Tanzania nchi ya umeme wa bei chee zaidi EAC

Why can't you proud off kwamba gharama za maisha zawananchi wetu ziko chini?

Lazima tuone juhudi za serikali ya Rais SAMIA
Angaliaga na GDP za watu Rwanda ni Landlocked Umeme wao kwa asilimia kubwa unatumia Diesel ambayo lazima isafirishwe kupitia Dar au Msa.

Iko siku utasema tumsifie Mama kwa sababu anapigia Colgate Raisi wa Somalia apigia mswaki wa mti.
 
Unaandika yaleyale shida yako nini?
 
Naona chapa yako ya CCM ikianzia na CM 177…Kuna mambo mengi ya kulinganisha hadi useme nchi moja ni bei nafuu kuliko nyingine manake shilling 100 Rwanda thamani yake ni tofauti na Burundi au nchi nyingine. Tusifanye direct comparisons kuna mengi mengine ya kulinganisha.
 
Soma hiyo attachment bei zote ziko kwenye US$ ,

Alichofanya ni kuzibali kuwa TZS kama standard yake
 
Soma hiyo attachment bei zote ziko kwenye US$ ,

Alichofanya ni kuzibali kuwa TZS kama standard yake
Unachoweza kufanya na 1U$ Rwanda ni tofauti na unachoweza kufanya Tanzania kwa hela hiyo hiyo.
 
Nilichogundua walalamishi wengi hawana data za kutosha na taarifa sahihi kiasi cha kuweza kulinganisha kinachoendelea nchini na nje ya nchi.

Wakiambiwa fact wanabaki kubishana tu.... hongera sana CM 1774858 kwa kubainisha hayo.
 
Naona kina Makamba & company mnaanza kutuandaa kisaikolojia.
Mwee! Mungu anawaona!
 
Mungu ibariki Tanzania,

Kumbe Tanzania tuko vizuri Sana tu
 
Nilichogundua walalamishi wengi hawana data za kutosha na taarifa sahihi kiasi cha kuweza kulinganisha kinachoendelea nchini na nje ya nchi.

Wakiambiwa fact wanabaki kubishana tu.... hongera sana CM 1774858 kwa kubainisha hayo.

Tuko pamoja mkuu wangu,

Tanzania shida ni taarifa tu,

Nchi iko vizuri sana kwa maana ya vizuri,

Rais anafanya makubwa kila Siku

Mungu atubariki Watanzania wote
 
naona ndo umetumwa kuzuia lawama ztu.
 
Yes mimi ndio CCM na CCM ndio Mimi,

Ondoa shaka kabisa nchi iko salama kweli kweli,

Amini anachofanya Rais Samia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…