Tanzania ni mfano wa kuigwa katika kupambana na kuenea kwa Corona

Tanzania ni mfano wa kuigwa katika kupambana na kuenea kwa Corona

Status
Not open for further replies.
Wewe ndio mjinga, tena hayawani kabisa. Ninyi si ndio mnamshambulia Magufuli kwa kuwaambia watu waendelee kumuomba Mungu wasiache kwenda katika nyumba za ibada?. Kama kuna mtu anayepaswa kumtaja na kumuomba Mungu ni watanzania ambao hata katika kipindi kigumu, bado hawamwachi Mungu, sio ninyi wanafiki wakubwa, mnaekwenda kusali katika wakati wa raha pekee, wakati wa matatizo mnamkana Mungu, na kuwadhihaki wale wanaokwenda na wanaowahimiza watu kwenda kusali. Hovyo kabisa ninyi, wanafiki wakubwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndlarudia tena kw mara ya pili, nynyi ndio mdudu gani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo la nchi jirani ni kuiga kila kinachofanywa na wazungu kama mazombie bila kuangalia mazingira yao yakoje, mwishowe wanaharibu uchumi na kuua watu njaa..
Hii Ni baada ya kuanza kukamata watu binafsi wanaotoa misaada ya chakula
Screenshot_2020-04-12-12-22-34-766_com.facebook.katana.jpg
Screenshot_2020-04-12-12-22-29-627_com.facebook.katana.jpg
 
Wacha maneno mengi, tatizo la sasa ni kuounguza vifo na maambukizi, sio kujua idadi ya walioambukizwa. Nimekupa mfano wa USA ambayo imepima na kujua watu walioambukizwa, mbona haiwasaidii kupunguza maambukizi wala vifo?, sasa huko kujua idadi ya walioambukizwa ina faida gani kama haiwasaidii wamarekani kupunguza vifo na maambukizi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa utapunguzaje idadi ya maambukizi km tayari hujui idadi ya walioambukizwa tayri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukijua idadi kamili ndo unajuia mikakati utakayochukua kupunguza usambazaji.... Unajua ni vitanda vingapi utahitaji, unaweza ku estimate ni ventilator ngapi utahitaji (kulingana na takwimu za nchi zengine zilizo na wagonjwa wengi) kwa wagonjwa mahututi, utajua ni madaktari wangapi unahitaji na kama wale ulio nao tayari watatosha au unafaa kuanza kuandika madaktari wengine na uanze kuwafundisha kupigana na corona mapema..... etc yani inakufanya uwe better prepaired kama hali itazidi kuwa mbaya. hautapatwa gizani kesi zikianza kuongezeka manake utakua unajua hali ya corona "in real time".

Mbali na hayo, Umuhimu wa testing ni kwamba utaweza ku isolate wale wote walio na corona hivyo basi kuwezesha nchi kurudi kwa zero infection rate haraka manake unashughulikia wote walio na korona kwa kuwaondoa katika jamii na kuwaweka wote kwa quaranteen.....
lakini ikiwa haujafanya mass testing basi utakuta mnafikiri corona iliisha alafu baada ya wiki, mtu mmoja anakufa na anapofanyiwa post morterm anapatikana kumbe alikua na corona juu ya Cancer au HIV aliokua nayo na hio corona ndo ilisababisha afya yake kuzorota hadi akafa. alafu mnagundua kumbe bado corona iko ndani ya nchi mwezi mmoja baada ya kufikiri janga liliisha... Kumbuka 50% ya wanaopatwa na corona hawaonyeshi sypmtom yoyote au wanapata ka symptom kadogo kama kuumwa na kichwa kwahivyo hata hawajui wanaisambaza kwa wengine, itakua ni vigumu sana kunasa hawa ambao hawaonyeshi symtoms (na wanaendelea kuisambaza ) bila kufanya mass testing ya watu ..

Why More Coronavirus Testing Is One of The Most Important Actions Right Now, According to WHO

Over the past week, cases of the novel coronavirus have accelerated in many parts of the world, as have efforts to try to control its spread, including the closing of schools and restaurants and the cancellation or postponement of sporting events.
But personal hygiene, social distancing, and travel restrictions, while important, are not enough "to extinguish this epidemic," the WHO's director-general, Tedros Adhanom Ghebreyesus, told reporters on Monday.
"We have not seen an urgent enough escalation in testing, isolation, and contact tracing, which is the backbone of the response," Tedros said. It's "the combination" of approaches that matters.
"As I keep saying, all countries must take a comprehensive approach, but the most effective way to prevent infections and save lives is breaking the chains of transmission, and to do that you must test and isolate," Tedros said. "You cannot fight a fire blindfolded, and we cannot stop this pandemic if we don't know who is infected."
"We have a simple message for all countries: Test, test, test
, every suspected case," he said. That way, people who've been in close contact with those who test positive can be identified and tested as well.
Tedros said more tests are being produced to meet the demand, noting WHO has shipped almost 1.5 million tests to 120 countries.
Dr. Maria Van Kerkhove, the technical lead for WHO Health Emergencies Program, added that countries need to increase the number of labs, availability of test kits, and the number of people who can conduct those tests.

The virus isn't only affecting elderly people and those with chronic health conditions
Tedros noted that while the message has been that people who are over 60 are at highest risk, "young people, including children, have died."

Tedros also raised concern for developing countries that may be hit harder by the crisis.

"We have seen epidemics in countries with advanced it health systems, but even they have struggled to cope as the virus moves to low income countries," he said. "We're deeply concerned about the impact it could have among populations with high HIV prevalence or among malnourished children. That's why we're calling on every country and every individual to do everything they can to stop transmission."
Tedros said that crises like these bring out "the best and worst" in people, and discouraged people from hoarding supplies.
"This amazing spirit of human solidarity must become even more infectious than the virus itself," he said.

Why More Coronavirus Testing Is One of The Most Important Actions Right Now, According to WHO
Hapo una deal na zero brain bro

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna kitu kinaitwa " Bahati mbaya kutokana na kuzaliwa au kupakana". Kenya wana bahati mbaya sana kwa kujikuta wamepakana na Somalia, nchi iliyovurugwa na ugaidi na vita visivyokua na mwisho.

Tanzania ina bahati mbaya sana kwa kupakana na Kenya, nchi ambayo haina mipango yoyote madhubuti ya kupambana na kuenea kwa Corona zaidi ya kupima na kutangaza matokeo kila siku.

Ila taarifa nilizozipata toka Arusha Jana, serikali imeimarisha sana mpango wa Nyumba kumi katika vijiji vya Jirani na Kenya, wanawakamata sana hao wanaojaribu kuvuka mpaka.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanatangaza idadi kubwa ili mabwana zao wawaonee huruma wawape msaada..wanasahau kwamba ata Italia waligeuziwa mgongo na wazungu wenzao..wakasaidiwa na watu ambao hawakuwategemea (Rusia na China)
 
Sweden, Japan, UK, na nchi nyingi za Europe hazipimi, mbona zinafanya vizuri kuliko Marekani na hizo nchi zingine kama Italy na Spain zinazopima?.

Wacha maneno mengi, kitu pekee kinachosaidia kupunguza maambukizi ni " Social distancing" hasa total lockdown ". Ninyi ni watu ambao hamna uwezo wa kufikiria kwa undani, huwezi kupambana na janga kubwa kama hili kwa kupima nchi nzima, Kenya jambo litakalowasaidia ni "Social dist dancing', upimaji hauna maana yoyote, mnapoteza muda na pesa bure.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwhyo zile nchi ambazo zipo lockdown wagonjwa hawaongezeki sio

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sisi tunafanya kama Japan, targeted testing, yaani kwa watu wenye kuonyesha dalili za ugonjwa au kama kuna mahitaji maalumu.

Kama ugonjwa bado haujafika kwenye community level, yaani bado main sources of infections are imported kama ilivyo Tanzania, mass testing haina umuhimu wowote. Tanzania ukipima watu 1000 kwa sasa unaweza kupata ni mtu mmoja au hata usipate hata mmoja, kwanini upoteze pesa nyingi katika mazingira hayo.

Ila kwa nchi zenye kuathirika sana kama USA, tena sio nchi nzima, ni katika yale majimbo ambayo yameathirika pakubwa, mass testing kidogo ndio inaleta maana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kenya walikurupuka waliipima watu Mia tano wakapata waathirika watano tu..
 
See what other people talk about the Fight of Novel Virus.

The Good, the Bad and the Worse in Africa's Anti Corona Crusades; Lessons from Tanzania

April 07, 2020

By John Njoroge, Africa54, SA.

The anti Covid-19 crusade(s) in Africa is yet again bringing into perspective diverse leadership from the Continent that is known for its strong immunity after countless years fighting known and unknown diseases. It worths our while to put Covid-19 into scrutiny.

Globally, as positive cases hit the 1 million mark this week, countries in Africa are on the front fighting the Corona malade from different viewpoints and strategies. The 54 countries Continent has a merely 9,000 plus positive Corona cases and not more than 500 deaths (compare with 78,000 deaths world wide).

It will be up to scholars to empirically verify and confirm which are the best strategies to handle Corona globally and in Africa, but we are already able to see the good, the bad and the worse in our Continent.

Two major schools of thought are emerging; the anxity model and the elasticity model.

Whereas the former focuses on a panic than a a culculated firce fight on the noval virus, the later involves some forms of resilience, choosing between fighting aggressively with the Corona and ensuring that there is life after Corona; maintaining the fundamentals of cohesion on the economic nd social set up.

