Tanzania ndio nchi yenye mzigo mdogo wa deni Afrika Mashariki kwa sasa

Saf
Safi Sana Tanzania, We proud of you Mama Samia
 
Kazi na iendelee, KAFULILA JEMBE
 
Kukopa kutakuwa na maana tu mali za viongozi na watoto wao zitatangazwa gazetini na vyombo vingine vya umma.Baada ya hapo,tuone uzalishaji unaongezeka,na bei vitu vinavyotokana na raslimali zetu km gesi,cement,mbolea.nk ZIKIPUNGUA
 
Eeeh,Leo Kafulila uko vizuri,

Tatizo Watanzania hasa Upinzani na Sukuma Gag walikimbia shule,

I like this, Hongera Rais wangu Samia uko njema lete hela tufanye kazi sisi
Huyu bwana yuko vizuri kwelikweli
 
SIKU NYINGINE WAKITOA TAKWIMU HAsI , MNAWAKOSA NA KUWAITA MABEBERU
 
Issue sio umekopa hata wa 99 percent ya GDP sio kitu kikubwa

Issue hicho ulichokopa ulikopeleka pesa kwaweza paisha GDP ? Baada ya hizo pesa umepata?

Takwimu za Kafulila zinaangalia tu percent ya mikopo kwa GDP pekee bila kuingia kuna kuwa waweza kupa asilimia 100 ya GDP yako na sababu kuna grace period ya Miaka mingi toka uchukue mkopo kama umeutumia vizuri GDP itapanda na ku service mkopo una service vizuri tu

Sio sahihi ku judge mkopo kwa kuangalia ti percentage yake to Current GDP ni u Layman! Impact ya loan haionekani kwenye Current GDP!! But future GDP after completion of Grace period!!
 

DENI/GDP ndio ratio ya kimataifa, wewe unasemaje watu wasifanye comparison
 
DENI/GDP ndio ratio ya kimataifa, wewe unasemaje watu wasifanye comparison
Unatakiwa kutafsiri sio tu kuangalia ratio za hesabu za takwimu

Mfano nchi maskini duniani ni Burundi kuwa wanaishi chini ya dola moja kwa siku wakati hakuna homeless kama Marekani na asubuhi wanakula milo mitatu kwa siku ya vyakula toka mashamba yao tena fresh ambavyo mmarekani au Ulaya hawezi afford chakula fresh direct toka shambani

Nenda ulaya na Marekani chakula fresh iwe matunda au mboga hata kama umetoka Burundi kule utakula junk food wakati Burundi unakula fresh vegetable na fresh fruits direct kutoka shamba
 
Yote haya uonesha Rais Samia Suluhu hafanyi kazi kwa bidii
 
I couldn't agree more. Kuwa na correct data ni kitu kimoja, na kuweza kuzichanganua vyema kuleta maana ni jambo lingine kabisa lenye kuhitaji utaalamu mkubwa sana.
 
Mama ni shujaa kama wale mashujaa wetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…