mwanga mweusi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 276
- 452
Acha usiseme hivyo tusikilize tu tamko
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Statement yenyewe ni hii lakini wewe na hao wanaharakati uchwara wala sijaona mkisambaza hii mnakalia tu upotoshaji.
Pesa za beberu ndizo zilizotupea uahueni.Hivi kweli kwa mpango na mbinu hizi bado kuna mwenye kujiuliza kwanini Tanzania maambukizi ya virusi vya Corona ni machache ukilinganisha na nchi za Jirani?
Ikumbukwe kwamba, nguvu za Tanzania zimewekweza zaidi katika kuhakikisha kwamba virusi haviingizwi nchini toka nje ya nchi, na pale ikitokea kwamba vimeingia, basi havisambai kwa watu wengine.
Viva Tanzania; Tumejipanga sana.
Vikosi vyote vya POLISI wa kutuliza fujo vimegeuzwa kuwa vikosi vya kupambana na Corona.
Sent using Jamii Forums mobile app
Usinitolee povu. I'm just a messenger. Ikiwa unaamini Korona haipo basi wewe endelea kutozingatia tahadhari zinazotolewa.Statement yenyewe ni hii lakini wewe na hao wanaharakati uchwara wala sijaona mkisambaza hii mnakalia tu upotoshaji.
Ukipokea, au ukiona ujumbe unaochochea, kuzusha au kupotosha taarifa za corona katika kundi lako au lolote lingine mtandaoni piga picha ujumbe huo na namba ya aliyetuma utume TCRA." Mwisho wa kunukuu.
Pitia hii link kisha soma tarehe.Usinitolee povu. I'm just a messenger. Ikiwa unaamini Korona haipo basi wewe endelea kutozingatia tahadhari zinazotolewa.
Tahadhari za nn, jana tu nimetoka Moro mpk narudi Dar sijasikia kuhusu covid hata pale bus terminal hakuna aliyevaa barakoa na ndani ya bus hakuna huo upuuzi, yn Tz tupo peponi wkt dunia ipo jehanam.Usinitolee povu. I'm just a messenger. Ikiwa unaamini Korona haipo basi wewe endelea kutozingatia tahadhari zinazotolewa.
Mkuu unaleta habari za April 2020? Aibu!
Tunataka habari kama hii hapa
👇🏽👇🏽👇🏽
![]()
Pandemic trends in 3 charts – DW – 06/09/2022
The majority of countries report falling COVID infection numbers. DW sums up the global data on the current pandemic situation in three charts.m.dw.com
Pitia hii link kisha soma tarehe.
![]()
TCRA YAWATAKA WANANCHI 'KU - SCREEN SHOT' TAARIFA ZA HOVYO KUHUSU CORONA MITANDAONI....MAADMIN KUCHUKUA TAHADHARI
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), imewataka wananchi kupiga picha (Screen shot) ujumbe wowote katika mitandao ya kijamii unaopotosha...maswayetu.blogspot.com
Ndio haipo Tanzania hutaki andamana.
Wivuuuu
Kama ulikuwa hujui!
Kama ulikuwa hujui!
United World College East Africa (UWCEA) ni international school. Wanafunzi na walimu wa Mataifa mbalimbali wamerudi kwa ajili ya masomo Kwa hiyo sishangai kama baadhi yao wameleta ugonjwa.
Nenda kawaulize.Kwani Wizara ya Afya hawapimi Wasafiri wanaoingia nchini?
Kwamba dunia nzima Mungu ni mbaguzi na mpendeleaji yani awe upande wa Tanzania tu Yaani?Nenda kawaulize.
Mbona hushangai nzige kuvamia nchi za EA kasoro Tanzania!Kwamba dunia nzima Mungu ni mbaguzi na mpendeleaji yani awe upande wa Tanzania tu Yaani?