Tanzania ndio nchi yenye mzigo mdogo wa deni Afrika Mashariki kwa sasa

<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<>>>>>>>>>>>>>>>>>>

View attachment 2299582

Wale wanaopiga kelele kwamba Tanzania tunakopa na tumekopa Sana msikilize huyu Mwamba vizuri ndio utaelewa kwanini Mungu alimleta Rais Samia wakati huu,

Mkuu wa mkoa wa Simiyu akihojiwa na kituo cha redio cha E-FM amedadavua kwa undani Sana swala hili la deni la Taifa,

RC Kafulila anasema "tuangalie mjadala kuhusu ukubwa wa deni na afya ya kukopa.

Nianze kwa angalizo tu kwamba masuala ya kupima ukubwa wa deni na afya ya uchumi wa nchi kukopa ni sayansi ya uchumi na zipo kampuni 75 kimataifa( Global Credit Rating Agency). Maarufu ni3( MOODY'S, S&P na Fitch) ambazo zinamiliki zaidi ya 90% ya kazi hizi duniani.

Lakn kubwa kuliko zote ni MOODY'S. Ambayo inamiliki karibu 45% . Kwa mujibu wa Ripoti ya MOODY'S ya Agust30,2021, Tanzania imepewa daraja la B2( stable) kwa afya yake ya kukopesheka( creditworthiness) ikiwa juu ya Kenya, Namibia, Msumbiji, Ghana, Ivorycoast, Senegal na nchi nyingi ukanda wa kusini, mashariki na magharibi ya Afrika.

Taasisi hii ya MOODY'S inapima uchumi wa USA, nchi za Ulaya, Asia na kote duniani, inatupa daraja hilo, ni kielelezo kwamba tupo imara na thabiti ktk usimamizi wa deni na uchumi.

Bank ya Dunia Juni2022, tathimini yake imeonesha mzigo wa deni kwa uchumi( GDP) , Tanzania ni 31% wakati Kenya ikiwa na mzigo mkubwa wa 64% huku Rwanda 49.8% na Uganda 49.7%.

Nikweli deni ni changamoto kwa nchi nyingi za Afrika. Lakn bado afya ya Tanzania eneo hilo inaonekana imara kwa ulinganisho huo na vipimo vya taasisi zinazoheshimika kwa weledi wa kupima mambo haya dunaini."

#Tanzania tuko vizuri Sana,Hongera Rais Samia, asante Kafulila kwa kulifungua Taifa kimtazamo,
Nimesoma aya ya mwisho, nikabaini lengo la uzi.
 
Wale wanaopiga kelele kwamba Tanzania tunakopa na tumekopa Sana msikilize huyu Mwamba vizuri ndio utaelewa kwanini Mungu alimleta Rais Samia wakati huu,

Mkuu wa mkoa wa Simiyu akihojiwa na kituo cha redio cha E-FM amedadavua kwa undani Sana swala hili la deni la Taifa,

RC Kafulila anasema "tuangalie mjadala kuhusu ukubwa wa deni na afya ya kukopa.

Nianze kwa angalizo tu kwamba masuala ya kupima ukubwa wa deni na afya ya uchumi wa nchi kukopa ni sayansi ya uchumi na zipo kampuni 75 kimataifa (Global Credit Rating Agency). Maarufu ni3( MOODY'S, S&P na Fitch) ambazo zinamiliki zaidi ya 90% ya kazi hizi duniani.

Lakn kubwa kuliko zote ni MOODY'S. Ambayo inamiliki karibu 45% . Kwa mujibu wa Ripoti ya MOODY'S ya Agust30,2021, Tanzania imepewa daraja la B2 (stable) kwa afya yake ya kukopesheka( creditworthiness) ikiwa juu ya Kenya, Namibia, Msumbiji, Ghana, Ivorycoast, Senegal na nchi nyingi ukanda wa kusini, mashariki na magharibi ya Afrika.

Taasisi hii ya MOODY'S inapima uchumi wa USA, nchi za Ulaya, Asia na kote duniani, inatupa daraja hilo, ni kielelezo kwamba tupo imara na thabiti ktk usimamizi wa deni na uchumi.

Bank ya Dunia Juni2022, tathimini yake imeonesha mzigo wa deni kwa uchumi (GDP), Tanzania ni 31% wakati Kenya ikiwa na mzigo mkubwa wa 64% huku Rwanda 49.8% na Uganda 49.7%.

Nikweli deni ni changamoto kwa nchi nyingi za Afrika. Lakn bado afya ya Tanzania eneo hilo inaonekana imara kwa ulinganisho huo na vipimo vya taasisi zinazoheshimika kwa weledi wa kupima mambo haya dunaini."

#Tanzania tuko vizuri Sana, hongera Rais Samia, asante Kafulila kwa kulifungua Taifa kimtazamo.
SIASA hiyo ni Wapumbavu ndio utawadanganya lakini wenye AKILI KUBWA hatudanganyiki
 
Hili taifa Wajinga ni wengi Sana, Hata kama kenye imekopa Sana ila ndio iko vizuri kiuchumi EAC
 
Hata katika mazingira ya kawaida tu tabia ya kukopa kopa inamshushia mtu heshima yake.

Sisi kama Taifa hii tabia imekua sugu.

Na inasikitisha mno badala ya kiongozi kupendekeza namna ya kupunguza kuwa tegemezi naye anasifia matatizo.

