Tanzania ndio nchi yenye mzigo mdogo wa deni Afrika Mashariki kwa sasa

Hiyo tathmini ni kabla ya deni babu kubwa toka IMF la sh trilioni 2.4. Ukiliweka hilo tayari tunawapiku uganda na rwanda!! Labda uipongeze "nchi" ya Zanzibar ambayo deni lake linasoma "sifuri"!!!
Hiyo Kaangalie deni la Kenye acha uposhaji
 
Nimesoma aya ya mwisho, nikabaini lengo la uzi.
 
SIASA hiyo ni Wapumbavu ndio utawadanganya lakini wenye AKILI KUBWA hatudanganyiki
 
Hili taifa Wajinga ni wengi Sana, Hata kama kenye imekopa Sana ila ndio iko vizuri kiuchumi EAC
 
Hii kwenye biashara hai -apply
 
Kwa hiyo nchi utaendelea kwa kufanya mradi mmoja mmoja?
 
Wala sio sifa kwa nchi kuwa kwenye orodha ya tathmini ya ukubwa wa deni.

Sio fahari kiongozi mwandamizi wa serikali ya nchi kama hii.
Kuutumia muda wake mwingi kufafanua ukubwa wa deni la nchi yake.

Badala yake angeitumia elimu yake kwa nafasi aliyopewa ili kuuelimisha Umma jinsi ya kuzitumia raslimali lukuki tulizonazo nchini kwa manufaa yetu kama taifa.
 
Eeeh,Leo Kafulila uko vizuri,

Tatizo Watanzania hasa Upinzani na Sukuma Gag walikimbia shule,

I like this, Hongera Rais wangu Samia uko njema lete hela tufanye kazi sisi
Ni shule gani hiyo inayofundisha wanafunzi wake kuja kuishi kwa kutegemea mikopo?
 
Yaani kazi aliyofanya huyo RC unaona kuwa ni ndogo?

Tunahitaji viongozi wanaosoma na kuelimisha watu wao
 
Yaani kazi aliyofanya huyo RC unaona kuwa ni ndogo?

Tunahitaji viongozi wanaosoma na kuelimisha watu wao
Kuwaelimisha kukopa badala ya kuwaelimisha jinsi ya kujisimamia wao na kuzitumia vyema raslimali walibarikiwa kuwa nazo?

Yaani unaona fahari Tanzania kushindana na Burundi kukopa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…