Marekani iliyokua inafanya "mass testing " imeamua kuacha baada ya kuona haisaidii kitu kila siku idadi ya watu wenye kuambukiza virusi na vifo inaongezeka, kama " mass testing inasaidia" basi USA isingefikia hapo ilipofikia sasa hivi, Trump ameona haina maana ameamua kusimamisha hilo zoezi.
Museven wa Uganda pia alisema "mass tesing" ni upuuzi, akaamua kuweka nchi yake katika " lockdown ", sasa hivi hakuna tena visa vipya Uganda.
Kenya ninyi kwasababu ya ujinga wenu na akili zenu mbovu, hamjui nini mnataka, kila siku lazima kuna visa vipya vya maambukizi, Kenya hali itaendelea kuwa mbaya siku hadi siku hadi mtakapiacha ujinga wenu na kuanza kuchukua hatua thabiti kama za Rwanda na Uganda. Mnapoteza muda wenu kwa kupima na kutangaza bila kuchukua hatua muhimu.
Sent using
Jamii Forums mobile app