Tanzania ni mfano wa kuigwa katika kupambana na kuenea kwa Corona

Tanzania ni mfano wa kuigwa katika kupambana na kuenea kwa Corona

Status
Not open for further replies.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]mbna unakwepa hili swali[emoji116][emoji116][emoji116]
Kwhyo ni uongo mass testing ndio imeifanya USA kuwa na idadi ya watu wengi wa corona[emoji848][emoji848]

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwasababu USA ndio mlikua mnaitumia kama nchi ya mfano na iliyokua mfano katika " mass testing". Mtalazimika kutafuta nchi zingine zenye kufanya " mass testing" kuwa benchmark yenu, ila itakua vigumu sana kuzipata kwasababu duniani kote wameacha kufanya hiyo ujinga.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi ni kweli media inapaswa kuripoti kila kitu kwa namna hii? Mbona mazishi yako hivi nchi zilizoendelea kutokana na hali halisi ya maambukizi ? angalieni huko Kenya watu wakiuguliwa watakuwa hawatoi ripoti serikalini

But this one was already reported, the issue with kenyans was he wasnt given a decent burial

Sent using Jamii Forums mobile app
 
But this one was already reported, the issue with kenyans was he wasnt given a decent burial

Sent using Jamii Forums mobile app
what decent burial? Umeona nchi zilizoendelea wanavyozika waliokufa na corona? they cremate them! I dont see difference a reason i see at time media needs to stop instigating the mass from not abiding the set procedures! Si kila kitu kiripotiwe na kuamsha emotions kipindi cha COVID19! watu wataacha kuripoti wagonjwa wa Corona!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom