Sinister
JF-Expert Member
- Feb 18, 2013
- 1,531
- 1,577
Halafu anakazia kujiita Mkenya.Unajua maana ya lockdown?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halafu anakazia kujiita Mkenya.Unajua maana ya lockdown?
..and they have just realized that they were wrong about the lockdown.
View attachment 1427271
You can only hide the extent of the problem for so long, If it is poorly managed there are no two ways about it. Hata muweke wangapi korokoroni ukweli utachipuka
Ansbert Ngurumo
Unaleta habari za mitandaoni humu, hao wanaeza kukwambia Tz imezd Amerika kwa vifo [emoji3][emoji3][emoji3]Ansbert Ngurumo
@ngurumo
Serikali ipanue wigo, iongeze vituo vya kuripoti visa vya Korona, walau kuwe na kituo kimoja kila mkoa. Watu wanakufa hovyo!
Replying to
@ngurumo
Akiri kuwa hajisikii vizuri. Kikosi cha wilaya ya Kyerwa kikaenda kumchukua na yeye tingo wake ili wapelekwe kambi ya Korona iliyopo Kamuli Kyerwa. Huko Nkwenda kwenye gesti alikokuwa na kwenye mgahawa alikokula chakula kwa siku mbili, sasa ni taharuki tupu!
Replying to
@ngurumo
Alipofika Nkwenda akaanza kuhisi maumivu makali. Akachukua chumba gesti hapo kwa mama aitwaye "Cheupe." Majibu ya vipimo yaliporudi Mutukula yakiwa positive akatafutwa, lakini hakuonekana. Mamlaka za mkoa zikajulishwa. Akapigiwa simu, kwa kuwa aliwapa namba zake. Akakutwa Nkwenda
Replying to
@ngurumo
Aliye huko Kyerwa ni dereva wa lori kubwa. Alitoka Dar akafika Mtukula. Akachukuliwa vipimo na kuachiwa. Akashusha mizigo na kuanza kurudi Dar. Alipofika Bukoba akaamua kwenda Kyerwa ili apakie mzigo wa kupeleka Dar.
Tonny EichmannUnaleta habari za mitandaoni humu, hao wanaeza kukwambia Tz imezd Amerika kwa vifo [emoji3][emoji3][emoji3]
Iliwachukua Italy na Spain wiki chache tu dude kulipuka, now unatuletea habari za songi songi yabongiso wkt tunaingia mwezi wa pili ssTonny Eichmann
@antokamau97
·
Apr 20
#Tanzania While the rest of the world was busy taking precautions on the spread of Corona virus Tanzania:
View attachment 1431771
@TanzaniaIliwachukua Italy na Spain wiki chache tu dude kulipuka, now unatuletea habari za songi songi yabongiso wkt tunaingia mwezi wa pili ss
[emoji116][emoji116][emoji116] (ushuhuda toka kwa jamaa fulani)

Wapendwa hbr za mida hii . J3 usiku nilipata taarifa kuwa binamu yangu yuko hospitali na ana dalili zote za corona na hali ilikuwa mbaya sana, anakohoa kichizi, mafua, hawezi kupumua, homa kali na kichwa kuuma. Wamem isolate. Hakupewa dawa zaidi ya diclofenac.
Mie usiku huo maombi kwa kwenda mbele. Kesho yake sikuwa na jinsi zaidi ya kumhudumia, nikiwa na hofu kubwa, maana hakuna ndugu yeyote wa karibu zaidi yangu.
Asb J4 nikapeleka chai na nikakumbuka piriton. Vipimo vilichukuliwa. Mchana akaniambia akikohoa anatema mabonge ya makohozi yenye damu. Akawa na hofu sana. Nikaishiwa pia nguvu.
Nikampigia rafiki yangu mmoja ni Dr. na ni muhaya pia. Akaniambia *"Acha ujinga. Nyanyuka chemsha hayo madawa ya kufukiza. Kuwa aggresive. Kwa hali hiyo unampoteza sasa hivi"*.
Nikapata nguvu na kumpelekea mchanganyiko huo, pia Arithromicin, citrizen na vicks. Nikaona maji ninayopeleka yanakuwa yamepoa. Nikanunua kettle nikaliingiza.
*Nikawa napeleka tanzawizi, muharobaini, karafuu, mpera, muembe, na mchaichai. Alipoanza kujifukiza, huwezi amini ndani ya 2 hrs, mafua yalikata, alikuwa anapumulia mdomoni ikaisha, homa ikakata, akanipigia akiwa na furaha sana, tumaini likarudi. Kufikia jioni mzima wa afya.*
Ananiambia "siumwi popote, labda haikuwa corona, ni mafua kawaida" nikamwambia endelea maana majibu bado, huwezi jua.
Wapendwa majibu yalitoka Alhamis usiku kuwa ni covid 19 positive na usiku huo alihamishiwa kambi ya corona, lakini akiwa amepona kabisa. Kule alikuta wenzie bado wanapata tabu, wengine hoi, kupumua shida n.k. Akalia sana akaniambia *"sasa huku naambukizwa na ndo nakufa"* Nikampa moyo.
So, nilimpelekea huo mchanganyiko, ijumaa alikesha anawafukiza wenzie. Huwezi amini, Jana J1, hakuna mwenye shida tena. Ananiambia wote wameamka tunapiga story tu ni vicheko kwenda mbele. Tumepewa kamba tunaruka mazoezi.
So, Kufukiza ni real solution ya corona wapendwa. Muombe Mungu akupe courage ya kuifanya kama ulikuwa huamini. Naamini ni ufunuo ambao Mungu alimpa kiongozi wa nchi ili tupone.
Nimeshuhudia kwa macho yangu. Hivi sasa niko home nami nimeji isolate kwa mfukizo wa maana. MUNGu IBARIKI TZ.
Naomba usiipuuze hii.
My take
Tz tumeshashinda hii vita

Majani mbn yameandikwa hapo kwenye hyo post soma vzr mkuuMkuu ni majani gani yanatumika ? Unaweza weka hapa tuka share na wengine tafadhali
They are now burying those who died with Corona secretly.Wanajiumiza wenyewe kuficha kila kitu wakifikiri wanaonekana vizuri wakishindana na wengine kwa ugonjwa
Endeleeni kujidanganya, this is life and death, not competition
Sikio la kufa haliskii dawa