Tanzania ni nchi ngumu sana kutoboa bila shortcut, hakuna uwazi

Nigeria ni Mara kumi ya Tanzania kule hakufi ni uwanja wa fujo
 
Raia walio wengi ndio wanaweza kubadilisha hii hali wakiamua
 
Nilifanya Biashara ya Duka.

Hela ya duka la rejareja labda uwe na mtaji wa Mil 10 angalau ndo utaona faida na liwepo mahali kwenye Biashara kweli ila sijui Mil 5 utapata vihela ya Kulisha familia tu HUENDI POPOTE NAIJUA BIASHARA YA DUKA YANI
 
Na bado unaambiwa kodi 450k au 600k + lesen + levy +TBS + Bills + Rent tax...... Yan kifo cha biashara live......

Nn kifanyike bwn ndugu mana nimeptia hyo situation
 
Kutoboa ni juhudi na changamoto ndo njia ya mafanikio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…