Huyo ndugu Mkuu wa Mkoa kabisa anasifia mikopo?? Ni jambo la kuhuzunisha mno.
Hii kwenye biashara hai -apply
 
Naona Kafulila kaajiri PR maana Kila siku ni media coverage kumpa sura ya kitaifa.

Anyway kukopa hakuna ubaya kama unawekeza kwenye miradi itakayokupa returns huko mbeleni. Mfano tukikopa kumaliza SGR, Kupanua bandari, Barabara, mashule n.k then hakuna ubaya.

Changamoto nayoiona ni vipaumbele mfano tunataka kujenga bwawa la Nyerere wakati huo huo tunataka Kutanua upatikanaji wa umeme wa gesi so unakuta mnakopa kufanya miradi inayofanana!! Hii haina afya ni bora mfanye kimoja kwanza kingine kije baadae.

Hata Suala la mafuta unakuta tunakopa Ili kuweka Ruzuku kwenye mafuta huku Bado sensa itaenda kula Mabilion, kuna wakati inabidi mchague kimoja kingine mkiweke kando kwa miezi kadhaa.
Kwa hiyo nchi utaendelea kwa kufanya mradi mmoja mmoja?
 
Wale wanaopiga kelele kwamba Tanzania tunakopa na tumekopa Sana msikilize huyu Mwamba vizuri ndio utaelewa kwanini Mungu alimleta Rais Samia wakati huu,

Mkuu wa mkoa wa Simiyu akihojiwa na kituo cha redio cha E-FM amedadavua kwa undani Sana swala hili la deni la Taifa,

RC Kafulila anasema "tuangalie mjadala kuhusu ukubwa wa deni na afya ya kukopa.

Nianze kwa angalizo tu kwamba masuala ya kupima ukubwa wa deni na afya ya uchumi wa nchi kukopa ni sayansi ya uchumi na zipo kampuni 75 kimataifa (Global Credit Rating Agency). Maarufu ni3( MOODY'S, S&P na Fitch) ambazo zinamiliki zaidi ya 90% ya kazi hizi duniani.

Lakn kubwa kuliko zote ni MOODY'S. Ambayo inamiliki karibu 45% . Kwa mujibu wa Ripoti ya MOODY'S ya Agust30,2021, Tanzania imepewa daraja la B2 (stable) kwa afya yake ya kukopesheka( creditworthiness) ikiwa juu ya Kenya, Namibia, Msumbiji, Ghana, Ivorycoast, Senegal na nchi nyingi ukanda wa kusini, mashariki na magharibi ya Afrika.

Taasisi hii ya MOODY'S inapima uchumi wa USA, nchi za Ulaya, Asia na kote duniani, inatupa daraja hilo, ni kielelezo kwamba tupo imara na thabiti ktk usimamizi wa deni na uchumi.

Bank ya Dunia Juni2022, tathimini yake imeonesha mzigo wa deni kwa uchumi (GDP), Tanzania ni 31% wakati Kenya ikiwa na mzigo mkubwa wa 64% huku Rwanda 49.8% na Uganda 49.7%.

Nikweli deni ni changamoto kwa nchi nyingi za Afrika. Lakn bado afya ya Tanzania eneo hilo inaonekana imara kwa ulinganisho huo na vipimo vya taasisi zinazoheshimika kwa weledi wa kupima mambo haya dunaini."

#Tanzania tuko vizuri Sana, hongera Rais Samia, asante Kafulila kwa kulifungua Taifa kimtazamo.
Wala sio sifa kwa nchi kuwa kwenye orodha ya tathmini ya ukubwa wa deni.

Sio fahari kiongozi mwandamizi wa serikali ya nchi kama hii.
Kuutumia muda wake mwingi kufafanua ukubwa wa deni la nchi yake.

Badala yake angeitumia elimu yake kwa nafasi aliyopewa ili kuuelimisha Umma jinsi ya kuzitumia raslimali lukuki tulizonazo nchini kwa manufaa yetu kama taifa.
 
Eeeh,Leo Kafulila uko vizuri,

Tatizo Watanzania hasa Upinzani na Sukuma Gag walikimbia shule,

I like this, Hongera Rais wangu Samia uko njema lete hela tufanye kazi sisi
Ni shule gani hiyo inayofundisha wanafunzi wake kuja kuishi kwa kutegemea mikopo?
 
Wala sio sifa kwa nchi kuwa kwenye orodha ya tathmini ya ukubwa wa deni.

Sio fahari kiongozi mwandamizi wa serikali ya nchi kama hii.
Kuutumia muda wake mwingi kufafanua ukubwa wa deni la nchi yake.

Badala yake angeitumia elimu yake kwa nafasi aliyopewa ili kuuelimisha Umma jinsi ya kuzitumia raslimali lukuki tulizonazo nchini kwa manufaa yetu kama taifa.
Yaani kazi aliyofanya huyo RC unaona kuwa ni ndogo?

Tunahitaji viongozi wanaosoma na kuelimisha watu wao
 
Kuwaelimisha kukopa badala ya kuwaelimisha jinsi ya kujisimamia wao na kuzitumia vyema raslimali walibarikiwa kuwa nazo?

Yaani unaona fahari Tanzania kushindana na Burundi kukopa?
 
Back
Top Bottom