Smotor
JF-Expert Member
- Jan 3, 2021
- 2,461
- 2,058
Hata kama unaamini, haimaanishi upo,Hata kama hauamini haimaanishi haupo
Habari za uchawi, dini ni ujinga wenye kiwango cha lami
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata kama unaamini, haimaanishi upo,Hata kama hauamini haimaanishi haupo
Ukerewe ndo usiseme? Wapi Sumbawanga huko Ufipa? Wapi Kigoma na je Wanyamwanga? Aisifuye mvua imemnyea, si bure.Atheists wengi ni wapumbavu kama mtoa mada ,Africa yote inaamini uchawi haswa mizimu hata wale wazee wa December ukienda ukerewe ndio usiseme.
Uislamu unasema dhambi zote zinasamehewa isipokuwa ushirikina ,ni kwamba watu wameonya kuhusu ushirikina kabisa..wengi wanadai dini zimekuja kuharibu mila za waafrica eti kisa inakataza uchawi
Wewe unaongea ujinga ,halafu hata hayo mafanikio hauna umebaki na idea za kijinga ,unaongelea vip ushirikina ambao haitaki kuamini😅😅.
Uwe unasoma usiwe mpumbavu matatizo yako yanatokana na wazazi wako maskini ,acha kujumuisha watu kweny ujinga wa ukoo wako
Atheists wote ni wapumbavu badala wapambane na maisha yao ,wanalalamikia dini ambazo hawaamini.
Ilikuwa kipindi cha msimu wa maembeData za kupika tu; walifanya sensa hiyo lini.
sema kwamba TANZANIA ndo nchi ya pili AFRIKA kuamini ktk mila na desturi zetu,,,wengine wote ni watumwa wa imani za kigeni,,,,wewe unafikiri rais wetu mpendwa kuitwa HANGAYA ni jambo dogo????Nchi zinazoongoza kwa kuamini ushirikina (uchawi) barani Afrika.
1. Cameroon
2. Tanzania.
DINI NI SABABU YA WATANZANIA KUAMINI SANA UCHAWI NA USHIRIKINA
Ukiamini dini za ukristo na uislamu ni lazima pia uamini na ushirikina maana imani hizo zinategemana.
Quran imeongelea ushirikina na ina sura kabisa ya majini.. ukiwa muislamu maana yake lazima uamini majini yapo na ni lazima uamini ushirikina na uchawi upo. ukigoma kuamini maana yake unabishana na Quran yenye Topic kabisa ya majini.
Mkristo na yeye biblia ina mistari mingi inayosema uchawi upo. hivyo ukigoma kuamini kwamba uchawi upo maana yake unabishana na biblia takatifu hivyo wewe sio Mkristo.
View attachment 2946400
View attachment 2946401
View attachment 2946402
Ukweli mchungu Hakuna kirusi kitakachokuja kutengenezwa Duniani kiwe na madhara makubwa kwa nchi zetu za Africa kama dini za ukristo na uislamu