Tanzania ni ngumu kutoboa kibiashara kwasababu ya mrundikano wa kodi

Baada ya kupambana saana na Maisha ya ajira, nikafikiria nitafute namna ya kuingiza kipato kingine. Akili ikanutuma shambani kweli nimeingia shambani na Hali siyo mbaya. Wazo likaja tena niachane na wakati wa Kati
Acha uongo TFDA haipo na hakuna tozo hiyo kwa mwaka hata kama ingekuwepo leo.

#MaendeleoHayanaChama

p
 
Nafikiri wewe sio mfanya Biashara, ni mtafuta vibali.
Nahitaji suluhisho ili uwe mfanyabiashara unapaswa kuwa vipi, TOA suluhisho ili tuendelee. Kama kuna namna wewe unafanya bila vibali tueleze pia kuwa unafanyaje. Weka kila kitu hapa usinambie nikufuate Private message
 
Mkuu sjakwambia uje PM. Nimekwambia kwamba nenda sokoni angalia wengine wanaouza unga wa mahindi wanafanyaje. Kisha ukitaka kuja PM uje.Ila ukitaka kukata vibali utakata vingi sana hata ambavyo huvihitaji.
 
Acha kukurupuka nenda Halmashauri ya Ubungo utapata majibu, Haujawahi hata kufanya biashara ya ubuyu unataka kujadili mambo ya wanaume, chukuwa chenji aliyoacha shemeji asubuhi ukabeti
Ama nenda Tu pale manzese ukazungumze na wale wasagishaji pale wanachama Chao nadhani kinaitwa Uwamase. Siyo kila kitu ubishe au comment uonekane Una na wewe umeconnent, hili Mimi nimelileta Kwa sababu ni vitu nimekutana navyo.

Ni juu yako kuchukuwa kama changamoto au kupuuza pasipo kuwa na taarifa sahihi.
Bahati nzuri TFDA wapo kila wilaya nenda kaulize malipo ya ukaguzi WA unga Kwa mwaka ni shilingi na ikaguliwa kila baada ya muda gani.
 
Baada ya kupambana saana na Maisha ya ajira, nikafikiria nitafute namna ya kuingiza kipato kingine. Akili ikanutuma shambani kweli nimeingia shambani na Hali siyo mbaya. Wazo likaja tena niachane na wakati wa Kati mazao yangu niyaongezee thamani.

Lengo likiwa kuanzisha mashine ya kukoboa mahindi, kusaga na kupaki. Hapo ndo kwenye mziki Kodi zilizoko hapo utajuta kuzaliwa Tz, kama ifuatavyo service Levy 324,000, mapato laki 8 mpaka milioni 3, Kodi ya vipimo elfu70, Kodi ya uzani laki 120, leseni laki3,Stop laki 3, haijalishi kama unastoo yako, TFDA laki 7 bado sijaenda TBS na tayari naona kama nimeshashindwa ngoja nibaki huko huko porini atakayenunua ndo akapambane huko
Mkuu mimi nilijilipua nikaacha ajira na kuanzisha kampuni ilikuwa ubia na wadau wangu kilichonikuta 🙌...sasa hivi hadi nabeti ilimradi maisha yasogee
 
Kampuni ilijihusisha na nini mkuu?
 
Acha kukurupuka nenda Halmashauri ya Ubungo utapata majibu, Haujawahi hata kufanya biashara ya ubuyu unataka kujadili mambo ya wanaume, chukuwa chenji aliyoacha shemeji asubuhi ukabeti
Nafikiri alimaanisha TFDA siku hizi ni TMDA
 
Baada ya kupambana saana na Maisha ya ajira, nikafikiria nitafute namna ya kuingiza kipato kingine. Akili ikanutuma shambani kweli nimeingia shambani na Hali siyo mbaya. Wazo likaja tena niachane na wakati wa Kati mazao yangu niyaongezee thamani.
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Telecom na supply ya ICT equipment...sitaki hata kukumbuka tulikuwa tunajazana upepo risk ni ndogo...nikipata chance narudi kuajiriwa sasa hivi nipo kipindi cha mpito na frustrations ila napiga kazi yoyote kusogeza siku mbele🤣
Hehehee! Kwa kweli mtaani kunataka moyo sana kwa kweli. Sio rahisi kama wengi tunavyodhani.
 
Ndiyo sababu wafanyabiashara wengi wako radhi wakafanye biashara katika nchi jirani ambako kuna unafuu mkubwa wa kodi na hakuna upuuzi wa kubambikiwa kodi.

Baada ya kupambana saana na Maisha ya ajira, nikafikiria nitafute namna ya kuingiza kipato kingine. Akili ikanutuma shambani kweli nimeingia shambani na Hali siyo mbaya. Wazo likaja tena niachane na wakati wa Kati mazao yangu niyaongezee thamani.

Lengo likiwa kuanzisha mashine ya kukoboa mahindi, kusaga na kupaki. Hapo ndo kwenye mziki Kodi zilizoko hapo utajuta kuzaliwa Tz, kama ifuatavyo service Levy 324,000, mapato laki 8 mpaka milioni 3, Kodi ya vipimo elfu70, Kodi ya uzani laki 120, leseni laki3,Stop laki 3, haijalishi kama unastoo yako, TFDA laki 7 bado sijaenda TBS na tayari naona kama nimeshashindwa ngoja nibaki huko huko porini atakayenunua ndo akapambane huko
 
Hehehee! Kwa kweli mtaani kunataka moyo sana kwa kweli. Sio rahisi kama wengi tunavyodhani.
Naheshimu sana mtu anayeweza kufungua biashara na kustahimili kwa miaka zaidi ya mitatu, anakuwa amepitia mengi sana!
 
Naheshimu sana mtu anayeweza kufungua biashara na kustahimili kwa miaka zaidi ya mitatu, anakuwa amepitia mengi sana !
Ni kweli. Ndani ya miaka mitatu unakuwa umeshapitia changamoto za kutosha. Na ukiweza kuzikabili, lazima ufike mbali.
 
Back
Top Bottom