Mm nahisi serikali inapaswa kufanya zaidi kuhusu hili tatizo,mfano.
1.kuzuia mikusanyiko ya ibada.
2.kufanay mass testing (japo wengi tunaona haina umuhimu).
3.kudhibiti msongamano masokoni na kwenye usafiri,mfano,mwendo kasi.
4.Kufunga mipaka kama wenzetu,kwa sababu wakenya wengi wanakamatwa sana wakiingia Tanzania kwa njia za.panya.
5.Kufunga mabaa,na kupiga marufuku uzururaji usiokuwa wa lazima.
maombi pekee na kunawa mikono hakutasaidia,naamini Tanzania INA maambukizi makubwa sana kwa sasa sababu hatujafanyi mass testing, nahisi kufikia J'tano,idadi itagota karibu 180!