Sifi Leo
Platinum Member
- Mar 30, 2012
- 6,408
- 12,100
Huwezi amini kuna mahala nipo sasa hivi naambiwa waziri mstaafu wa kilimo kwa KUSHRIKIANA na Mtoto pendwa Abdul wananunua CHOROKOš¤£š
NAKUMBUKA enzi za Jakaya tuliambiwa Rizi ndo mmiliki wa masheli mengi Tanzania nakumbuka mpaka alijitokeza kukanusha.
Sasa tunaambiwa masheli yamehamia kwa Abdul nani wa kuthibitisha?
Kwanini watoto wa marais wetu tumawahusisha na utajiri usiokuwepo?
Mkisikia wanauza kondom mtafurahi?
Heko kwako Rizi na Wanu kuleni MEMA ya nchi.