Tanzania ni mfano wa kuigwa katika kupambana na kuenea kwa Corona

Status
Not open for further replies.
Ndlarudia tena kw mara ya pili, nynyi ndio mdudu gani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo la nchi jirani ni kuiga kila kinachofanywa na wazungu kama mazombie bila kuangalia mazingira yao yakoje, mwishowe wanaharibu uchumi na kuua watu njaa..
Hii Ni baada ya kuanza kukamata watu binafsi wanaotoa misaada ya chakula
 
Sasa utapunguzaje idadi ya maambukizi km tayari hujui idadi ya walioambukizwa tayri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo una deal na zero brain bro

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanatangaza idadi kubwa ili mabwana zao wawaonee huruma wawape msaada..wanasahau kwamba ata Italia waligeuziwa mgongo na wazungu wenzao..wakasaidiwa na watu ambao hawakuwategemea (Rusia na China)
 
Kwhyo zile nchi ambazo zipo lockdown wagonjwa hawaongezeki sio

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kenya walikurupuka waliipima watu Mia tano wakapata waathirika watano tu..
 
See what other people talk about the Fight of Novel Virus.


The Good, the Bad and the Worse in Africa's Anti Corona Crusades; Lessons from Tanzania

April 07, 2020

By John Njoroge, Africa54, SA.

The anti Covid-19 crusade(s) in Africa is yet again bringing into perspective diverse leadership from the Continent that is known for its strong immunity after countless years fighting known and unknown diseases. It worths our while to put Covid-19 into scrutiny.

Globally, as positive cases hit the 1 million mark this week, countries in Africa are on the front fighting the Corona malade from different viewpoints and strategies. The 54 countries Continent has a merely 9,000 plus positive Corona cases and not more than 500 deaths (compare with 78,000 deaths world wide).

It will be up to scholars to empirically verify and confirm which are the best strategies to handle Corona globally and in Africa, but we are already able to see the good, the bad and the worse in our Continent.

Two major schools of thought are emerging; the anxity model and the elasticity model.

Whereas the former focuses on a panic than a a culculated firce fight on the noval virus, the later involves some forms of resilience, choosing between fighting aggressively with the Corona and ensuring that there is life after Corona; maintaining the fundamentals of cohesion on the economic nd social set up.

China is known for its elasticity in fighting the Corona; they did not panic, it was deadly and noval virus to them but they chose their methods and tacticts in a way that retained the strength of their society. Today they remain stronger, together.

If it is to adopt and imitate western terminologies, the Chinese people would have locked down everyhing, curfew every street to the detriment of their own social bond. No, they maintained vigilance.

As a Kenyan, I love my counry, but I adore the Tanzania President, Dr. John Magufuli, who is adopting the Chinese "never panic mode," something contrary to his fellows in the region. Compare: Uganda, Kenya and Rwanda.

President Magufuli, to my recollection, has thus far spent more than 3 speeches to warn Tanzanians on how deadly is Corona, encouraged them to take precautions and later on addressed the nation to auger his point of view that Corona is deadly so should everyone work to prevent further spreads.

However, the Presdent went on to warn Tanzanians that the war on Corona should not be an excuse for hard work and it should not operate as a reason to "quarantine" the whole country and paralyze everything.

Prople have been enraged to wash hands, sanitize, maintain social distance, avoid unnecessary gathering but must go to work in farms, industries, offices or personal businesses. I love this spirit. It is was supposed to be an Afrian spirit.

Dispite some misinterpretation to this approach, and contrary to his panicked peers, on the ground, Magufuli's government is taking Corona seriously; schools and colleges have been closed, sports and other social gatherings have been halted, 14 days quarantine for foreign arrivals imposed, national level committees are in place and research on cure are on. Nevertheless, the country is calm.

To the contrary, his counterparts in Kenya and Uganda and Rwanda, just like here in South Africa, are in anxity model; they shut down everything-borders, work and public outings.

Lockdowns have been imposed, curfews are on, people who get out of their homes are bitten (some to death) and salaries are forcefully cut. Just wondering, why is all this panic!

Rwanda in particular, in a move that African country's must excercise prudence, has already secured a costly World Bank loan.

The branded as "Corona Response financial facility" package, essentially comprises of a modest grant but a huge loan facility in it that is attached with conditionalities.

I warn African countries to relax on their approached but be firm in tackling Corona. They should not panic and found themself into a pending economic recession or debt trap.

We have already seen thousands here in South Africa flocking the streets as the stay-home-lockdown does not work for them; in Kenya a bodaboda cyclist has been attacked and killed by security organs as he returns from sending a pregnant woman to a local hospital. Africa why?

Africa my mother land, you have tackled malaria, typhoid, cholera and the deadly ebola with your usual ubuntu (strongness, togetherness and in a communal way), why do you fail on the Corona?

Stronger, together!
 
Very sure.
 
Sasa utapunguzaje idadi ya maambukizi km tayari hujui idadi ya walioambukizwa tayri

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi wewe unatumia akili au pumbu?, nimekuuliza kwamba kama kujua idadi ya walioambukizwa ndio ni muhimu ili kupunguza maambukizi, mbona USA wanajua idadi ya walioambukizwa lakini wanashindwa kuzuia maambukizi yasiongezeke wala vifo?.

Ngoja nikufundishe kidogo. Lengo kuu la mapambano dhidi ya Corona ni:
1)Kuzuia maambukizi yasiongezeke
2)Kupunguza idadi ya vifo.

Njia kubwa na muhimu kuzuia maambukizi, ni kuhakikisha watu hawaambukizani, njia nyepesi na rahisi kuzuia watu hawaambukizani ni "Social distancing"
1) Quarantine
2)Lockdown
i) Partial
ii) Total

Katika hizo njia za kupunguza maambukizi, "Mass testing" haipo kabisa. Je unahitaji mass testing kwa ajili ya kufanya nini?


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwhyo zile nchi ambazo zipo lockdown wagonjwa hawaongezeki sio

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni sawa na kuuliza kwamba wale wagonjwa wanaokwenda Hospitali hawafi?, the best way to treat disease is to go Hospital, but doesn't mean that whoever goes to Hospital must be cured. The right way to curb corona transmissions is lockdown, not mass testing.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Km ndio best, basi italy na spain sai wangelikuwa salama zaidi..
Jomba wacha nikwambie kitu, huu ugonjwa fanya tu kuuskia na wala usiufanyie mizaha...

Bado wanasayansi wenywe hiki kirusi kinawaumiza vichwa...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jibu swali, kama kujua idadi ya waliombukizwa inasaidia kwanini isiwasaidie wamarekani kupunguza maambukizi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Wapi nimesema mass testing hupunguza maambuzi, we jamaa kweli tahira..hyo inasaidia km mtajipanga ki vipi kimatibabu wala sio eti kupunguza maambukizi...

Au we raha yako watu waanze kujiangukia barabarani tu..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…