joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
- Thread starter
- #201
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Doner kantreSoon itabidi tuwapelekee jirani
Yani wewe hua akili yako haijakomaa kabisaa,Japani wamepima watu Elfu 50 tu, lakini wamepata vifo 500 pekee. USA wamepima watu milioni moja, wamepata vifo 13,000.
Conclusion; Kupima hakusaidii kupunguza maambukizi wala idadi ya vifo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wacha maneno mengi, tatizo la sasa ni kuounguza vifo na maambukizi, sio kujua idadi ya walioambukizwa. Nimekupa mfano wa USA ambayo imepima na kujua watu walioambukizwa, mbona haiwasaidii kupunguza maambukizi wala vifo?, sasa huko kujua idadi ya walioambukizwa ina faida gani kama haiwasaidii wamarekani kupunguza vifo na maambukizi?Yani wewe hua akili yako haijakomaa kabisaa,
Kupima kwa watu kunajulisha nambari kamili ya walio ambukizwa, Hilo jambo la mass testing halina uhusiano wowote na watu walio kufa wala nini....
Ukijua idadi halisi ya walio na virusi ndo unaweka mikakati kabambe ya kupambana na hali halisi.... Ukiwa umepima watu 1,000 na ukapata watu 50 una relax na kufikiri hali shwari, alafu mwezi mmoja baadae unajikuta kumbe kuna wengi walikua na ugonjwa na walikua hawajapimwa , kesi zinaanza kupanda kwa ma mia.....
Angala mfano wa South Africa ambao ndo wanaongoza kwa kesi za corona Africa nzima,
Wamefanya tests 73,000!!!! Unataka ulinganishe kesi za Tz au Kenya na SA wakati TZ hata haijapitisha test 1,000, my friend, wacha kujifanya kijuaji wakati uko kwa iza, SA wapo sawa kupambana na corona kuliko nchi yeyote hapa EA na hata Africa manake hao wanajua numbari zao halisi baada ya kufanya mass testing, Sisi wengine tunajidanganya eti hali zetu ziko na afadhali wakati tumefanya test chache tu...
View attachment 1416660
Ukijua idadi kamili ndo unajuia mikakati utakayochukua kupunguza usambazaji.... Unajua ni vitanda vingapi utahitaji, unaweza ku estimate ni ventilator ngapi utahitaji (kulingana na takwimu za nchi zengine zilizo na wagonjwa wengi) kwa wagonjwa mahututi, utajua ni madaktari wangapi unahitaji na kama wale ulio nao tayari watatosha au unafaa kuanza kuandika madaktari wengine na uanze kuwafundisha kupigana na corona mapema..... etc yani inakufanya uwe better prepaired kama hali itazidi kuwa mbaya. hautapatwa gizani kesi zikianza kuongezeka manake utakua unajua hali ya corona "in real time".Wacha maneno mengi, tatizo la sasa ni kuounguza vifo na maambukizi, sio kujua idadi ya walioambukizwa. Nimekupa mfano wa USA ambayo imepima na kujua watu walioambukizwa, mbona haiwasaidii kupunguza maambukizi wala vifo?, sasa huko kujua idadi ya walioambukizwa ina faida gani kama haiwasaidii wamarekani kupunguza vifo na maambukizi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa kwa hii graph unavyoona, mambo ya confirmed cases haina uhusino na vifoWacha maneno mengi, tatizo la sasa ni kuounguza vifo na maambukizi, sio kujua idadi ya walioambukizwa. Nimekupa mfano wa USA ambayo imepima na kujua watu walioambukizwa, mbona haiwasaidii kupunguza maambukizi wala vifo?, sasa huko kujua idadi ya walioambukizwa ina faida gani kama haiwasaidii wamarekani kupunguza vifo na maambukizi?
Sent using Jamii Forums mobile app
That's why u decided to copy and paste China's approachHapa kwa hii graph unavyoona, mambo ya confirmed cases haina uhusino na vifo
![]()
US coronavirus death toll overtakes Italy's as highest in the world
Vifo vinahusiana na hali ya afya, umri uwepo wa ventilators na ICU kutosheleza wagonjwa mahututi nk
Kujua idadi kamili ya maambukizi inahusiana na ukomeshaji wa corona kusambaa zaidi... nafikiri China walionyesha vizuri jinsi ya kuzuia maambukizi zaidi... Mbali na lock down, walipima na kufanya contact tracing ya hali ya juu sana, kisha walipogundua kesi zinapanda wakajenga hospitali spesheli ya wagonjwa wa corona.... Kama China hawangepima watu wengi hapo mwanzoni wangekuchukulia corona kama mchezo na sahii wangekua bapaya sana, lakini hatua za kupima watu wengi mapema na kuchukua mikakati kabambe ndo imewafanya wawe na matokeo mazuri licha ya kuwa corona ilianzia kwao.
Ukitaka wakenya wakuamini chochote hata kama ni uongo.. Mtume mzungu akawaambie 😂😂😂That's why u decided to copy and paste China's approach
[emoji3][emoji3][emoji3] ni wajinga sana yn wana akili za kitumwa mnoUkitaka wakenya wakuamini chochote hata kama ni uongo.. Mtume mzungu akawaambie [emoji23][emoji23][emoji23]
Mbele ya ngozi nyeupe huwa madishi yao yanahama 😂😂😂[emoji3][emoji3][emoji3] ni wajinga sana yn wana akili za kitumwa mno
Swali ni moja tu, Wamarekani wanajua idadi ya maambukizi, kwanini haiwasaidii kwa lolote?, wacha maneno mengi.Ukijua idadi kamili ndo unajuia mikakati utakayochukua kupunguza usambazaji.... Unajua ni vitanda vingapi utahitaji, unaweza ku estimate ni ventilator ngapi utahitaji (kulingana na takwimu za nchi zengine zilizo na wagonjwa wengi) kwa wagonjwa mahututi, utajua ni madaktari wangapi unahitaji na kama wale ulio nao tayari watatosha au unafaa kuanza kuandika madaktari wengine na uanze kuwafundisha kupigana na corona mapema..... etc yani inakufanya uwe better prepaired kama hali itazidi kuwa mbaya. hautapatwa gizani kesi zikianza kuongezeka manake utakua unajua hali ya corona "in real time".
Mbali na hayo, Umuhimu wa testing ni kwamba utaweza ku isolate wale wote walio na corona hivyo basi kuwezesha nchi kurudi kwa zero infection rate haraka manake unashughulikia wote walio na korona kwa kuwaondoa katika jamii na kuwaweka wote kwa quaranteen.....
lakini ikiwa haujafanya mass testing basi utakuta mnafikiri corona iliisha alafu baada ya wiki, mtu mmoja anakufa na anapofanyiwa post morterm anapatikana kumbe alikua na corona juu ya Cancer au HIV aliokua nayo na hio corona ndo ilisababisha afya yake kuzorota hadi akafa. alafu mnagundua kumbe bado corona iko ndani ya nchi mwezi mmoja baada ya kufikiri janga liliisha... Kumbuka 50% ya wanaopatwa na corona hawaonyeshi sypmtom yoyote au wanapata ka symptom kadogo kama kuumwa na kichwa kwahivyo hata hawajui wanaisambaza kwa wengine, itakua ni vigumu sana kunasa hawa ambao hawaonyeshi symtoms (na wanaendelea kuisambaza ) bila kufanya mass testing ya watu ..
Why More Coronavirus Testing Is One of The Most Important Actions Right Now, According to WHO
Over the past week, cases of the novel coronavirus have accelerated in many parts of the world, as have efforts to try to control its spread, including the closing of schools and restaurants and the cancellation or postponement of sporting events.
