joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
- Thread starter
- #1,021
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu sio wewe tu, wengi sana hawakuelewa wapi nilipata ujasiri ule wakati Corona ndio mwanzo ilikua inapamba moto, ila nilikusanya taarifa za kutosha jinsi serikali ilivyojipanga kutoka kwa wahusika wakuu serikalini, nilikua na uhakika 90% kwamba Corona haitopenya kwa wingi Tanzania.mIMI NI MMOJA WAPO WA WALIOKUBEZA KWENYE UZI HUU. lAKINI NIKAPUNGUZA UKALI WA MANENO KWA KUSEMA "TULIA BROTHER, NI MAPEMA MNO". nA MIMI PIA NAJUTIA DHAMBI ZANGU.
Mkuu sio wewe tu, wengi sana hawakuelewa wapi nilipata ujasiri ule wakati Corona ndio mwanzo ilikua inapamba moto, ila nilikusanya taarifa za kutosha jinsi serikali ilivyojipanga kutoka kwa wahusika wakuu serikalini, nilikua na uhakika 90% kwamba Corona haitopenya kwa wingi Tanzania.
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Bado wanataka kushindana na Tanzania wakati 90% ya wakenya waneshakubali kwamba Tanzania tumeshinda hii vita, Uhuru Kenyatta anajisikia aibu kusema hadharani kwamba Tanzania wapo sawa hasa kutokana na kauli yake ya kusema Kenya ni nchi yenye uhuru hatuwezi kujilinganisha na nchi zinazoficha taarifa, kauli hiyo ndio inayomfanya ashindwe kuanzisha mazungumzo ili ndege ziruhusiwe.
Usisahau kumpa credit zake umi mwalimu pia alionesha uthubutuMkuu sio wewe tu, wengi sana hawakuelewa wapi nilipata ujasiri ule wakati Corona ndio mwanzo ilikua inapamba moto, ila nilikusanya taarifa za kutosha jinsi serikali ilivyojipanga kutoka kwa wahusika wakuu serikalini, nilikua na uhakika 90% kwamba Corona haitopenya kwa wingi Tanzania.
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Ummi mwalimu alikua anatumwa tu "Architect" ni Magufuli mwenyewe, Magufuli ana akili Sana, pamoja na mapungufu yake lakini jamaa ana akili za ajabu kuwahi kutokea hapa Africa.Usisahau kumpa credit zake umi mwalimu pia alionesha uthubutu
Ummi mwalimu alikua anatumwa tu "Architect" ni Magufuli mwenyewe, Magufuli ana akili Sana, pamoja na mapungufu yake lakini jamaa ana akili za ajabu kuwahi kutokea hapa Africa.
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] af huyo mlevi anagelezea mpk tai
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] af huyo mlevi anagelezea mpk tai
Sure, na hata great thinkers wa nchi hii wanajua hilo but hawasemi cz c unajua waafrika huwa tunasubiri mtu akifa.Ummi mwalimu alikua anatumwa tu "Architect" ni Magufuli mwenyewe, Magufuli ana akili Sana, pamoja na mapungufu yake lakini jamaa ana akili za ajabu kuwahi kutokea hapa Africa.
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Mzee baba ni hatari sana.... kavimba na kaweka pozi la kibabe hatari. Sijui alipiga hii picha akijua siku moja atakuwa Baba lao!?😂😂
Mimi nilipoona tuu wakuu wa ulinzi na usalama wameitwa badala ya ma dokta, nikajua naam!Mkuu sio wewe tu, wengi sana hawakuelewa wapi nilipata ujasiri ule wakati Corona ndio mwanzo ilikua inapamba moto, ila nilikusanya taarifa za kutosha jinsi serikali ilivyojipanga kutoka kwa wahusika wakuu serikalini, nilikua na uhakika 90% kwamba Corona haitopenya kwa wingi Tanzania.
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
MK254, hili jamaa ndo lilikua ropokaji sana humu ndani, kwa sasa washajigundua namna walivyo vilaza pamoja na kutaka masifa.
Hawa watu ni vichwa maji Sana, pamoja na kukiri kwamba wameshindwa katika hii vita dhidi ya Tanzania kama walivyoshindwa katika SGR, bado likitokea tatizo lingine watajifanya wajuaji na kutaka kushindana tena na Tanzania.Aha haa haa
Katika watu walioteseka na kolona duniani baada ya Trump ni wakenya. Yaani ujanja wao najaribu kuuangalia siuoni. Eti wanadhani wanapambana na gonjwa kumbe wanafanywa dili.
Hawa watu ni vichwa maji Sana, pamoja na kukiri kwamba wameshindwa katika hii vita dhidi ya Tanzania kama walivyoshindwa katika SGR, bado likitokea tatizo lingine watajifanya wajuaji na kutaka kushindana tena na Tanzania.