Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uyo anakuaga na maneno machafu sn hapo tu ndipo anaponiudhi mm, he's very arrogant.
Hii habari ya barakoa ilipaswa itiliwe mkazo sn hasa dsm
Mimi nadhani kuna mapungufu kwenye hili, Makonda kapewa sanitizer booths 25 leo, kakimbilia kuziita sanitizer za Makonda badala ya kuja na concrete measures!Hii habari ya barakoa ilipaswa itiliwe mkazo sn hasa dsm
Lazima tukiri kuwa jamaa ana mapungufu mengi sana hawezi kuwa serious kabisa hata kwenye suala nyeti km hili na ndiyo maana huwa nadhani kuna uhusiano mkubwa wa elimu ya darasani na real life, Magu hapa ndio cmuelewi kabisa kuendelea na huyu mtu ofisini, cmuelewi na ctakuja kumuelewa kuhusu huyu mtu.Mimi nadhani kuna mapungufu kwenye hili, Makonda kapewa sanitizer booths 25 leo, kakimbilia kuziita sanitizer za Makonda badala ya kuja na concrete measures!
yeye mwenyewe kahimiza msali badala ya kutoa concrete measures! Ningekuwa mimi yeye zaidi ya kupitisha sheria ya barakoa ningeweka checkpoints kila mkoa haswa palipo na weight bridges nikaweka hizo sanitizer booths na vipima joto! Na ningezuia mikusanyo nyumba za Ibada!Lazima tukiri kuwa jamaa ana mapungufu mengi sana hawezi kuwa serious kabisa hata kwenye suala nyeti km hili na ndiyo maana huwa nadhani kuna uhusiano mkubwa wa elimu ya darasani na real life, Magu hapa ndio cmuelewi kabisa kuendelea na huyu mtu ofisini, cmuelewi na ctakuja kumuelewa kuhusu huyu mtu.
Yeye anafuata maagizo ya Jiwe. hapa hakuna kujikwamua, kwa siku tatu mtajazana katika sehemu za ibada ili kuikemea na vilevile kuipokea na kuisambaza corona.yeye mwenyewe kahimiza msali badala ya kutoa concrete measures! Ningekuwa mimi yeye zaidi ya kupitisha sheria ya barakoa ningeweka checkpoints kila mkoa haswa palipo na weight bridges nikaweka hizo sanitizer booths na vipima joto! Na ningezuia mikusanyo nyumba za Ibada!
Kwhyo hao maofisa watanzania pia hawakujua la kufanaya iliwabidi wamchukue video tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wewe una matatizo sana, hao wanaomchukua video ni maofisa wa Tanzania baada ya kupata habari toka kwa wapita njia kwamba kuna mtu ametelekezwa peke yake na hawamfahamu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama ubora umethibitishwa, hii ndio njia ya kuelekea level ya middle income country.