Tanzania ndio nchi yenye mzigo mdogo wa deni Afrika Mashariki kwa sasa

Kama kutokukopa ni sifa, basi apewe sifa JPM kwa kukopa kidogo sana.
Na kama kukopa ni sifa, basi muda sio mrefu Hangaya atapewa medali ya dhahabu.

Kushindana kukopa bila kusimamia vyema malengo na matumizi ya hizo fedha ni upumbavu.
 
Safi sana Rais Samia tunakupenda sana na tuko pamoja na ww,
Viva SAMIA
 
Kwa hiyo nchi utaendelea kwa kufanya mradi mmoja mmoja?
Kijana kasome opportunity cost kwenye economics, tatizo ni pale laymen mnataka kuchangia masuala ya uchumi, Ile ni taaluma sio ujuaji.

Kajifunze pia masuala ya competitive advantage na comparative advantage. Ukielewa utajua kwanini kuna nchi ilispecialize kwenye mafuta ya mawese tu na wamekua nchi yenye uchumi wa juu, kuna Macau wame specialize kwenye betting na gaming industry na uchumi wao umepaa. Kuwekeza kwenye mambo 10 kwa mkupuo sio kigezo cha mafanikio ila EFFICIENCY ni muhimu.

Tunaweza kuamua tufanye Bwawa la Nyerere au Mradi wa Gesi moja uanze Ili kusave gharama yote inafanyika ila kwa kuachiana pumzi. Sasa sisi tunapambana tujenge SGR hapo hapo bwawa la Nyerere hapo hapo Bado Dodoma nayo Bado inajengwa maofisi na majumba ya watumishi!! Uchumi hauendeshwi hivyo, ikitokea any stagnation kwenye inflows (Mfano Covid ikirudi) Ina maana uchumi unaporomoka Mazima.
 
Naona Mbowe akili zimekurudi,,comment ya kizalendo hii
 
Kinacho
Kinacho ongea ni Asali mzee,kumbuka Kuna darasa la wajinga wa kwanza akipata alama 15 na wa pili 10 na wa tatu alama 5 kati ya mia % Kuna mwenye akili hapo ww unatuletea clip za walamba asali hapa.
 
Nadhani ungekuja na hoja za ama kukanusha ama kukubli, Mambo ya walamba asali sijui walamba sukari ni dalili za kukosa hoja,

Ufafanuzi huu ni mkubwa Sana,
 
Sukuma gang na Chadomo watapinga πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Sasa kama hufuatilii ulitegemea serikali ikuletee taarifa chumbani kwako?

Taarifa ziko wazi fuatilia matumizi yake.
 
Tena hata hiyo 31% sio sahihi kwa Tanzania kwa sababu Tanzania bado haijafanya update ya GDP yetu kiuhalisia..

Bado tunatumia figures za enzi za JK za dola bil.63 kitu ambacho sio sahihi..

Hata hivyo Waziri wa Fedha Amesema wameitiaha hao jamaa wafanye tathmni ya kina ya ukubwa wa Uchumi na deni letu.
 
Nakuamini Sana ndg yangu the Sunk
 
Kama kutokukopa ni sifa, basi apewe sifa JPM kwa kukopa kidogo sana.
Na kama kukopa ni sifa, basi muda sio mrefu Hangaya atapewa medali ya dhahabu.

Kushindana kukopa bila kusimamia vyema malengo na matumizi ya hizo fedha ni upumbavu.
JPM alikopa TZS 29trl kwa miaka mitano, Kikwete alikopa 32trl kwa miaka 10
 
Kwani kuingia kwenye mkwamo ni bin vuu, Huwa ni taratibu tu deni Lina afya tuendelee kukopa itafikia kikomo mjue hilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…