwa unafiki).
 
AFCON 2019 Free-To-Air Broadcast Rights
BY MARCY MAJUEK
12TH JUNE,2019.

The Cabinet Secretary for ICT, Mr Joe Mucheru has today 12th June,2019 said that Kenya Broadcast Corporation (KBC) has clinched the Free-to-air broadcast rights for the Africa Cup of Nations (AFCON) that kicks off on 21st June to 19th July,2019 in Cairo, Egypt.
Speaking at the Media Centre, Mr. Mucheru said that the AFCON is a biennial soccer extravaganza that brings together top Africa football nations for a competition. Mr. Mucheru said that, the tournament to held in Egypt, has grown rapidly, and is now in the 32nd edition.
“AFCON tournament is set to put Kenya on the continental map given the fact that Harambee stars are participating in the event with the full support of our President H.E Uhuru Kenyatta and the Government in totality,” Mr. Mucheru said.
The Cabinet Secretary said that KBC as a public broadcaster has a mandate to the Kenyan publics and therefore it had to acquire its rights for the public good.
“The Ministry recognizes the role played by KBC as the national broadcaster in creating cohesion and encouraging Kenyans to embrace diversity by ensuring coverage of the event against all odds and advancing Government communication more so the Big Four Agenda,” Mr. Mucheru said.
The ICT Cabinet Secretary pointed out that the government is committed to supporting KBC turn- around strategies that will transform the Corporation into a contemporary Public Broadcaster.
Mr. Mucheru urged the Management board and staff to take the opportunity and explore all strategies revamping the corporation.
 
Macho ya ndugai yanatosha. Ni makubwa mno mithili ya taa za uwanjani.
 
Back
Top Bottom