But personal hygiene, social distancing, and travel restrictions, while important, are not enough "to extinguish this epidemic," the WHO's director-general, Tedros Adhanom Ghebreyesus, told reporters on Monday.
"We have not seen an urgent enough escalation in testing, isolation, and contact tracing, which is the backbone of the response," Tedros said. It's "the combination" of approaches that matters.
"As I keep saying, all countries must take a comprehensive approach, but the most effective way to prevent infections and save lives is breaking the chains of transmission, and to do that you must test and isolate," Tedros said. "You cannot fight a fire blindfolded, and we cannot stop this pandemic if we don't know who is infected."
"We have a simple message for all countries: Test, test, test, every suspected case," he said. That way, people who've been in close contact with those who test positive can be identified and tested as well.
Tedros said more tests are being produced to meet the demand, noting WHO has shipped almost 1.5 million tests to 120 countries.
Dr. Maria Van Kerkhove, the technical lead for WHO Health Emergencies Program, added that countries need to increase the number of labs, availability of test kits, and the number of people who can conduct those tests.
The virus isn't only affecting elderly people and those with chronic health conditions
Tedros noted that while the message has been that people who are over 60 are at highest risk, "young people, including children, have died."
Tedros also raised concern for developing countries that may be hit harder by the crisis.
"We have seen epidemics in countries with advanced it health systems, but even they have struggled to cope as the virus moves to low income countries," he said. "We're deeply concerned about the impact it could have among populations with high HIV prevalence or among malnourished children. That's why we're calling on every country and every individual to do everything they can to stop transmission."
Tedros said that crises like these bring out "the best and worst" in people, and discouraged people from hoarding supplies.
"This amazing spirit of human solidarity must become even more infectious than the virus itself," he said.
Why More Coronavirus Testing Is One of The Most Important Actions Right Now, According to WHO
Sweden, Japan, UK, na nchi nyingi za Europe hazipimi, mbona zinafanya vizuri kuliko Marekani na hizo nchi zingine kama Italy na Spain zinazopima?.Hapa kwa hii graph unavyoona, mambo ya confirmed cases haina uhusino na vifo
![]()
US coronavirus death toll overtakes Italy's as highest in the world
Vifo vinahusiana na hali ya afya, umri uwepo wa ventilators na ICU kutosheleza wagonjwa mahututi nk
Kujua idadi kamili ya maambukizi inahusiana na ukomeshaji wa corona kusambaa zaidi... nafikiri China walionyesha vizuri jinsi ya kuzuia maambukizi zaidi... Mbali na lock down, walipima na kufanya contact tracing ya hali ya juu sana, kisha walipogundua kesi zinapanda wakajenga hospitali spesheli ya wagonjwa wa corona.... Kama China hawangepima watu wengi hapo mwanzoni wangekuchukulia corona kama mchezo na sahii wangekua bapaya sana, lakini hatua za kupima watu wengi mapema na kuchukua mikakati kabambe ndo imewafanya wawe na matokeo mazuri licha ya kuwa corona ilianzia kwao.
Hivi kweli kwa mpango na mbinu hizi bado kuna mwenye kujiuliza kwanini Tanzania maambukizi ya virusi vya Corona ni machache ukilinganisha na nchi za Jirani?.
Ikumbukwe kwamba, nguvu za Tanzania zimewekweza zaidi katika kuhakikisha kwamba virusi haviingizwi nchini toka nje ya nchi, na pale ikitokea kwamba vimeingia, basi havisambai kwa watu wengine.
Viva Tanzania; Tumejipanga sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Heheee!!ndipo nikakwambia kufa hapo inategemea na kinga zako za mwili na pia ni mipango ya Mungu...Japani wamepima watu Elfu 50 tu, lakini wamepata vifo 500 pekee. USA wamepima watu milioni moja, wamepata vifo 13,000.
Conclusion; Kupima hakusaidii kupunguza maambukizi wala idadi ya vifo.
Sent using Jamii Forums mobile app