Wasalaam JMT,
.........Kazi iendelee .........
Tanzania baada kutajwa kama nchi yenye gharama ndogo ya mafuta ya taa, Petroli na dizeli ukiilinganisha na nchi zingine zinazounda jumuiya yetu ya Africa Mashariki ( EAC )
Vilevile,baada Tanzania kutajwa kuwa nchi yenye gharama ndogo ya kununua bando yaani ( GB 1 ) Africa || Pongezi ziende kwa kiongozi mkuu wa Serikali Rais Samia Suluhu Hassan kwa juhudi kubwa na nzuri anazozifanya katika kuwaletea maendeleo endelevu watu wake,
Ukisoma taarifa za jarida maarufu duniani la GPP ( Global Petrol Price) linaonesha hadi mwanzoni mwaka huu wa 2021 na mwishoni mwamwaka 2020 bei ya Umeme kwa ( kWh) kwenye mataifa makubwa ya Africa mashariki ( electricity tariff ) ilikuwa kama ifuatavyo :-
1. Rwanda 0.258kWh au TZS 567,6
2.Kenya 0.212kWh au TZS 466.4
3. Uganda 0.191kWh au TZS 420.2
4. Tanzania 0.099kWh au TZS 217.8
Hapa Watanzania mnielewe vizuri,Bei hii inamaana kuwa "Umeme anaotumia Mtanzania kwa siku mbili akienda Rwanda, Kenya au Uganda atatumia Umeme huohuo kwa masaa tu " Watanzania tuweni na shukrani nchi yetu iko vizuri Sana,
Watanzania lazima tuelewe vizuri, Juhudi zinazofanywa na Chama cha mapinduzi kupitia Serikali yake katika kuwaletea unafuu wa maisha wananchi wake huwezi kuzipata popote pale Africa na ushahidi ni hizi taarifa ambazo chanzo chake si Watanzania,
" Amini nawaambieni,Tanzania tuko vizuri Sana tusijidharau wala kujilalamikia God loves us "
.table-container { width: 100%; max-width: 800px; margin: 0 auto; font-family: Arial, sans-serif; } table { width: 100%; border-collapse: collapse; margin: 0; } th { background-color: #f9f9f9; border-top: 1px solid lightgray; border-bottom: 1px solid...
www.globalpetrolprices.com
VIVA TANZANIA VIVA | VIVA SAMIA VIVA
View attachment 1954959