king herode
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 368
- 571
Serikali imeweka mazingira rahisi sana kwenye viwanda vidogo vidogo tatzo ni sisi kusikiliza story za vijiweni kama huyo mtoa mada anavyosema,,,, ukianzia SIDO ukapata confirmation letter ukienda nayo TBS utapewa mark ya bure kwa mwaka mmoja na baada ya hapo utaanza kulipia 25% ya gharama ya mark kwa miaka minne kabla ya kuanza kulipia kawaida wakiassume utakuwa umekuwa mfanya biashara mkubwa,,,tembelea website ya TBS kwenye usajili utaona.
Service levy ni kodi ya majiji inalipwa kwny big cities tu sio kila mahari nadhani ni dar,mbeya,arusha na mwanza ww upo mororgoro hii kodi haikuhusu tatzo sisi hatuna taarifa sahihi...,na huwa inalipwa 0.008% ya makadirio ya faida yako kwa mwaka ni hela ndogo sana. siku hizi ishu za vyakula ziko chini ya TBS so TFDA/TMDA haipo. TRA wanakata kodi kulingana na makadirio yako ya faida ya mwaka,,hizo kodi/makato zote zinalipwa kwa mwaka sasa biashara gani ambayo haikupi zaid ya 2.4mil kwa mwaka??