Lord OSAGYEFO
JF-Expert Member
- Feb 19, 2021
- 3,085
- 4,890
Mwananchi lipa tozo kuipaisha nchi yako, usiwe mvivu wa kufikiri. Katiba mpya haitatoa kodi kwa wananchi katika nchi hii.Tanzania Nchi Yenye Kila Aina ya RASLIMALI Nchi yenye Nguvu kazi ya Kutosha Watu Mil.60
Nchi yenye ARDHI nzuri kwa KILIMO na MAKAZI lakini Wananchi Wake ni MASIKINI wa KUTUPWA wamerundikiwa FURUSHI la TOZO kila Mwananchi KALIBEBA FURUSHI
Ili Tuyaepuke hayo Maisha ni Muhimu KATIBA MPYA ikapatikana ili Tuwe na SIASA SAFI na VIONGOZI watakao Wajibishwa na WANANCHI sio Wananchi Wawajibishwe na VIONGOZI kama sasa
SERIKALI ni Ya WANANCHI sio ya VIONGOZI
Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
Utapotapeliwa pesa yako yote ndio utapokumbuka kuwa ni bora ungetoa tozo na kuepuka short cut ambayo ni wrong cut.Tunatuma tozo inapobidi, tumerudia zile njia za kuweka pesa dukani kwa Wapemba Kinondoni na ndugu yako anachukua kwa mdogowake Dodoma
Tuliishi maisha haya kabla ya miamala, hakuna jipya.Utapotapeliwa pesa yako yote ndio utapokumbuka kuwa ni bora ungetoa tozo na kuepuka short cut ambayo ni wrong cut.
Na yakipanda habari ndio imeishia hapo.
Tupe siri ya kutokulalamika kwako,au kwakuwa mwanakijani? Mnufaika? Au?Acheni kulalamika. Upigeni mwingi.
Sawa mke wa Mwigulu.Mwananchi lipa tozo kuipaisha nchi yako, usiwe mvivu wa kufikiri. Katiba mpya haitatoa kodi kwa wananchi katika nchi hii.
CHANGIA, CHANGIA, CHANGIA............
Pole kwa kuguswa na maelezo yangu. Lakini kama kujenga zahanati, kutengeneza barabara za vijijini unakutafsiri kama kujaza matumbo, itakuwa tunasafari ndefu.Sawa mke wa Mwigulu.
Endeleeni kujaza matumbo yenu kwa pesa za dhuluma.
Ipo siku, narudia Ipo Siku
Sawa nitachangia ili Miss Vasco Da Gama aendelee kudhurula kila Kona ya duniaPole kwa kuguswa na maelezo yangu. Lakini kama kujenga zahanati, kutengeneza barabara za vijijini unakutafsiri kama kujaza matumbo, itakuwa tunasafari ndefu.
CHANGIA, CHANGIA, CHANGIA mwananchi kwa maendeleo ya nchi yako, afya na mawasiliano.
Tulia wewe mke wa mwigulu, unadhani zahanati Ni majengoPole kwa kuguswa na maelezo yangu. Lakini kama kujenga zahanati, kutengeneza barabara za vijijini unakutafsiri kama kujaza matumbo, itakuwa tunasafari ndefu.
CHANGIA, CHANGIA, CHANGIA mwananchi kwa maendeleo ya nchi yako, afya na mawasiliano.
Hata huko nyuma tuliishi maisha ya shule ya msingi yenye wanafunzi 100 darasa la saba na kufaulu 3 tu kuendelea na sekondari, chuo kikuu kimoja, na hospitali ya rufaa moja tu na... na... na.......Tuliishi maisha haya kabla ya miamala, hakuna jipya.
Si uchumi wa kati hiyo hizo tozo za niniPole kwa kuguswa na maelezo yangu. Lakini kama kujenga zahanati, kutengeneza barabara za vijijini unakutafsiri kama kujaza matumbo, itakuwa tunasafari ndefu.
CHANGIA, CHANGIA, CHANGIA mwananchi kwa maendeleo ya nchi yako, afya na mawasiliano.
Ni kweli zahanati ni Majengo, kwa tafsiri kuwa hatuwezi kumhifadhi mgonjwa wakati kuna mvua kali au jua kali kwenye mti wa muembe au kumzalisha mamawatoto barabarani.Tulia wewe mke wa mwigulu, unadhani zahanati Ni majengo
Kitulize kimshono , subiria alizeti kutoka kijijini
Sent from my Nokia 2.1 using JamiiForums mobile app