Tanzania ni mfano wa kuigwa katika kupambana na kuenea kwa Corona

Tanzania ni mfano wa kuigwa katika kupambana na kuenea kwa Corona

Status
Not open for further replies.
Ni mtu mjinga pekee ambaye atauliza alikokua rais badala ya kuuliza anayofanya rais. Rais sio Mwalimu ambaye hawezi kufanya kazi yake bila kuwepo darasani.

Hivi unajua kwamba rais anafanya kazi popote pale alipo ndani ya nchi yake?, hivi umuhimu wa kuwepo kwa Ikulu ndogo mikoani ni nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
Nakubaliana na wewe
 
[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]
tapatalk_1590478967689.jpeg
 
Hivi kweli kwa mpango na mbinu hizi bado kuna mwenye kujiuliza kwanini Tanzania maambukizi ya virusi vya Corona ni machache ukilinganisha na nchi za Jirani?

Ikumbukwe kwamba, nguvu za Tanzania zimewekweza zaidi katika kuhakikisha kwamba virusi haviingizwi nchini toka nje ya nchi, na pale ikitokea kwamba vimeingia, basi havisambai kwa watu wengine.

Viva Tanzania; Tumejipanga sana.




Vikosi vyote vya POLISI wa kutuliza fujo vimegeuzwa kuwa vikosi vya kupambana na Corona.


Sent using Jamii Forums mobile app

Wewe ni taka taka kweli yani, nani aige upumbavu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom