Tanzania ni Miongoni mwa Nchi Chache Duniani Zenye Amani na Wananchi wake Wanaishi kwa Raha

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2020
Posts
2,833
Reaction score
1,301

TANZANIA NI MIONGONI MWA NCHI CHACHE DUNIANI ZENYE AMANI NA WANANCHI WAKE WANAISHI KWA RAHA

“Tanzania ni miongoni mwa nchi chache Afrika na duniani ambazo mpaka sasa hivi Ina amani na tunaishi kwa raha, iwe ni wafanyabiashara, wafanyakazi na Watanzania ambapo Moja ya sababu kubwa ni uwepo wa jeshi letu ambalo wanafanya kazi usiku na mchana” - Mhe. Ahmed Salum, Mbunge wa Jimbo la Solwa

Ni Mbunge wa Jimbo la Solwa Mhe. Ahmed Salum wakati akichangia bajeti ya Wizara ya ulinzi na jeshia kujenga Taifa hotuba iliyowasilishwa na Waziri wa wizara hiyo Mhe Innocent Bashungwa Mei 24, 2023 bungeni jijini Dodoma.

Ametoa pongezi kwa majeshi yote hapa nchini kwa kujitoa kwao muhanga na kutoa maisha yao kwaajili ya kulinda amani ya nchi huku akitoa ushauri kwa serikali kuweka mipango mikakati ya kuboresha majeshi kuwa ya kisasa zaidi.

“Miliwahi kusikia huko Kusini Kuna wakati ilitokea taharuki ya hapa na pale kazi kubwa ilifanywa na jeshi letu la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Kuna vijana kule wamekaa kwenye mapori mazito ambao wako tayari kujitoa muhanga na kutoa maisha yao kwa ajili ya Muungano wa Tanzania” Ahmed Salum, Mbunge wa Jimbo la Solwa

“Upo umuhimu wa kuweka mpango wa kuboresha jeshi la Tanzania kutoka hapa tulipo na kuwa katika Moja ya jeshi Bora Afrika kwa kubadilisha mitambo, kuboresha mawasiliano na jeshi likawa la kisasa zaidi” - Mhe. Ahmed Salum, Mbunge wa Jimbo la Solwa

Hata hivyo amehitimisha kwa kuunga mkono kipengele cha kushirikisha sekta binafsi katika kuliendeleza jeshi.

“Tutaingia partner ship na sekta binafsi katika kuliendeleza jeshi, wapo wenye uwezo mkubwa sana, mainjinia wazuri hivyo ni swala la kukaa na kuwa na mipango Ili kama zimekuja sekta binafsi waziri leta tuzupitishe hapa bungeni” - Ahmed Salum, Mbunge wa Jimbo la Solwa.

IMG-20230524-WA0175.jpg
IMG-20230524-WA0077-1-1536x1023.jpg
IMG-20230524-WA0174.jpg
 
beings pacifists and appeasers doesn't not mean they are peaceful.. it means they generally do our best to avoid conflicts even if it means beings oppressed and displeased about it
 
TANZANIA NI MIONGONI MWA NCHI CHACHE DUNIANI ZENYE AMANI NA WANANCHI WAKE WANAISHI KWA RAHA

“Tanzania ni miongoni mwa nchi chache Afrika na duniani ambazo mpaka sasa hivi Ina amani na tunaishi kwa raha, iwe ni wafanyabiashara, wafanyakazi na Watanzania ambapo Moja ya sababu kubwa ni uwepo wa jeshi letu ambalo wanafanya kazi usiku na mchana” - Mhe. Ahmed Salum, Mbunge wa Jimbo la Solwa

Ni Mbunge wa Jimbo la Solwa Mhe. Ahmed Salum wakati akichangia bajeti ya Wizara ya ulinzi na jeshia kujenga Taifa hotuba iliyowasilishwa na Waziri wa wizara hiyo Mhe Innocent Bashungwa Mei 24, 2023 bungeni jijini Dodoma.

Ametoa pongezi kwa majeshi yote hapa nchini kwa kujitoa kwao muhanga na kutoa maisha yao kwaajili ya kulinda amani ya nchi huku akitoa ushauri kwa serikali kuweka mipango mikakati ya kuboresha majeshi kuwa ya kisasa zaidi.

“Miliwahi kusikia huko Kusini Kuna wakati ilitokea taharuki ya hapa na pale kazi kubwa ilifanywa na jeshi letu la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Kuna vijana kule wamekaa kwenye mapori mazito ambao wako tayari kujitoa muhanga na kutoa maisha yao kwa ajili ya Muungano wa Tanzania” - Mhe. Ahmed Salum, Mbunge wa Jimbo la Solwa

“Upo umuhimu wa kuweka mpango wa kuboresha jeshi la Tanzania kutoka hapa tulipo na kuwa katika Moja ya jeshi Bora Afrika kwa kubadilisha mitambo, kuboresha mawasiliano na jeshi likawa la kisasa zaidi” - Mhe. Ahmed Salum, Mbunge wa Jimbo la Solwa

Hata hivyo amehitimisha kwa kuunga mkono kipengele cha kushirikisha sekta binafsi katika kuliendeleza jeshi.

“Tutaingia partner ship na sekta binafsi katika kuliendeleza jeshi, wapo wenye uwezo mkubwa sana, mainjinia wazuri hivyo ni swala la kukaa na kuwa na mipango Ili kama zimekuja sekta binafsi waziri leta tuzupitishe hapa bungeni” - Mhe. Ahmed Salum, Mbunge wa Jimbo la Solwa
Uoga na ujinga sio amani tafadhali.
 
Hivi anazijua nchi zenye Raha huyo
Au kuwa na furaha katika nchi yako?

Nchi kama Denmark, Switzerland, Sweden, Norway, Iceland na Finland huko ndio wanashika top duniani kwa Raha (furaha)

Sisi tuko kwenye namba za chini sana katika nchi zisizo na raha kabisa wala furaha
Kama Afghanistan, Zimbabweans, Rwanda nk

Tukiwa na uhuru wa maoni tukaacha wizi, corruption people, na mishahara ikawa mikubwa kiasi hata mtu wa chini anaweza kununua nyumba au gari kwa kuwa maisha yatakuwa balanced

Ila sasa wao wanaiba halafu wanasema kuna amani
Haoni Geita kumeahindikana kwa ujambazi hiyo amani na jeshi liko wapi?

Acheni misifa onyesheni uhalisia na siku mkiwa wakweli mnakufa
 
Muda huo huo viongozi wao wakikwiba kwa kutumia njia hata za kulazimisha.
 
TANZANIA NI MIONGONI MWA NCHI CHACHE DUNIANI ZENYE AMANI NA WANANCHI WAKE WANAISHI KWA RAHA

“Tanzania ni miongoni mwa nchi chache Afrika na duniani ambazo mpaka sasa hivi Ina amani na tunaishi kwa raha, iwe ni wafanyabiashara, wafanyakazi na Watanzania ambapo Moja ya sababu kubwa ni uwepo wa jeshi letu ambalo wanafanya kazi usiku na mchana” - Mhe. Ahmed Salum, Mbunge wa Jimbo la Solwa

Ni Mbunge wa Jimbo la Solwa Mhe. Ahmed Salum wakati akichangia bajeti ya Wizara ya ulinzi na jeshia kujenga Taifa hotuba iliyowasilishwa na Waziri wa wizara hiyo Mhe Innocent Bashungwa Mei 24, 2023 bungeni jijini Dodoma.

Ametoa pongezi kwa majeshi yote hapa nchini kwa kujitoa kwao muhanga na kutoa maisha yao kwaajili ya kulinda amani ya nchi huku akitoa ushauri kwa serikali kuweka mipango mikakati ya kuboresha majeshi kuwa ya kisasa zaidi.

“Miliwahi kusikia huko Kusini Kuna wakati ilitokea taharuki ya hapa na pale kazi kubwa ilifanywa na jeshi letu la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Kuna vijana kule wamekaa kwenye mapori mazito ambao wako tayari kujitoa muhanga na kutoa maisha yao kwa ajili ya Muungano wa Tanzania” - Mhe. Ahmed Salum, Mbunge wa Jimbo la Solwa

“Upo umuhimu wa kuweka mpango wa kuboresha jeshi la Tanzania kutoka hapa tulipo na kuwa katika Moja ya jeshi Bora Afrika kwa kubadilisha mitambo, kuboresha mawasiliano na jeshi likawa la kisasa zaidi” - Mhe. Ahmed Salum, Mbunge wa Jimbo la Solwa

Hata hivyo amehitimisha kwa kuunga mkono kipengele cha kushirikisha sekta binafsi katika kuliendeleza jeshi.

“Tutaingia partner ship na sekta binafsi katika kuliendeleza jeshi, wapo wenye uwezo mkubwa sana, mainjinia wazuri hivyo ni swala la kukaa na kuwa na mipango Ili kama zimekuja sekta binafsi waziri leta tuzupitishe hapa bungeni” - Mhe. Ahmed Salum, Mbunge wa Jimbo la Solwa
Tanzania kuna utulivu hakuna amani
 
Amani ipo kwa royal families, MPs wanaopiga kelele pale bungeni na kuondoka na pesa nyingi njoo huku lingusenguse uone maisha ya kijana wa kitanzania anavyoishi kama ndege wa porini maisha ya kubahatisha
 
Mwanajeshi anapiga raia (dereva wa bus lenye abiria ndani)wasafiri hasa wanaume wanarudisha mikia yao katikati ya miguu yao, no push back against mwanajeshi pumbavu huyu, na maisha yanaendelea another cold case, na pumbavu mmoja anachukua simu na kutuma mada eti tuna amani!!!,ujinga na uoga ndio mtaji wa watawala wala pie yetu ya taifa
 
Back
Top Bottom