Tanzania ni kama Ujerumani mashariki kabla ya 1989

Tanzania ni kama Ujerumani mashariki kabla ya 1989

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,780
Reaction score
15,488
Ni Muda tu lakini Tanzania itakuwa na mfumo kama wa Kenya kwasababu watu hao hao, wote wanapenda uhuru , jamii ni moja, utamaduni ni mmoja. Tofauti ya Kenya na Tanzania ni mifumo tu. Mfumo wa Kenya utashinda kwasbabu unaleta maendeleo zaidi na jamii ya watu wa Kenya na Tanzania wanapenda uhuru.

Jamii zote ni za vijana. Lakini bila kujitambua EA community imefanya makubwa sana kupunguza tofauti zetu. Lakini kikubwa pamoja na ushindani Wakenya na Watanzania wana undugu. Kwa idadi watanzania wenye undugu na wakenya wanazidi mbali idadi ya wanzanzibari wote kuanzia ziwa victoria mpaka milima ya usambara

Ujerumani walisema ukuta hauta anguka lakini ulianguka.

Ujerumani kwa wasiojua miaka 300 iliyopita zilikuwa nchi za kifalme 40 tofauti lakini leo ni nchi mmoja
 
Wakenya ni wajuaji na wabinafsi, wameanza kuuishi ubepari kitambo. Japo ni wenye uthubutu na wenye kutambua haki na wajibu wao. Watanzania tumezubaa ndio maana kuna kiongozi alituita malofa.
 
Back
Top Bottom