Tanzania ni mfano wa kuigwa katika kupambana na kuenea kwa Corona

Status
Not open for further replies.
Kwani mass testing ndio inazuia maambukizi?

TZ in watu zaidi ya million 60 hio mass testing itasaidia nini? Hivi wanavyofanya ni sawa pamoja na wananchi kuzingatia usafi na matumizi ya PPEs.
Mm nahisi serikali inapaswa kufanya zaidi kuhusu hili.... Tanzania INA maambukizi makubwa sana kwa sasa sababu hatujafanyi mass testing, nahisi kufikia J'tano,idadi itagota karibu 180!
 
EVu8dbtWAAAQe3b
 
Kwani mass testing ndio inazuia maambukizi?

TZ in watu zaidi ya million 60 hio mass testing itasaidia nini? Hivi wanavyofanya ni sawa pamoja na wananchi kuzingatia usafi na matumizi ya PPEs.
Mi kinachoni-bore ni response ya Mkuu wa nchi amekuwa kasisi/sheikh badala ya ku-act kama CiC ametangaza siku tatu za maombi badala ya kuja immediate response! Halafu angalia wenye dini zao wanavyo-capitalize na matangazo yake kuleta more confusion! Inapaswa mikusanyiko ikatazwe zile sanitizer booths zinapaswa kujengwa nyingi! Pia upatikanaji wa barakoa! Pia checkpoints ni muhimu kwa kila mkoa! Naweza kusema ana-response nzuri kwenye majanga ya barabara kuliko afya! Sasa sijui ni kutoona unyeti wa suala hili ama?

Finally you've seen the light.
 
Itabidi sasa hapa wakutafute you guide them, kumbe pia wewe umeona the same things kenyans wanaona, your government is sleeping,hii ugonjwa ni noma bana.Churches and mosques can stream online

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hamna chochote mnachofanya cha maana! So far Uganda pekee ndo naweza kuwapa kongole! Wengineo kama Kunyaland ni kunyamba kunuka!!
 
You cant call me a fool when youve added 53 cases with a day, out of 8k tests weve managed to get 264 cases, tanzania out how many tests did you manage to get 147? Stop being so emotional coz unaona kinaumana

Sent using Jamii Forums mobile app

Peleka upumbavu huna la maana lolote unaongelea nchi inayofanya lock down usiku huku mchana watu wakisuguana! Kama si ukunya uliopitiliza mliambiwa coronavirus wanasambaa usiku tu?

Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom