Tanzania ni mfano wa kuigwa katika kupambana na kuenea kwa Corona

Status
Not open for further replies.
Statement yenyewe ni hii lakini wewe na hao wanaharakati uchwara wala sijaona mkisambaza hii mnakalia tu upotoshaji.

Ukipokea, au ukiona ujumbe unaochochea, kuzusha au kupotosha taarifa za corona katika kundi lako au lolote lingine mtandaoni piga picha ujumbe huo na namba ya aliyetuma utume TCRA." Mwisho wa kunukuu.
 
Pesa za beberu ndizo zilizotupea uahueni.
Your browser is not able to display this video.
 
Usinitolee povu. I'm just a messenger. Ikiwa unaamini Korona haipo basi wewe endelea kutozingatia tahadhari zinazotolewa.
 
Usinitolee povu. I'm just a messenger. Ikiwa unaamini Korona haipo basi wewe endelea kutozingatia tahadhari zinazotolewa.
Pitia hii link kisha soma tarehe.


Ndio haipo Tanzania hutaki andamana.
 
Usinitolee povu. I'm just a messenger. Ikiwa unaamini Korona haipo basi wewe endelea kutozingatia tahadhari zinazotolewa.
Tahadhari za nn, jana tu nimetoka Moro mpk narudi Dar sijasikia kuhusu covid hata pale bus terminal hakuna aliyevaa barakoa na ndani ya bus hakuna huo upuuzi, yn Tz tupo peponi wkt dunia ipo jehanam.

Ona watanzania jinc wanajiachia [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205]
 
Kama ulikuwa hujui!

United World College East Africa (UWCEA) ni international school. Wanafunzi na walimu wa Mataifa mbalimbali wamerudi kwa ajili ya masomo Kwa hiyo sishangai kama baadhi yao wameleta ugonjwa.


Kwani Wizara ya Afya hawapimi Wasafiri wanaoingia nchini?
 
View attachment 1682035

Bado huamini corona ipo Tz?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…