Tanzania ni mfano wa kuigwa katika kupambana na kuenea kwa Corona

Tanzania ni mfano wa kuigwa katika kupambana na kuenea kwa Corona

Status
Not open for further replies.
Hawa jamaa wana mipango kabambe sn yn ni zaidi ya kutafuta Profits, Africa tusipopambana kujinasua hakika watatumaliza hawa
 
Kuna baadhi ya vitu hakuna haja ya msaada km tunaamini tunaweza kwnn tusitumie viwanda vyetu ktk kudhalisha vitu vdg km hv? Kiwanda hicho apo kinazalisha mask ya nn kutumia mask kutoka china
raw material zake zinatoka China na India na pia hakina capacity ya kutosha kuzalisha pieces nyingi!
 
Hahahaha, because you copy each and everything done by America without using your brain, we are using Japanese model, it works better for us. To you Japanese are wrong and Americans are correct?, Japan' s deaths less than 50, while in USA more than 4,000, still do you think testing many people works better than target testing?.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tena umewaacha mabeberu wa UK ukahamia japan, si nynyi mlisema huaga hamuigi[emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeanza kuwa mtabiri sio?, Japan ndio nchi iliyoanza kupata maambukizi kabla ya USA, lakini hadi Leo bado vifo ni 50, wakati USA waliochelewa kupata maambukizi wanakaribia kufikisha 5000 deaths, bado unazungumza kuhusu graph ya Japan kupanda.

Lazima mkubali kwamba mlianza vibaya kama walivyokosea wamarekani, kupima pekee sio muhimu sana katika kuzuia maambukizi, muhimu ni kuhakikisha mnazuia wageni kuingia, na miji yote yenye wagonjwa mnaiweka chini ya " lockdown" na kufanya " massive fumigations".

Sent using Jamii Forums mobile app
Kufa hyo ni mipango ya Mungu na pia inalingana na immune system yako..

Swali ni, japan wamepima watu wangapi na wakapata walioathirika wangapi na ulinganishe na takwimu za kwenu

Mungu yupi?, Mungu ambaye mumeamua kukataa kwenda kwenye nyumba zake kumuabudu kama alivyowaambia kwa kuogopa Corona?.

Kwako wewe kati ya Mungu na Corona, nani unamuogopa na kumsikiliza?.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Of course esp. kwa kutokubali maambukizi 17 ya Wabunge! !
Juzi Uganda walipima watu 231, hawakupata hata mmoja mwenye maambukizi, Kenya watu 200 lakini 7 wameambukizwa, kwa ujumla hali sio nzuri, hasa wanaposema hao waliopatikana kutoka katika " Surveillance ", hayo maana yake ni " local transmissions", sio rahisi kujua ameambukizwa na nani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
joto la jiwe akisikia Wakenya wanakufa na Corona anapiga makofi.
Screenshot_20200408-180644.png
 
Mungu yupi?, Mungu ambaye mumeamua kukataa kwenda kwenye nyumba zake kumuabudu kama alivyowaambia kwa kuogopa Corona?.

Kwako wewe kati ya Mungu na Corona, nani unamuogopa na kumsikiliza?.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahhaa!!hta upindishe pindishe vipi bado swali lipo pale pale..

Japan wamepima watu wangapi kufikia sasa halafu ndio tuje upande wa chattle tulinganishe

Eti nani namuogopa zaidi, mtu mwenye akili timamu hawezi uliza swali la kiboya km hilo..
Hata nimekudharau sana, yani mtu mwenye akili zake unataka kuleta akili za kihayawani...

Japani wamepima watu Elfu 50 tu, lakini wamepata vifo 500 pekee. USA wamepima watu milioni moja, wamepata vifo 13,000.

Conclusion; Kupima hakusaidii kupunguza maambukizi wala idadi ya vifo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eti nani namuogopa zaidi, mtu mwenye akili timamu hawezi uliza swali la kiboya km hilo..
Hata nimekudharau sana, yani mtu mwenye akili zake unataka kuleta akili za kihayawani...

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ndio mjinga, tena hayawani kabisa. Ninyi si ndio mnamshambulia Magufuli kwa kuwaambia watu waendelee kumuomba Mungu wasiache kwenda katika nyumba za ibada?. Kama kuna mtu anayepaswa kumtaja na kumuomba Mungu ni watanzania ambao hata katika kipindi kigumu, bado hawamwachi Mungu, sio ninyi wanafiki wakubwa, mnaekwenda kusali katika wakati wa raha pekee, wakati wa matatizo mnamkana Mungu, na kuwadhihaki wale wanaokwenda na wanaowahimiza watu kwenda kusali. Hovyo kabisa ninyi, wanafiki wakubwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom