Lavit
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 14,834
- 32,522
[emoji1][emoji1][emoji1]Kwa hii serikali ya Kama mbwai iwe mbwai inakufata hukohuko[emoji2]
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1][emoji1][emoji1]Kwa hii serikali ya Kama mbwai iwe mbwai inakufata hukohuko[emoji2]
Nigeria ni Mara kumi ya Tanzania kule hakufi ni uwanja wa fujobongo ngumu sana ila ukitoboa unachukiwa wazi wazi
ndo maana mi msanii au mfanyabiashara wa bongo akifika mbali namuheshimu leo ukiniletea diamond na sijui wizkid i will go after diamond ghadhabu za kutoboa bongo sio kitoto unakuwa subjected kweny kodi kibao
Aisee na mm nataman ss nihamie hukoDawa ni kuhamia online, huku hamna TRA wala leseni za manispaa[emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Na bado unaambiwa kodi 450k au 600k + lesen + levy +TBS + Bills + Rent tax...... Yan kifo cha biashara live......Nilifanya Biashara ya Duka.
Hela ya duka la rejareja labda uwe na mtaji wa Mil 10 angalau ndo utaona faida na liwepo mahali kwenye Biashara kweli ila sijui Mil 5 utapata vihela ya Kulisha familia tu HUENDI POPOTE NAIJUA BIASHARA YA DUKA YANI
kuna matapeli huko weeh mm silipi kitu online mpaka aje destination na bidhaa ndio nimpe chakeKwa kweli,na huko ndio kwenye hela kwa sasa
Kutoboa ni juhudi na changamoto ndo njia ya mafanikioTuseme ulikiwa unafanya biashara maeneo yasiyo rasmi (machinga) ukatolewa na serikali.
Ukatoka na msingi wako wa 2ml kwenda mtaani kuanza biashara unaamua kuuza kiduka cha vitu vidogo vidogo labda na gas za kupikia majumbani.
Kutokana na msingi kuwa mdogo na hali ya biashara mauzo yako yanakuwa hayazidi 60k kwa siku moja.
Kwa kawaida huwa maduka ya mtaani ukiuza 10,000 faida buku, kwa hiyo mauzo yako wastani ni 50k ina maana faida ni 5k tu.
Kodi ya pango ni 30k kwa mwezi umeme ni zaidi ya 10k
Manispaa inakuja kukukamata ukachukue leseni 80,000 kwa mwaka na city service levi 50,000.
TRA wanataka ukachukue TIN ya mlipa kodi kwa mwaka 150k makadirio ya chini kabisa.
Hujakaa sawa serikali ya mtaa inakuja inatakiwa kulipa ulinzi shirikishi 2000 na takataka 15,000 kwa mwezi.
Kama hutaki usifanye biashara
Weka matumizi yako ya kawaida kila siku ya lazma, kuna kutoboa kweli hapo?