Tanzania ni ngumu kutoboa kibiashara kwasababu ya mrundikano wa kodi

Tanzania ni ngumu kutoboa kibiashara kwasababu ya mrundikano wa kodi

Kwa akili yako unadhani Mimi sijui kama kuna hizo Janja Janja? Unajua madhara ya kufanya hizo biashara kiujanja na ukizingati sheria za sasa? Unajua Kwa kutokuwa na vibali tayari umejitengenezea makosa matatu yasiyofhaminika mahakamani?

Tokea siku ya Alhamis baada ya kupewa haya makadirio nimekuwa kama nimestack, Nia yangu ilikuwa nikukoboa mahindi yangu yote ninayozalisha shambani lakini pia kununua Kwa wakulima wenzangu.
Nikitarajia naweza kupata faida lakini pia kutumia pumba kulishia mifugo kama ng'ombe na kuku.

Hili nikutokana na ukweli kuwa ningeongeza mnyororo WA thamani. Kwani nimejaribu kuangalia baada ya kuvuna mahindi magunzi tumachoma Moto ili Hali haya yakisagwa yakachanganywa na pumba na vitu vingine naweza kupata chakula cha kuku.

Lakini bado sijakata tamaa nitajaribu Kwa kuwa sitohitaji kukodi jengo, na mahindi ya kuanza nayo ni Yale niliovuna mwenyewe shambani.

Nimelileta hili kutoa changamoto na kuwafungua wengine macho.
Pamoja Mkuu ni kupambana tu
 
Hivi ni kwa nini TRA wakishakadiria mapato yako, iwe ni mwisho?wao wawagawie wengine mf. Halmashauri na sehemu nyingine zinazohitaji kodi?
 
Nahitaji suluhisho ili uwe mfanyabiashara unapaswa kuwa vipi, TOA suluhisho ili tuendelee. Kama kuna namna wewe unafanya bila vibali tueleze pia kuwa unafanyaje. Weka kila kitu hapa usinambie nikufuate Private message

Wenzako wanalipa mara moja tu wanapoanza huko mbele tiki taka tu Hahaha
 
Wenzako wanalipa mara moja tu wanapoanza huko mbele tiki taka tu Hahaha
Ukiangalia Kwa umakini ni ngumu kufanya hizo tiktak huko mbele unapokuingelea, Kwa nini nasema hivi gharama kubwa inaingia kwenye vibali na Kodi. Kadi unaweza kuburgain lakini vibali lazima uwezo navyo.
Tatizo litaanzia Kwa washindani wako kibiashara, kama itaonekana unakuwa tishishio kwao wata-apply ( SWOT) Na watakuchongea na ikiwezekana wataonga ili wakumalize. Fuatilia Stori ya Yule mfanyabiashara WA kariakoo aliyekuwa anaidai TRA mabilioni baada ya kumfungia biashara zake na kuiba mzigo kwenye stoo zake.
 
Ndiyo sababu unakuta wafanyabiashara wanakwepa kodi sana.
Maana ukisema ulipe kodi zote ni wazi unaenda kufeli.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Acha kukurupuka nenda Halmashauri ya Ubungo utapata majibu, Haujawahi hata kufanya biashara ya ubuyu unataka kujadili mambo ya wanaume, chukuwa chenji aliyoacha shemeji asubuhi ukabeti
Mimi naona wewe umesimuliwa na wanaume wenzio kazi kukaa vijiweni tu..nakuwambia kwa sasa hakuna TFDA kuna TBS ndio inafanya kazi za usajiri wa bidhaa za vyakula na jengo..sasa unaleta ubishi wa nini wewe kilaza.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuanzisha mashine ya kukoboa mahindi, kusaga na kupaki, mziki wa Kodi zilizoko hapo ni kama ifuatavyo; service Levy 324,000, mapato laki 8 mpaka milioni 3, Kodi ya vipimo elfu70, Kodi ya uzani laki 120, leseni laki3, Stop laki 3, haijalishi kama unastoo yako, TFDA laki 7 bado sijaenda TBS na tayari naona kama nimeshashindwa.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Mimi naona wewe umesimuliwa na wanaume wenzio kazi kukaa vijiweni tu..nakuwambia kwa sasa hakuna TFDA kuna TBS ndio inafanya kazi za usajiri wa bidhaa za vyakula na jengo..sasa unaleta ubishi wa nini wewe kilaza.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli Mimi si mfanyabiashara Bali mjasiriamali, Usidanganywe kwamba TFDA hamna, ninachojua ni jina limebadilika badala ya TFDA ni TMDA ambayo ni Tanzania Medicines and Devices Authority.
Mimi sikuleta hapa hoja ili tuonyeshane Nani anajua au hajui. Mimi nimeeleza kile nilichojibiwa kwenye hizo taasisi that is it. Unajua zaidi apply for your own benift Mimi nitafuata kile nilichoelekezwa.
 
