Renegade
JF-Expert Member
- Mar 18, 2009
- 7,221
- 6,940
Kwa hiyo Mange amepima.watu wote anaodai na kukuta kuwa wamekufa na Corona?Mange kimambi amejaza evidence, leta yetu propagandist, when this disease hits closer to you ndio utaacha upuzi
Sent using Jamii Forums mobile app
Niliona picha za makaburi yaliyojengwa kwamba ni ya sasa nikampuuza tu.
Sent using Jamii Forums mobile app