Tanzania Nchi ya Mpira

Tanzania Nchi ya Mpira

Resilience

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2023
Posts
1,096
Reaction score
4,948
Umegundua kadri umaskini na ukosefu wa ajira unavyoongezeka ndivyo muda wa vipindi vya redio na TV kujadili michezo unavyoongezeka;

Kipindi cha michezo kinapewa airtime ya masaa matatu na mara nyingi kinarushwa zaidi ya mara moja Kwa siku

Kwa kuwa michezo ndiyo inayopewa airtime nyingi basi wafanyabiashara na wawekezaji WA Kigeni wanaongezeka Kwa Kasi kuja kusimamia betting na kutoa ajira zisizo na staha Kwa Watanzania ambao kwao kukaa kikiweni 3hrs kujadili mayele au Fei Toto siyo hasara.

Tumefikia point hata kusoma few pages za habari za uwekezaji au biashara hatusomi; wote tunasoma habari za michezo

Matokeo yake TUNACHEZEWA KWA SABABU TUNAPENDA MICHEZO
 
Michezo na burudani nyingi zimewekwa makusudi mazima ili kugandisha akili isitembee kwenda kushughulikia mambo ya msingi zaidi.

Nchi za Kiarabu Mashariki ya kati walipoweka msimamo mkali kwamba hawahitaji tamaduni za Marekani ziingie huko na kuwavuruga, Mmarekani akawajibu kwamba yeye tayari ana Hollywood na internet itafanya kila kitu.
 
Ila Tanzania Ni miyeyusho Sana, Redio zenu kila muda zinaongelea mambo ya mpira especially clouds Fm.

Hakuna matangazo ya taarifa ya habari jamani.
 
Umegundua kadri umaskini na ukosefu wa ajira unavyoongezeka ndivyo muda wa vipindi vya redio na TV kujadili michezo unavyoongezeka;

Kipindi cha michezo kinapewa airtime ya masaa matatu na mara nyingi kinarushwa zaidi ya mara moja Kwa siku

Kwa kuwa michezo ndiyo inayopewa airtime nyingi basi wafanyabiashara na wawekezaji WA Kigeni wanaongezeka Kwa Kasi kuja kusimamia betting na kutoa ajira zisizo na staha Kwa Watanzania ambao kwao kukaa kikiweni 3hrs kujadili mayele au Fei Toto siyo hasara.

Tumefikia point hata kusoma few pages za habari za uwekezaji au biashara hatusomi; wote tunasoma habari za michezo

Matokeo yake TUNACHEZEWA KWA SABABU TUNAPENDA MICHEZO
Komaa na mishe zako yanga ya sasa itakutoa roho.
 
Back
Top Bottom