Sawa ila tu nikwambie kitu humu tupo tunao jua hayo mambo mana biashara tumefanya na kazi za tfda tunazijua vyema..tangu july 2019 kulitokea mabadiliko ambayo yalipelekea tfda ikavunjwa na kugawanywa kama ifuatavyo..kazi zote za ukaguzi na usajili wa bidhaa za vyakua na vipodozi pamoja na usajiri wa majengo zilihamishiwa tbs..kazi za usajiri wa madawa na viafaa tiba zikahamishiswa na kuundwa kwa tmda.

Hivyo basi kwa sasa hakuna kitu kinaitwa tfda ila kazi zake zimeenda kwenye taasisi kama nilivyoeleza hapo juu..kama umeenda halmashauri ukaambiwa sijui tfda huo ni utapeli hakuna tfda kwa sasa.

Pia usajili wa jengo na bidhaa za vyakula unafanyika tbs kwanjia ya online..huko ndiko utakapopewa gharama halisi.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baada ya kupambana saana na Maisha ya ajira, nikafikiria nitafute namna ya kuingiza kipato kingine. Akili ikanutuma shambani kweli nimeingia shambani na Hali siyo mbaya. Wazo likaja tena niachane na wakati wa Kati mazao yangu niyaongezee thamani.

Lengo likiwa kuanzisha mashine ya kukoboa mahindi, kusaga na kupaki. Hapo ndo kwenye mziki Kodi zilizoko hapo utajuta kuzaliwa Tz, kama ifuatavyo service Levy 324,000, mapato laki 8 mpaka milioni 3, Kodi ya vipimo elfu70, Kodi ya uzani laki 120, leseni laki3, Stop laki 3, haijalishi kama unastoo yako, TFDA laki 7 bado sijaenda TBS na tayari naona kama nimeshashindwa ngoja nibaki huko huko porini atakayenunua ndo akapambane huko
Hama nchi
 
Sawa ila tu nikwambie kitu humu tupo tunao jua hayo mambo mana biashara tumefanya na kazi za tfda tunazijua vyema..tangu july 2019 kulitokea mabadiliko ambayo yalipelekea tfda ikavunjwa na kugawanywa kama ifuatavyo..kazi zote za ukaguzi na usajili wa bidhaa za vyakua na vipodozi pamoja na usajiri wa majengo zilihamishiwa tbs..kazi za usajiri wa madawa na viafaa tiba zikahamishiswa na kuundwa kwa tmda.

Hivyo basi kwa sasa hakuna kitu kinaitwa tfda ila kazi zake zimeenda kwenye taasisi kama nilivyoeleza hapo juu..kama umeenda halmashauri ukaambiwa sijui tfda huo ni utapeli hakuna tfda kwa sasa.

Pia usajili wa jengo na bidhaa za vyakula unafanyika tbs kwanjia ya online..huko ndiko utakapopewa gharama halisi.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
Suala ni michango wewe unaongelea uundaji, mbona mnapendaga ligi za kipumbavu jikite kwenye mada tu.
 
Suala ni michango wewe unaongelea uundaji, mbona mnapendaga ligi za kipumbavu jikite kwenye mada tu.
Michango tozo..na kodi ndizo zinafanya nchi iendelee..ulitaka iwe bure bure..chamsingi elewa kuwa lazima uchangie maendeleo ya nchi yako..pia mimi nilikua naweka sawa suala la TFDA mana mleta uzi alitaka kupotosha ama hakueleweshwa vyema.

Kuna lingine?

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Suala ni michango wewe unaongelea uundaji, mbona mnapendaga ligi za kipumbavu jikite kwenye mada tu.
Mimi nimeamua kuachana naye, manake hajibu chochote ktk vile nilivoongelea, analeta habari za miuondo sasa nikitarajia aniambie hiyo michango haipo na kama haipo ni ipi ambayo IPO kihalali ili ni epukane na huu anaoita utapeli, Ninavofahamu malipo yote ya serikali Kwa sasa yanafanyika Kwa system Kwa kutumia control number, huyu anayetajwa kama tapeli yeye ananifaikaje hapa
 
Mimi nasikitika mtu kama huyu anashindwa kufanya biashara....
infact serekali ilitakiwa kuweka mazingira wezeshi kwa wanao anza biashara.....
otherwise kila siku watu watalalamika ukosefu wa ajira...
 
Tanzania yangu. Halafu unajiuliza kwa nini watu wanakwepa kodi.. Hii nchi inatakiwa kufanyiwa overhaul kwenye uongozi, waje watu wenye fikra mpya na kutengeneza sera rafiki kwa wafanyabiashara.
 
Back
Top Bottom