Tanzania ni mfano wa kuigwa katika kupambana na kuenea kwa Corona

Status
Not open for further replies.
mIMI NI MMOJA WAPO WA WALIOKUBEZA KWENYE UZI HUU. lAKINI NIKAPUNGUZA UKALI WA MANENO KWA KUSEMA "TULIA BROTHER, NI MAPEMA MNO". nA MIMI PIA NAJUTIA DHAMBI ZANGU.
Mkuu sio wewe tu, wengi sana hawakuelewa wapi nilipata ujasiri ule wakati Corona ndio mwanzo ilikua inapamba moto, ila nilikusanya taarifa za kutosha jinsi serikali ilivyojipanga kutoka kwa wahusika wakuu serikalini, nilikua na uhakika 90% kwamba Corona haitopenya kwa wingi Tanzania.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Bado wanataka kushindana na Tanzania wakati 90% ya wakenya waneshakubali kwamba Tanzania tumeshinda hii vita, Uhuru Kenyatta anajisikia aibu kusema hadharani kwamba Tanzania wapo sawa hasa kutokana na kauli yake ya kusema Kenya ni nchi yenye uhuru hatuwezi kujilinganisha na nchi zinazoficha taarifa, kauli hiyo ndio inayomfanya ashindwe kuanzisha mazungumzo ili ndege ziruhusiwe.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu sio wewe tu, wengi sana hawakuelewa wapi nilipata ujasiri ule wakati Corona ndio mwanzo ilikua inapamba moto, ila nilikusanya taarifa za kutosha jinsi serikali ilivyojipanga kutoka kwa wahusika wakuu serikalini, nilikua na uhakika 90% kwamba Corona haitopenya kwa wingi Tanzania.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Usisahau kumpa credit zake umi mwalimu pia alionesha uthubutu
 
Ummi mwalimu alikua anatumwa tu "Architect" ni Magufuli mwenyewe, Magufuli ana akili Sana, pamoja na mapungufu yake lakini jamaa ana akili za ajabu kuwahi kutokea hapa Africa.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Nakubaliana na wewe lkn huyu mama lazima apewe credit zake sababu alijua boss wake anataka nini then akanata na biti

angekuwa yule wa kenya "kungwi" angekuwa anarudisha false information
Ummi mwalimu alikua anatumwa tu "Architect" ni Magufuli mwenyewe, Magufuli ana akili Sana, pamoja na mapungufu yake lakini jamaa ana akili za ajabu kuwahi kutokea hapa Africa.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Ummi mwalimu alikua anatumwa tu "Architect" ni Magufuli mwenyewe, Magufuli ana akili Sana, pamoja na mapungufu yake lakini jamaa ana akili za ajabu kuwahi kutokea hapa Africa.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Sure, na hata great thinkers wa nchi hii wanajua hilo but hawasemi cz c unajua waafrika huwa tunasubiri mtu akifa.
 
Mkuu sio wewe tu, wengi sana hawakuelewa wapi nilipata ujasiri ule wakati Corona ndio mwanzo ilikua inapamba moto, ila nilikusanya taarifa za kutosha jinsi serikali ilivyojipanga kutoka kwa wahusika wakuu serikalini, nilikua na uhakika 90% kwamba Corona haitopenya kwa wingi Tanzania.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Mimi nilipoona tuu wakuu wa ulinzi na usalama wameitwa badala ya ma dokta, nikajua naam!
 
MK254, hili jamaa ndo lilikua ropokaji sana humu ndani, kwa sasa washajigundua namna walivyo vilaza pamoja na kutaka masifa.

Aha haa haa
Katika watu walioteseka na kolona duniani baada ya Trump ni wakenya. Yaani ujanja wao najaribu kuuangalia siuoni. Eti wanadhani wanapambana na gonjwa kumbe wanafanywa dili.
 
Hawa watu ni vichwa maji Sana, pamoja na kukiri kwamba wameshindwa katika hii vita dhidi ya Tanzania kama walivyoshindwa katika SGR, bado likitokea tatizo lingine watajifanya wajuaji na kutaka kushindana tena na Tanzania.
 
Ahaa haaa, waache tu wale tena za uso. Kutojifunza kutokana na yaliyotokea kabla nao ni ujuha na upumbavu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom