Tanzania ni nchi ya pili Afrika kuamini uchawi na ushirikina. Elimu duni, kuamini dini sababu kuu za kuamini uchawi sana

Uchawi ni fitna , majungu, hila na umbea na sio watu kupaa na UNGO
 
Ukerewe ndo usiseme? Wapi Sumbawanga huko Ufipa? Wapi Kigoma na je Wanyamwanga? Aisifuye mvua imemnyea, si bure.
 
sema kwamba TANZANIA ndo nchi ya pili AFRIKA kuamini ktk mila na desturi zetu,,,wengine wote ni watumwa wa imani za kigeni,,,,wewe unafikiri rais wetu mpendwa kuitwa HANGAYA ni jambo dogo????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…