China is known for its elasticity in fighting the Corona; they did not panic, it was deadly and noval virus to them but they chose their methods and tacticts in a way that retained the strength of their society. Today they remain stronger, together.

If it is to adopt and imitate western terminologies, the Chinese people would have locked down everyhing, curfew every street to the detriment of their own social bond. No, they maintained vigilance.

As a Kenyan, I love my counry, but I adore the Tanzania President, Dr. John Magufuli, who is adopting the Chinese "never panic mode," something contrary to his fellows in the region. Compare: Uganda, Kenya and Rwanda.

President Magufuli, to my recollection, has thus far spent more than 3 speeches to warn Tanzanians on how deadly is Corona, encouraged them to take precautions and later on addressed the nation to auger his point of view that Corona is deadly so should everyone work to prevent further spreads.

However, the Presdent went on to warn Tanzanians that the war on Corona should not be an excuse for hard work and it should not operate as a reason to "quarantine" the whole country and paralyze everything.

Prople have been enraged to wash hands, sanitize, maintain social distance, avoid unnecessary gathering but must go to work in farms, industries, offices or personal businesses. I love this spirit. It is was supposed to be an Afrian spirit.

Dispite some misinterpretation to this approach, and contrary to his panicked peers, on the ground, Magufuli's government is taking Corona seriously; schools and colleges have been closed, sports and other social gatherings have been halted, 14 days quarantine for foreign arrivals imposed, national level committees are in place and research on cure are on. Nevertheless, the country is calm.

To the contrary, his counterparts in Kenya and Uganda and Rwanda, just like here in South Africa, are in anxity model; they shut down everything-borders, work and public outings.

Lockdowns have been imposed, curfews are on, people who get out of their homes are bitten (some to death) and salaries are forcefully cut. Just wondering, why is all this panic!

Rwanda in particular, in a move that African country's must excercise prudence, has already secured a costly World Bank loan.

The branded as "Corona Response financial facility" package, essentially comprises of a modest grant but a huge loan facility in it that is attached with conditionalities.

I warn African countries to relax on their approached but be firm in tackling Corona. They should not panic and found themself into a pending economic recession or debt trap.

We have already seen thousands here in South Africa flocking the streets as the stay-home-lockdown does not work for them; in Kenya a bodaboda cyclist has been attacked and killed by security organs as he returns from sending a pregnant woman to a local hospital. Africa why?

Africa my mother land, you have tackled malaria, typhoid, cholera and the deadly ebola with your usual ubuntu (strongness, togetherness and in a communal way), why do you fail on the Corona?

Stronger, together!
 
Very sure.
 
Sasa utapunguzaje idadi ya maambukizi km tayari hujui idadi ya walioambukizwa tayri

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi wewe unatumia akili au pumbu?, nimekuuliza kwamba kama kujua idadi ya walioambukizwa ndio ni muhimu ili kupunguza maambukizi, mbona USA wanajua idadi ya walioambukizwa lakini wanashindwa kuzuia maambukizi yasiongezeke wala vifo?.

Ngoja nikufundishe kidogo. Lengo kuu la mapambano dhidi ya Corona ni:
1)Kuzuia maambukizi yasiongezeke
2)Kupunguza idadi ya vifo.

Njia kubwa na muhimu kuzuia maambukizi, ni kuhakikisha watu hawaambukizani, njia nyepesi na rahisi kuzuia watu hawaambukizani ni "Social distancing"
1) Quarantine
2)Lockdown
i) Partial
ii) Total

Katika hizo njia za kupunguza maambukizi, "Mass testing" haipo kabisa. Je unahitaji mass testing kwa ajili ya kufanya nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwhyo zile nchi ambazo zipo lockdown wagonjwa hawaongezeki sio

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni sawa na kuuliza kwamba wale wagonjwa wanaokwenda Hospitali hawafi?, the best way to treat disease is to go Hospital, but doesn't mean that whoever goes to Hospital must be cured. The right way to curb corona transmissions is lockdown, not mass testing.

Km ndio best, basi italy na spain sai wangelikuwa salama zaidi..
Jomba wacha nikwambie kitu, huu ugonjwa fanya tu kuuskia na wala usiufanyie mizaha...

Bado wanasayansi wenywe hiki kirusi kinawaumiza vichwa...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jibu swali, kama kujua idadi ya waliombukizwa inasaidia kwanini isiwasaidie wamarekani kupunguza maambukizi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Wapi nimesema mass testing hupunguza maambuzi, we jamaa kweli tahira..hyo inasaidia km mtajipanga ki vipi kimatibabu wala sio eti kupunguza maambukizi...

Au we raha yako watu waanze kujiangukia barabarani tu..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom