Tanzania ni mfano wa kuigwa katika kupambana na kuenea kwa Corona

Status
Not open for further replies.
Ona Sasa umebadili gear😂😂...I was responding to your own claims ati US watu wamekufa wengi kuliko Japan so wako in a bad situation.
You are the one who started comparing number of deaths in the first place hahaa
 
Unapima suspected cases, kama zilikiwa 300 tu we ulitaka tufanyeje sasa?
you get a bigger sample...300 is such a small number out of 57m people to declare a success...
😀 😀 😀
Tanzania tunajua mbinu zenu, kupika takwimu...
ni mbinu gani Tanzania inaweza kuwa nazo ambazo nchi kama Japan, South Korea haina...
except lockdown, isolation , robust testing , making equipment like masks, sanitizers, ventilators etc..
which you are not doing .... testing a sample of 300 people na mnarusha makende hapa , unaweza fikiri vaccine imepatikana TZ
 
pelekeni maji Kibera muache kushindana na Tanzania!
 
Huwezi kuficha ukweli kuhusu magonjwa ya milipuko na ukizingatia na haya maendeleo ya sayansi na teknologia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ona Sasa umebadili gear[emoji23][emoji23]...I was responding to your own claims ati US watu wamekufa wengi kuliko Japan so wako in a bad situation.
You are the one who started comparing number of deaths in the first place hahaa
Tatizo lako una akili fupi sana, namba ya watu waliokufa hutumika kama mamba ilivyo, tukisema wsnekufa wakenya 4, huwezi kutafuta rate ya hivyo vifo, labda kama lengo lako ni kujua " mortality rate " ya ugonjwa.

Wewe ulishasikia WHO wakitoa hizo data kwa kulinganisha na idadi ya watu walioambukizwa na kusema ni 5% ya walioambukizwa?

Kila data ina umuhimu wake unaojitegemea, wacha kutoka nje ya mada.

1) USA ina maambukizi mengi kuliko Japan
2)USA ina vifo vingi vya Corona kuliko Japan
3)USA ina maambukizi mapya mengi kuliko Japan

Wacha kujaribu kuleta statistics zingine zisizo na maana ili kufunika madhahifu ya USA ( Mungu wenu)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naskliza taarifa za mtumishi wa wizara anaposema na wanahabari, tatizo lako uzembe hutumii muda wako kumskliza.
Taarifa za watumishi wa wizara ndio wamekwambia kwamba mashine zimegoma?
 
you get a bigger sample...300 is such a small number out of 57m people to declare a success...
Kipele kiko mguuni unakuna kichwani? Mtu mwenye kipele kimoja unalazimisha ajikune sawa na mtu mwenye vipele 100 ili akufurahishe ionekane wote mnawashwa sawa? Tunajikuna tunapowashwa, its logic.
 
Hahaa there is what we call dependent and Independent variables in statistics .For this case number of deaths is dependent on number of confirmed Infections .
The more the confirmed cases the more the deaths .Number of confirmed cases is also dependent on the number of Tests done.
 
Only when you want to know the disease mortality rate, in our case the mortality rate is already known, what the world is interested with, is the impact of the disease to the society, which is purely determined by the absolute number of people infected, and number that of deaths.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkumbushe mwenzako two weeks ago USA ilikuwa na visa China 100O sasa iko na vifo elfu kwa siku nawapa wiki mbili tuone kama nyimbo za malinda ya ccm itakavyo kua...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Even tanzanians are amazed by this guys stupidity, denmark has over 4000 cases with 1 death only, mbona msitumie hio model?or Thailand with over 2000 cases but 20 deaths, the knw it alls

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Naomba tuweke kumbukumbu sawa UK bado hajaweza hata kupima watu 15,000 kwa siku. Kwa hi yo rekebisha hizo taarifa yako
 
Naomba tuweke kumbukumbu sawa UK bado hajaweza hata kupima watu 15,000 kwa siku. Kwa hi yo rekebisha hizo taarifa yako

Even Germany has not got to that number i.e. 100,000 they r currently doing 50,000 tests per day!
Germany told it needs to massively increase coronavirus testing


Coronavirus in Europe: UK 'paying the price' for not doing more COVID-19 tests, says expert

By Seana Davis & AP • last updated: 03/04/2020 - 21:52

Virus Outbreak Britain - Copyright Alberto Pezzali/Copyright 2020 The Associated Press. All rights reserved
SHARE THIS ARTICLE
UK 'paying the price' for not doing more COVID-19 tests, says expert

The United Kingdom is now paying the price for not carrying out more coronavirus tests, an expert has told Euronews.
The country's current capacity stands at 12,700 tests a day, compared with Germany on 500,000 a week.

On Thursday, health minister Matt Hancock announced a plan to ramp up testing so it was at 100,000 day by the end of the month.
But Dr Bharat Pankhania, a senior clinical lecturer at the University of Exeter Medical School and expert in infectious diseases, told Euronews the country should have been at this level eight weeks ago.
"I cannot find any other explanation apart from there was an incorrect decision made, somewhere, that we would get away with not testing extensively and unfortunately, we are now paying the price for that," said Dr Pankhania.
Latest figures show a further 684 people have died from COVID-19 in the UK, bringing the total death toll to 3,605.
Dr Pankhania is among those calling on the UK government to heed the advice of the World Health Organization (WHO) by increasing testing.
On March 25, UK Prime Minister Boris Johnson said the UK was raising the number of COVID-19 tests "from 5,000, to 10,000 tests per day, to 25,000 and so on. Hopefully, very soon, up to 250,000 a day".
622 people are talking about this


On Thursday, Health Secretary Matt Hancock announced a five-point plan, aimed at ramping up testing to 100,000 per day by the end of the month - a target he admits is a "big ask".
Testing is "fundamental, it's basic," Dr Pankhania told Euronews.
"It is not extraordinary or unusual science," he said, adding that "the tests may cost money, but it is a drop in the ocean compared to a cost to industry".
A fundamental part of the new five-point plan is to involve companies, private organisations and universities in the drive for testing, assisting Public Health England with the production.
Euronews reached out to the Department of Health and Social Care for a figure of the number of test kits currently approved for use, but did not receive a response by the time of publishing.
The use of COVID-19 antibody home test kits are currently illegal in the UK, according to a statement by the Medicines and Healthcare products Regulatory Agency (MHRA).
"There are currently no CE (certified) marked tests for home use, and it is illegal to supply non-CE marked products," they said.
'We should have done it 8 weeks ago'
When asked whether it is feasible to increase daily testing figures to 100,000, Dr Pankhania responded by saying, "we have to do it, we can do it and we should have done it 8 weeks ago".
Dr Pankhania and a number of colleagues had expressed their concern about the lack of contact tracing and testing in an editorial released in the British Medical Journal (BMJ) published on March 30.
81 people are talking about this


When asked why there has been a lag in testing, Dr Pankhania says that, in his view, "there had not been the will to do it".
Is testing at 100,000 per day feasible?
"The United Kingdom has a world-class biotechnology industry, scientists, and making tests is not something out of this world," Dr. Pankhania said, adding that "this is a test we do every day, for other purposes, in clinical settings, all the time".
"It is not difficult to do," he said, but it does require investment and coordination. "If the will is there ... you will work with everyone and anyone. It is as simple as that. It's a simple matter of: my laboratory can do 50,000".
"But if I ask you to do 100,000, my laboratory cannot cope. But how can I make it happen? I will talk to anyone and everyone who is competent, accredited and able to do this test, because this is a national emergency. We need to save lives."
"Of course it is not a mammoth task if the will is there, " he said. "Lives matter, here and what price do you put on lives? This is a no-brainer issue". "
"It isn't asking for trillions of money, it is asking for a small drop in the ocean to get this done, not a big drop," he added.

Why are tests fundamental?
The World Health Organization (WHO) has reiterated the importance of accurate and widespread testing.
"This is the basics that I would teach to an ordinary infectious disease student which is a tool for controlling an outbreak," Dr. Pankhania told Euronews.
"You need to know with precision how widespread the infection is, who is infected, who is not infected, and the only way you can tell with precision, especially for an infection like the coronavirus".
Testing is especially important to detect COVID-19, due to many of those infected being asymptomatic. In addition, known symptoms have become varied. "Therefore, the only way to tell with precision, is to test," Dr Pankhania added.
"With regard to the COVID-19 infection, sometimes the signs and symptoms are minimal to none, sometimes the signs are symptoms are in a way that you don't really know if it is the common cold or is this a COVID-19 infection".
"We should, we must, we have to test so that we know what we're doing".

UK 'paying the price' for not doing more COVID-19 tests, says expert
 
Naomba tuweke kumbukumbu sawa UK bado hajaweza hata kupima watu 15,000 kwa siku. Kwa hi yo rekebisha hizo taarifa yako

Actually nilikosea, nilikua nachanganya tests za Marekani na UK, kule Marekani ndiko wanafanya tests 104,000 kwa siku, na ndio maana namba zao zinapandisha balaa kuzidi mataifa yote duniani kwa sasa wao ndio wanaongoza kwa idadi ya active cases.
Ni muhimu kwa mataifa kupima, pima pima pima huku ukichukua tahadhari, wagundue wote walio kwenye jamii ambao wameambukizwa. Afrika kinachotuokoa kwa sasa ni ile haijafahamika kwanini hiki kirusi kiko lenient kwetu, kusambaa kimesambaa kweli, hiyo sio siri, lakini hatudondoki kama ilivyotegemewa kufa kwa mamilioni, wengi wanacho mtaani lakini kinawatoka hata bila wao kujua walikua nacho, nina uhakika hapa Kenya hatukosi cases 10,000 mtaani.
Mtu alikohoa kohoa tu, au akahisi ovyoo kisha kikamtoka. Nina dada yangu kule Qatar, wamenfungiwa ndani hawatoki, siku tatu amehisi visivyo akiwa ndani, baadaye akapata nafuu.
Hata hawa Wakenya ambao wako karantini baada ya kugunduliwa wanacho, wengi ukifuata wanavyowasiliana na familia zao, mtu haamini anacho maana anajihisi mzima, labda dalili chache hapa na pale lakini hatuna watu kwenye ventilators kama ilivyo UK na mataifa mengine ya wazungu.
Lakini pia hilo sio la kujisifia, ni mapema sana kubweteka, Kenya tunaendelea kujichimbia, shule 900 za bweni zimeanza kuandaliwa kuwa vituo vya karantini, tumekataza misongamano, hatuendi makanisani na kwenye misikiti kama kwenu huko, vilabu vya pombe vimefungwa vyote, hatukusanyi umati kwenye mikutano ya kisiasa kama Makonda wenu huko, na sasa imekua sharti kwa kila Mkenya kuvaa mask kila akienda sehemu yenye msongamano, maana wanasayansi wamebaini kinasambaa hata kwenye hewa kwa kupumuliana na kuongea.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…