Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Umegundua kadri umaskini na ukosefu wa ajira unavyoongezeka ndivyo muda wa vipindi vya redio na TV kujadili michezo unavyoongezeka;
Kipindi cha michezo kinapewa airtime ya masaa matatu na mara nyingi kinarushwa zaidi ya mara moja Kwa siku
Kwa kuwa michezo ndiyo inayopewa airtime nyingi basi wafanyabiashara na wawekezaji WA Kigeni wanaongezeka Kwa Kasi kuja kusimamia betting na kutoa ajira zisizo na staha Kwa Watanzania ambao kwao kukaa kikiweni 3hrs kujadili mayele au Fei Toto siyo hasara.
Tumefikia point hata kusoma few pages za habari za uwekezaji au biashara hatusomi; wote tunasoma habari za michezo
Matokeo yake TUNACHEZEWA KWA SABABU TUNAPENDA MICHEZO