Tanzania ndio nchi yenye mzigo mdogo wa deni Afrika Mashariki kwa sasa

Unatakiwa kutafsiri sio tu kuangalia ratio za hesabu za takwimu

Mfano nchi maskini duniani ni Burundi kuwa wanaishi chini ya dola moja kwa siku wakati hakuna homeless kama Marekani na asubuhi wanakula...
Mkuu kwema?
 
Kukopa kutakuwa na maana tu mali za viongozi na watoto wao zitatangazwa gazetini na vyombo vingine vya umma.Baada ya hapo,tuone uzalishaji unaongezeka,na bei vitu vinavyotokana na raslimali zetu km gesi,cement,mbolea.nk ZIKIPUNGUA
Unahoja ya msingi,
 
Hongera kwa Tanzania na pole kwa majirani...
 
Asante mr 2mbili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…